TMA YAPEWA RUNGU LA KUWACHAJI WALE WANAOTAKA TAKWIMU KWA AJILI YA SHUGHULI ZA USANIFU MAJENGO
![](https://1.bp.blogspot.com/-bcGMWSj__pE/XmZXpcav1-I/AAAAAAALiTQ/-jVnvWS9SOAYkN521BRiPRvtTdqbp20igCLcBGAsYHQ/s72-c/333d3412-f496-4b06-8938-1bc656258130.jpg)
Charles James, Michuzi TV
SERIKALI imetoa ruhusa kwa Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA) kuwatoza fedha wale wote wanaohitaji takwimu za hali ya hewa kwa ajili ya usanifu miradi mbalimbali ili kufanya kazi za kisanifu.
Hayo yamesemwa leo jijini Dodoma na Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi, Dk Leonard Chamuriho alipokua akifungua mafunzo yenye lengo la kudhibiti na kusaidia ukusanyawashiriki paato kwa menejimenti ya Mamlaka hiyo ya hewa.
Dk.Chamuriho amesema kuwa wanaosanifu muindombinu ya ujenzi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo05 Nov
Kamati ya Zitto yapewa rungu
BUNGE limesema hakuna mgongano wowote baina ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (PAC) na ile ya Nishati na Madini katika kushughulikia mikataba ya wawekezaji katika sekta ya gesi na mafuta.
11 years ago
Habarileo06 Mar
Kamati ya Maridhiano yapewa rungu
BUNGE Maalumu la Katiba limeelezwa kuwa kamati ya mashauriano, ndio itakayokuwa na mamlaka ya kushughulikia malalamiko mbalimbali ya makundi ya wabunge, iwapo itatokea miongoni mwa makundi yaliyoko bungeni, yatasusia kikao cha Bunge.
11 years ago
Habarileo31 Jan
Takukuru yapewa rungu fedha za halmashauri
KAMATI ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala imetaka Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), kuanzisha dawati maalumu katika Wizara ya Fedha, kufuatilia kwa karibu fedha zinazotolewa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika halmashauri mbalimbali nchini.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Vlz-VcMBEuln4wao8Lt6Rqw7xaoOouCYOrN9WQanO0QpYvPe6NLF6z1MjRIQKpaSYkVXnCKs7zE0buEjRedwnEFsYBS3wtzB/sheriayaTakwimu1.jpg?width=650)
SHERIA MPYA YA TAKWIMU KUONGEZA UFANISI WA SHUGHULI ZA KITAFITI NA UPATIKANAJI WA TAKWIMU SAHIHI NCHINI
10 years ago
Dewji Blog28 May
Halmashauri ya Manispaa Singida yapewa msaada wa zaidi ya Mil 250 kwa ajili ya malori ya taka ngumu
Kijiko mali ya manispaa ya Singida kilichonunuliwa kwa shilingi 110 milioni,kikipakia taka ngumu kutoka kwenye dampo la soko la vitunguu mjini hapa jana.Picha na Nathaniel Limu
Na Nathaniel Limu
Serikali kuu imeipatia msaada halmashauri ya manispaa ya Singida, kijiko na malori mawili makubwa vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya shilingi 250 milioni,kwa ajili ya uzoaji wa taka ngumu.
Hayo yamesemwa juzi na mkurugenzi wa manispaa ya Singida, Joseph Mchina, wakati akizingumza na waandishi wa...
11 years ago
Habarileo20 Mar
Bodi ya wabunifu majengo yapewa changamoto
NAIBU Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Abdulrahman Kaniki, ameipa changamoto bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB), kuhakikisha majengo yanayojengwa nchini yanakuwa bora na salama kwa makazi ya watu na kuepusha majanga ya majengo kuporomoka kama ilivyowahi kutokea.
9 years ago
Mwananchi18 Dec
IMTU yapewa siku 14 kuhama majengo ya NDC
10 years ago
VijimamboZIMBABWE YAIPA MAJENGO SADC KWA AJILI YA KITUO CHA KUFUNDISHIA WALINDA AMANI