"MISHUMAA YA KALE" leo kama kawa.......USIKOSE
Photo Credits: Ye Olde Vivyl Shoppe Baada ya pilika za wiki nzima, na mchamchaka wa maisha, sasa unakuja wakati wa kuburudika na muziki halisi wa zamani.
Katika kipindi hiki, utaweza "kuruka majoka" na "kula mangoma" kwa kusikiliza nyimbo ziliotamba miaka ya zamani, kupata historia ya wasanii na vikundi mbalimbali na pia kusikiliza mazungumzo na maDj na wasanii mbalimbali wa zamani.
Ungana na MixMaster Dj Luke Joe kwenye "one and two" na Mubelwa Bandio nyuma ya kipaza sauti kwenye kipindi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMishumaa ya kale LIIIIVE leo Ijumaa 5:00pm EST USIKOSE
Pata muziki halisi wa kale, na pia mazungumzo ya watu mbalimbali
Piga simu 240 281 0574 utuambie ni nini unachokijua kuhusiana na muziki wa zamani
Ni MISHUMAA YA KALE live. Ukiwa na Dj Luke Joe na Mubelwa Bandio
Jiunge nasi kupitia www.kwanzaproduction.com ama www.vijimamboradio.com
ama www.bordermediagroup.com
Ama kwa aliye Marekani na...
10 years ago
VijimamboMishumaa ya kale LIIIIVE Ijumaa 5:00pm EST USIKOSE
Pata muziki halisi wa kale, na pia mazungumzo ya watu mbalimbali
Piga simu 240 281 0574 utuambie ni nini unachokijua kuhusiana na muziki wa zamani
Ni MISHUMAA YA KALE live. Ukiwa na Dj Luke Joe na Mubelwa Bandio
Jiunge nasi kupitia www.kwanzaproduction.com ama www.vijimamboradio.com
ama www.bordermediagroup.com
Ama kwa aliye Marekani na...
10 years ago
VijimamboMishumaa ya kale LIIIIVE kesho Ijumaa 5:00pm EST USIKOSE
Pata muziki halisi wa kale, na pia mazungumzo ya watu mbalimbali
Piga simu 240 281 0574 utuambie ni nini unachokijua kuhusiana na muziki wa zamani
Ni MISHUMAA YA KALE live. Ukiwa na Dj Luke Joe na Mubelwa Bandio
Jiunge nasi kupitia www.kwanzaproduction.com ama www.vijimamboradio.com
ama www.bordermediagroup.com
Ama kwa aliye Marekani na...
10 years ago
Michuzi07 Feb
10 years ago
Vijimambo28 Dec
DIAMOND NDANI BURUNDI NI SHIIIIDA ZARI KAMA KAWA KAWA DAWA
Picture by http://instagram.com/wcb_wasafi Picha kwa hisani ya DjChoka.
10 years ago
MichuziNi MISHUMAA YA KALE
10 years ago
VijimamboMishumaa ya Kale ....Kumradhi
Ilitokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu
Lakini tuna imani kuwa Ijumaa hii mambo yatakaa sawa nasi kukuletea kipindi hicho.
Kama ulikosa kipindi chochote kilichopita, BOFYA HAPA.
Kwa kipindi cha wiki iliyopita, sikiliza hapa chini
10 years ago
VijimamboMishumaa ya kale LIIIIVE.....5:00pm EST
Pata muziki halisi wa kale, na pia mazungumzo ya watu na watu kadhaa
Unajua undani wa maisha wa Montell Jordan? Alivyopanda na mpaka kuingia kwenye muziki wa Injili
Pia tutazungumza na Dj Jerry Kotto. Dj wa awali kufanya "mixing" nchini Tanzania
Atazungumza mengi kuhusu muziki wa zamani
Ni MISHUMAA YA KALE live. Ukiwa na Dj Luke Joe na...
10 years ago
VijimamboMahojiano na Charles Magali kwenye Mishumaa Ya Kale
Karibu umsikilize akihojiwa na Mbunifu na Mtayarishaji wa kipindi hiki Dj Luke Joe na Mubelwa Bandio