Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mishumaa ya Kale ....Kumradhi

Kwa wale wadau wote wa MISHUMAA YA KALE, tunaomba radhi kwa kukosekana kwa kipindi hapo jana.
Ilitokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu
Lakini tuna imani kuwa Ijumaa hii mambo yatakaa sawa nasi kukuletea kipindi hicho.
Kama ulikosa kipindi chochote kilichopita, BOFYA HAPA.
Kwa kipindi cha wiki iliyopita, sikiliza hapa chini

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Ni MISHUMAA YA KALE

Uko macho???Ingia www.vijimamboradio.com twende pamojaDj Luke Joe kwenye mashine na Mubelwa Bandio kwenye mic

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Vijimambo

Mishumaa ya kale LIIIIVE.....5:00pm EST

Mishumaa ya kale kutoka Kwanza Production, Vijimambo Radio na Border Media Group inaanza saa 11 kamili jioni (5:00pm) EST kwa saa za Marekani ya Mashariki.
Pata muziki halisi wa kale, na pia mazungumzo ya watu na watu kadhaa
Unajua undani wa maisha wa Montell Jordan? Alivyopanda na mpaka kuingia kwenye muziki wa Injili
Pia tutazungumza na Dj Jerry Kotto. Dj wa awali kufanya "mixing" nchini Tanzania
Atazungumza mengi kuhusu muziki wa zamani
Ni MISHUMAA YA KALE live. Ukiwa na Dj Luke Joe na...

 

10 years ago

Vijimambo

"MISHUMAA YA KALE" leo kama kawa.......USIKOSE

Photo Credits: Ye Olde Vivyl Shoppe Baada ya pilika za wiki nzima, na mchamchaka wa maisha, sasa unakuja wakati wa kuburudika na muziki halisi wa zamani.
Katika kipindi hiki, utaweza "kuruka majoka" na "kula mangoma" kwa kusikiliza nyimbo ziliotamba miaka ya zamani, kupata historia ya wasanii na vikundi mbalimbali na pia kusikiliza mazungumzo na maDj na wasanii mbalimbali wa zamani.
Ungana na MixMaster Dj Luke Joe kwenye "one and two" na Mubelwa Bandio nyuma ya kipaza sauti kwenye kipindi...

 

10 years ago

Vijimambo

Sikiliza MISHUMAA YA KALE live (5:00PM EST)

Mishumaa ya Kale ni kipindi ambacho kinakuletea muziki wa zamani na maelezo mbalimbali ju ya Muziki huo. Ungana na Dj Luke Joe na Mubelwa Bandio kuanzia saa 11 jioni mpaka saa moja kamili kwa saa za Marekani Mashariki (5:00pm - 7:00pm EST) kupitia kwa kubofya  HAPA, HAPA ama HAPA
Kama una TuneIn app, ingia http://tun.in/sfdl0
Kwa mlio Marekani na Canada, tusikilize kwa kupiga simu 716 748 0086

 

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano na Charles Magali kwenye Mishumaa Ya Kale

Charles Magali akiwa ndani ya Kilimanjaro Studio zinazomilikiwa na Vijimambo Radio, Kwanza Production na NesiWangu MediaIjumaa ya Julai 24, 2015, mwigizaji na mwimbaji wa muziki nchini Tanzania Charles Magali alipata fursa ya kutembelea studio zetu zilizopo Beltsville Maryland. Hapo akazungumza nasi kwa ufupi
Karibu umsikilize akihojiwa na Mbunifu na Mtayarishaji wa kipindi hiki Dj Luke Joe na Mubelwa Bandio

 

10 years ago

Vijimambo

Kipindi cha Mishumaa ya Kale.....Ijumaa May 22, 2015

Hiki ni kipindi cha Ijumaa Machi 27, 2015
MISHUMAA YA KALE ni kipindi kinachokuwezesha "kuruka majoka" na "kula mangoma" kwa kusikiliza nyimbo ziliotamba miaka ya zamani, kupata historia ya wasanii na vikundi mbalimbali na pia kusikiliza mazungumzo na maDj na wasanii mbalimbali wa zamani.
Ungana na MixMaster Dj Luke Joe kwenye "one and two" na Mubelwa Bandio nyuma ya kipaza sauti kwenye kipindi kipya cha MISHUMAA YA KALE kinakachokujia kila Ijumaa kuanzia saa 11 kamili jioni mpaka saa 1...

 

10 years ago

Vijimambo

Kipindi cha Mishumaa ya Kale.....Ijumaa Julai 24, 2015

Hiki ni kipindi cha Ijumaa Machi 27, 2015
MISHUMAA YA KALE ni kipindi kinachokuwezesha "kuruka majoka" na "kula mangoma" kwa kusikiliza nyimbo ziliotamba miaka ya zamani, kupata historia ya wasanii na vikundi mbalimbali na pia kusikiliza mazungumzo na maDj na wasanii mbalimbali wa zamani.
Ungana na MixMaster Dj Luke Joe kwenye "one and two" na Mubelwa Bandio nyuma ya kipaza sauti kwenye kipindi kipya cha MISHUMAA YA KALE kinakachokujia kila Ijumaa kuanzia saa 11 kamili jioni mpaka saa 1...

 

10 years ago

Vijimambo

Mishumaa ya kale LIIIIVE Ijumaa 5:00pm EST USIKOSE

Mishumaa ya kale kutoka Kwanza Production, Vijimambo Radio na Border Media Group inaanza saa 11 kamili jioni (5:00pm) EST kwa saa za Marekani ya Mashariki.
Pata muziki halisi wa kale, na pia mazungumzo ya watu mbalimbali
 Piga simu 240 281 0574 utuambie ni nini unachokijua kuhusiana na muziki wa zamani

Ni MISHUMAA YA KALE live. Ukiwa na Dj Luke Joe na Mubelwa Bandio
Jiunge nasi kupitia www.kwanzaproduction.com ama www.vijimamboradio.com
ama www.bordermediagroup.com
Ama kwa aliye Marekani na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani