Tenzi Tatu za Kale
Na Profesa MbeleLeo napenda kukitambulisha kwako mdau kitabu muhimu cha ki-Swahili, Tenzi Tatu za Kale. Nilinunua nakala yangu miaka kadhaa iliyopita katika duka la vitabu la Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Kitabu hiki ni mkusanyo wa tenzi tatu za kale maarufu: Fumo Liyongo, uliotungwa na Muhamadi Kijumwa; Al Inkishafi, uliotungwa na Sayyid Abdalla bin Ali; naMwanakupona, uliotungwa na Mwana Kupona binti Mshamu. Kitabu kimehaririwa na M.M. Mulokozi, profesa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog22 Jan
Mkoa wa Mbeya waiomba idara ya mambo ya kale kuwakabidhi makumbusho ya mambo ya kale ya KIMONDO
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-E-86ibUWW6E/VaElR8-KhZI/AAAAAAAHo2o/sPDoi-_3VsY/s72-c/20150711071224.jpg)
NEWS UPDATES: NEC YA CCM Inapiga kura sasa kupata tatu bora. Saa tatu usiku mkutano unakaa kuamua jina moja
![](http://3.bp.blogspot.com/-E-86ibUWW6E/VaElR8-KhZI/AAAAAAAHo2o/sPDoi-_3VsY/s640/20150711071224.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Px09uVK3fNQ/VJSvN_mXs8I/AAAAAAAG4iY/v8HV_oPm4ys/s72-c/unnamed%2B(63).jpg)
Ni MISHUMAA YA KALE
![](http://1.bp.blogspot.com/-Px09uVK3fNQ/VJSvN_mXs8I/AAAAAAAG4iY/v8HV_oPm4ys/s1600/unnamed%2B(63).jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-epF6lIpAI7k/VOkxmnzO1bI/AAAAAAAAH6s/iYtOB1-lixM/s72-c/Mishumaa%2BFinal%2BProject%2B(1).jpg)
Mishumaa ya Kale ....Kumradhi
![](http://1.bp.blogspot.com/-epF6lIpAI7k/VOkxmnzO1bI/AAAAAAAAH6s/iYtOB1-lixM/s1600/Mishumaa%2BFinal%2BProject%2B(1).jpg)
Ilitokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu
Lakini tuna imani kuwa Ijumaa hii mambo yatakaa sawa nasi kukuletea kipindi hicho.
Kama ulikosa kipindi chochote kilichopita, BOFYA HAPA.
Kwa kipindi cha wiki iliyopita, sikiliza hapa chini
10 years ago
BBCSwahili22 Jul
Nakala za kale zaidi za Koran - UK
10 years ago
Habarileo16 Jan
Bodi kuhifadhi majengo ya kale
BODI ya Usajili Wabunifu Majengo na Ukadiriaji Majenzi, imeandaa mikakati ya kuona namna ya kuhifadhi majengo ya kale kulinda historia.
11 years ago
Tanzania Daima22 Jan
Siasa ya kale, mfumo mpya
HAPO mwanzo, kabla ya uhuru wa Tanganyika, palikuwapo na chama cha ukombozi wa Waafrika (TANU). TANU ndiyo iliyoungana na Chama cha Waafrika na Washirazi (ASP) kuunda Chama Cha Mapinduzi (CCM)....
10 years ago
Michuzi07 Feb
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://3.bp.blogspot.com/-WnbasoaHsbA/VAW5og_eTkI/AAAAAAAABlY/aDDpMybvagA/s72-c/kamamba.jpg)
Mkurugenzi mambo ya kale apewa tunzo
Na Mwandishi Wetu
MKURUGENZI wa Mambo ya Kale katika Wizara ya Maliasili na Utalii, Donatius Kamamba ametunukiwa tunzo ya kimataifa ya ‘The knight Cross in the Order of Arts and Letters’ na serikali ya Ufaransa.
Tunzo hiyo imetokana na mchango mkubwa alioutoa katika kulinda na kuendeleza urithi wa utamaduni nchini na duniani kwa ujumla katika kipindi cha miaka 33 aliyoitumikia sekta ya malikale ndani na nje ya nchi.
![](http://3.bp.blogspot.com/-WnbasoaHsbA/VAW5og_eTkI/AAAAAAAABlY/aDDpMybvagA/s1600/kamamba.jpg)