Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamati ya Maridhiano yapewa rungu

BUNGE Maalumu la Katiba limeelezwa kuwa kamati ya mashauriano, ndio itakayokuwa na mamlaka ya kushughulikia malalamiko mbalimbali ya makundi ya wabunge, iwapo itatokea miongoni mwa makundi yaliyoko bungeni, yatasusia kikao cha Bunge.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kamati ya Zitto yapewa rungu

Naibu Spika wa Bunge, Job NdugaiBUNGE limesema hakuna mgongano wowote baina ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (PAC) na ile ya Nishati na Madini katika kushughulikia mikataba ya wawekezaji katika sekta ya gesi na mafuta.

 

11 years ago

Habarileo

Takukuru yapewa rungu fedha za halmashauri

KAMATI ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala imetaka Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), kuanzisha dawati maalumu katika Wizara ya Fedha, kufuatilia kwa karibu fedha zinazotolewa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika halmashauri mbalimbali nchini.

 

5 years ago

Michuzi

TMA YAPEWA RUNGU LA KUWACHAJI WALE WANAOTAKA TAKWIMU KWA AJILI YA SHUGHULI ZA USANIFU MAJENGO

Charles James, Michuzi TV

SERIKALI imetoa ruhusa kwa Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA) kuwatoza fedha wale wote wanaohitaji takwimu za hali ya hewa kwa ajili ya usanifu miradi mbalimbali ili kufanya kazi za kisanifu.

Hayo yamesemwa leo jijini Dodoma na Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi, Dk Leonard Chamuriho alipokua akifungua mafunzo yenye lengo la kudhibiti na kusaidia ukusanyawashiriki paato kwa menejimenti ya Mamlaka hiyo ya hewa.

Dk.Chamuriho amesema kuwa wanaosanifu muindombinu ya ujenzi...

 

11 years ago

Mwananchi

Kanuzi zazidi kutatiza wajumbe Bunge la Katiba, Kificho aipa Kamati jukumu la ‘kuleta maridhiano’ [VIDEO]

Mheshimiwa Kificho amejikuta katika wakati mgumu, akijaribu kuendesha Bunge lilotawaliwa na makundi  yenye mitazamo tofauti.

 

9 years ago

Mtanzania

Rungu jipya la Magufuli

mtz1*Fagio la kupunguza wafanyakazi mashirika ya umma

*Posho za wabunge vikao vya bodi zapigwa marufuku

 

RUTH MNKENI NA JONAS MUSHI, DAR ES SALAAM

SERIKALI ya awamu ya tano chini ya Rais Dk. John Magufuli, imeshusha rungu jipya kwa kutangaza uamuzi mchungu wa kupunguza wafanyakazi katika taasisi na mashirika ya umma ambayo yameonekana kuwa mzigo katika utendaji.

Mashirika hayo yameelezwa licha ya kuwa na watumishi wengi, lakini bado uzalishaji na utendaji wake umekuwa hauna tija kwa taifa.

Hayo...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli ashusha rungu Muhimbili

RAIS Dk John Magufuli ameanza kudhihirisha kuwa serikali yake haitakuwa na simile kwa watendaji wazembe baada ya jana kuivunja Bodi ya Wakurugenzi ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) pamoja na kumuondoa madarakani Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa hospitali hiyo, Dk Hussein Kidanto.

 

11 years ago

GPL

MJAMZITO APIGWA RUNGU KICHWANI

Martha Laurent akiwa hospitali baada ya kupigwa rungu kichwani na mumewe Jumanne Suyi. Stori: Makongoro Oging’
“ILIKUWA siku ya mkesha wa mwaka mpya nikiwa nyumbani Mwembe Yanga, Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, mume wangu alifika huku akiwa anapiga kelele na nilipomuuliza akanieleza kuwa leo ndiyo mwisho wangu kwani mimi ni mbwa. Majeraha aliyoyapata kichwani. “Nilimweleza kuwa sitaki fujo pia…...

 

10 years ago

Mwananchi

DC Korogwe aangukiwa na rungu la Baraza

Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma limeagiza Polisi kumkamata Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo na kumfikisha mbele ya baraza hilo Jumatatu ijayo ili ajibu tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka.

 

10 years ago

Habarileo

AG apewa rungu kura ya maoni

WAKATI kukiwa na matamanio na ushauri wa kutaka Rais Jakaya Kikwete kuhakikisha Katiba Mpya inapatikana kabla ya kuondoka madarakani, suala hilo limeachwa kwa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kupatiwa ufumbuzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani