Wabunifu majengo wapewa somo
WABUNIFU wa majengo na wakadiriaji majenzi na wadau kutoka sekta binafsi wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika semina mbalimbali ili kupata elimu ya kutosha na kunolewa juu ya kukabiliana na mabadiliko...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo20 Mar
Bilal awapa somo wabunifu wa majengo
MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amewataka wabunifu wa majengo wa nchi za Afrika ya Mashariki na Kati kubuni mbinu mbadala katika ujenzi wa majengo zenye kulinda mazingira na kupunguza gharama za umeme na maji.
10 years ago
Habarileo01 Jul
Wabunifu wakumbushwa majengo rafiki wa mazingira
SERIKALI imetoa wito kwa wataalamu wa majengo na wabunifu wa majenzi kuwa wabunifu zaidi kwa kuzingatia matumizi ya vifaa ambavyo vitakuwa rafiki kwa mazingira na matumizi sahihi ya nishati katika majengo.
11 years ago
Habarileo20 Mar
Bodi ya wabunifu majengo yapewa changamoto
NAIBU Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Abdulrahman Kaniki, ameipa changamoto bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB), kuhakikisha majengo yanayojengwa nchini yanakuwa bora na salama kwa makazi ya watu na kuepusha majanga ya majengo kuporomoka kama ilivyowahi kutokea.
11 years ago
MichuziMKUTANO WA USAJILI WA WABUNIFU MAJENGO NA WAKADIRIAJI MAJENZI KUFANYIKA JIJINI DAR, SEPTEMBA 18
BODI ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) katika kipindi cha kuanzia mwaka 1998 hadi sasa imezifungia kampuni 86 kufanyakazi ya ukandarasi baada ya kushindwa kufuata sheria za ujenzi.
Hayo yalielezwa na Msajili wa bodi hiyo Jehad Jehad wakati akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mkutano wa usajili wa wabunifu majengo na wakadiriaji majenzi utakaofanyika ukumbi wa mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Septemba...
10 years ago
Vijimambo
TBA wapewa wiki mbili kukarabati majengo mawili

10 years ago
Michuzi.jpg)
TBA wapewa wiki mbili kukarabati majengo mawili
.jpg)
Dkt. Magufuli pia ameagiza aliyekuwa meneja wa TBA Mkoa wa Kilimanjaro, Paul Ndossa kusimamishwa kazi mahali alipo ili arejee kujibu tuhuma na kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria.
Waziri huyo alitoa agizo hilo wakati akikagua jengo la mkuu wa Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro...
10 years ago
Mwananchi07 Apr
OUT wapewa somo la mapato
10 years ago
Habarileo19 Dec
Viongozi wa siasa wapewa somo
ASKOFU Julius Bundala wa Kanisa la PHAM katika Kanda ya Kati ameshauri viongozi wa vyama vya siasa kuacha kuwashinikiza wananchi kiitikadi wakati wanapofikia muda wa kufanya uchaguzi wa viongozi wao.
10 years ago
Habarileo20 Aug
Wagombea urais wapewa somo
MGOMBEA urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Alliance for Tanzania Farmers (AFP), Said Soud amewataka wagombea wenzake wa nafasi hiyo kuweka mbele uzalendo na si tamaa na ubinafsi wa madaraka.