Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bodi kuhifadhi majengo ya kale

BODI ya Usajili Wabunifu Majengo na Ukadiriaji Majenzi, imeandaa mikakati ya kuona namna ya kuhifadhi majengo ya kale kulinda historia.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Bodi ya wabunifu majengo yapewa changamoto

NAIBU Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Abdulrahman Kaniki, ameipa changamoto bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB), kuhakikisha majengo yanayojengwa nchini yanakuwa bora na salama kwa makazi ya watu na kuepusha majanga ya majengo kuporomoka kama ilivyowahi kutokea.

 

10 years ago

Michuzi

Bodi MHCS Ltd yajizatiti kujenga majengo pacha Afrika Sana, Dar

Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakurugenzi wa Chama cha Ushirika cha Ujenzi wa Nyumba Mwenge (MHCS Ltd), Hillaly Mdaki akizungumza wakati wa uzinduzi wa bodi hiyo, uliofanyika Afrika Sana Mwenge jijini Dar es Salaam.Kulia ni makamu mwenyekiti wa bodi hiyo, Hellena Khamsini. Mjumbe mmojawapo wa bodi ya hiyo, Ndesumbuka Merinyo akisaini hati ya kiapo cha kuitumikia nafasi hiyo katika hafla iliyofanyika Sinza, Afrika Sana jana.

Bodi Mpya ya Wakurugenzi wa Chama cha Ushirika cha Ujenzi wa Nyumba...

 

10 years ago

GPL

BODI YA USAJILI WA MAJENGO NA UKADIRIAJI UJENZI YATAKA WATAALAM WATUMIKE IPASAVYO

Msajili wa Bodi ya Wasanifu Majengo na Wakadiriaji Ujenzi nchini, Jahed A. Jahed (wa tatu kutoka kushoto) akiwa na baadhi ya wajumbe wa bodi. Picha ya pamoja ya wajumbe waliokuwa kwenye semina hiyo. BODI ya Usajili wa…

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkoa wa Mbeya waiomba idara ya mambo ya kale kuwakabidhi makumbusho ya mambo ya kale ya KIMONDO

Wanahabari  wakitazama  Kimondo

Mwanahabari  wa Habari  leo  Iringa na mwenyekiti wa chama  cha waandishi wa habari  mkoa  wa Iringa Frank  Leonard  akitoka  kutazama  Kimondo Mgeni  akisaini kitabu cha wageni katika  ofisi ya makumbusho ya mambo ya kale  ya  Kimondo Mbeya Wanahabari wakitoka katika  Kimondo  kulia na Slvanus  Kigomba  (ITV) na kulia ni Irene Mwakalinga (TBC),nyuma yao ni ofisi ya makumbusho  hayo Mhifadhi  akionyesha  jiko  ambalo  linatumika  eneo  hilo Nyumba ya ...

 

10 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA KUINUA VIPAJI VYA KUHIFADHI QURAN JIMBO LA KIKWAJUNI YANDAA MASHINDANO MADOGO YA KUHIFADHI QURAN

 M.C. wa shughuli  Ustaadh Khamis Ameir akisoma utaratibu wa mashindano madoga ya kuinua vipaji ya kuhifadhi Quran ya Jimbo la Kikwajuni yaliyofanyika uwanja wa Alabama Michenzani Mjini Zanzibar. Mwafunzi Ramla Khamsin Jafar wa madrasati Nurul-iman akionyesha jitihada zake katika mashindano ya kuhifadhi yaliyofanyika ya Jimbo la Kwahani.  Baadhi ya washiriki wakifuatilia kwa kina mashindano hayo. Jaji kiongozi Abushayth Daud Mohudhar akitoa matokeo ya mashindano hayo. Mgeni rasmin Mbunge wa...

 

10 years ago

Michuzi

UTEUZI WA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI YA BODI YA KOROSHO TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kwa mamlaka aliyopewa chini  ya kifungu cha 4(1) cha Sheria ya Korosho ya mwaka 2009  (Sura ya 203 ya Sheria za Tanzania), amemteua Mhe. Anna  Margareth Abdallah (MB) kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Korosho. 
Aidha, Mhe. Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika amewateua wafuatao kuwa wajumbe wa Bodi hiyo ya Wakurugenzi kwa mujibu wa kifungu  cha 4(1) cha Sheria ya Korosho ya mwaka 2009  (Sura ya 203 ya...

 

10 years ago

Michuzi

Ni MISHUMAA YA KALE

Uko macho???Ingia www.vijimamboradio.com twende pamojaDj Luke Joe kwenye mashine na Mubelwa Bandio kwenye mic

 

10 years ago

Vijimambo

Mishumaa ya Kale ....Kumradhi

Kwa wale wadau wote wa MISHUMAA YA KALE, tunaomba radhi kwa kukosekana kwa kipindi hapo jana.
Ilitokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu
Lakini tuna imani kuwa Ijumaa hii mambo yatakaa sawa nasi kukuletea kipindi hicho.
Kama ulikosa kipindi chochote kilichopita, BOFYA HAPA.
Kwa kipindi cha wiki iliyopita, sikiliza hapa chini

 

10 years ago

Michuzi

Tenzi Tatu za Kale

Na Profesa MbeleLeo napenda kukitambulisha kwako mdau kitabu muhimu cha ki-Swahili, Tenzi Tatu za Kale. Nilinunua nakala yangu miaka kadhaa iliyopita katika duka la vitabu la Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Kitabu hiki ni mkusanyo wa tenzi tatu za kale maarufu: Fumo Liyongo, uliotungwa na Muhamadi Kijumwa; Al Inkishafi, uliotungwa na Sayyid Abdalla bin Ali; naMwanakupona, uliotungwa na Mwana Kupona binti Mshamu. Kitabu kimehaririwa na M.M. Mulokozi, profesa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani