Viongozi wa siasa wapewa somo
ASKOFU Julius Bundala wa Kanisa la PHAM katika Kanda ya Kati ameshauri viongozi wa vyama vya siasa kuacha kuwashinikiza wananchi kiitikadi wakati wanapofikia muda wa kufanya uchaguzi wa viongozi wao.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili28 Nov
Viongozi ving'ang'anizi wapewa somo
10 years ago
Mwananchi07 Apr
OUT wapewa somo la mapato
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Wakuu wa wilaya wapewa somo
10 years ago
Tanzania Daima20 Aug
Uwaki wapewa somo Kibaha
IMEELEZWA kuwa ukosefu wa uwazi, uwajibikaji na ukiukwaji wa haki za binadamu katika maeneo mbali mbali ya kazi huchangia kwa kiasi kikubwa kukosekana kwa utawala bora. Hayo yalielezwa jana mjini...
10 years ago
Habarileo25 Jun
Maofisa elimu wapewa somo
SERIKALI imetoa jukumu zito kwa wakuu wa shule na maofisa elimu wa kata kusimamia kwa ukamilifu na kufuatilia shughuli za ufundishaji wa stadi za kusoma, kuandika na kuhesabu, kuwa zinatekelezwa.
9 years ago
Habarileo30 Dec
Wahitimu ukocha wapewa somo
WAHITIMU wa mafunzo ya ualimu wa mpira wa miguu wametakiwa kutenga muda wa kufundisha vijana pasipo na kutegemea kupatiwa malipo.
10 years ago
Habarileo29 Sep
Wasimamizi wa maji wapewa somo
SERIKALI imewataka watekelezaji wa miradi mbalimbali katika sekta ya maji kuzipa kipaumbele kazi za usimamizi ili ikamilike ndani ya muda uliopangwa kwa mujibu wa mikataba.
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
Wazalishaji wa matanki wapewa somo
WAZALISHAJI wa bidhaa za kuhifadhia maji nchini wametakiwa kupanua wigo wa soko na kuenea hadi maeneo ya vijijini ili kuwakomboa wananchi wanaotaabika kutokana na kero ya maji. Rai hiyo ilitolewa...
11 years ago
Tanzania Daima06 Mar
Wasajili wa kampuni wapewa somo
WADAU wanaoshughulika moja kwa moja na mchakato wa usajili wa kampuni nchini wametakiwa kufanya kazi kwa karibu zaidi, ili kuimarisha kiwango cha Tanzania kimataifa katika kujenga mazingira ya biashara. Katibu...