Siasa ya kale, mfumo mpya
HAPO mwanzo, kabla ya uhuru wa Tanganyika, palikuwapo na chama cha ukombozi wa Waafrika (TANU). TANU ndiyo iliyoungana na Chama cha Waafrika na Washirazi (ASP) kuunda Chama Cha Mapinduzi (CCM)....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Vijana walia na mfumo vyama vya siasa
BAADHI ya vijana mjini hapa, wamedai kuwa mfumo uliopo kwenye vyama vya siasa unawanyima kupata fursa ya kugombea kwenye chaguzi mbalimbali. Hayo yamebainishwa juzi mjini Kibaha na baadhi ya vijana...
10 years ago
Dewji Blog22 Jan
Mkoa wa Mbeya waiomba idara ya mambo ya kale kuwakabidhi makumbusho ya mambo ya kale ya KIMONDO
9 years ago
Bongo501 Dec
Msanii wa Nigeria Burna Boy aponda mfumo wa muziki wa Nigeria, adai umejaa siasa
![Burna-Boy](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Burna-Boy-300x194.jpg)
Muimbaji wa Dancehall kutoka Nigeria, Burna Boy ameponda mfumo wa muziki wa Nigeria na kudai kuwa umejaa siasa ndio sababu hapati tuzo nyingi anazostahili.
Akizungumza na jarida la Fader, Burna amesema kutokana na hayo anajiona kama yeye si sehemu ya muziki wa Nigeria kwasababu kuna baadhi ya watu walioutawala muziki huo wasiompenda.
“Kusema kweli ni siasa tupu, sijioni kama ni sehemu ya kiwanda cha muziki, angalia tuzo, sipati tuzo kwasababu wanaoutawala hawanipendi, mimi sio kama...
9 years ago
Habarileo14 Oct
NEC kutumia mfumo mpya
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inatarajia kutumia mfumo mpya wa kielektroniki katika kujumlisha matokeo ya kura kwa lengo la kuondoa makosa mbalimbali ya kibinadamu, yanayoweza kutokea kwa bahati mbaya wakati wa kujumlisha matokeo hayo katika uchaguzi mkuu.
10 years ago
Mtanzania02 Feb
Basata yaanzisha mfumo mpya
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata) limeanzisha kanzidata ‘database’ ya kuhifadhi kumbukumbu na taarifa mbalimbali za kumbi za starehe na burudani nchini ili kurahisisha upatikanaji wa takwimu sahihi katika sekta ya sanaa.
Akizungumza jijini hivi karibuni wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku mbili ya watendaji wa Basata kuhusu matumizi sahihi ya kanzidata, Katibu Mtendaji wa baraza hilo, Godfrey Mngereza alisema wanaimani malengo ya kuhifadhi taarifa na...
10 years ago
Habarileo25 Jan
OUT waja na mfumo mpya wa mitihani
CHUO Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kimeanza utaratibu wa kuondoa msimu wa mitihani kwa kuweka mfumo wa kufanya mtihani kila mtahiniwa anapohitaji ambapo wanafunzi wanaweza kuomba mitihani kupitia tovuti.
10 years ago
Mwananchi13 Dec
Necta yatangaza mfumo mpya
10 years ago
Habarileo05 Jul
Wastaafu waanza kunufaika mfumo mpya
WASTAAFU nchini wameanza kunufaika na huduma ya kupokea malipo yao ya pesheni kupitia huduma ya kifedha iliyoanzishwa na Shirika la Posta.
10 years ago
Habarileo11 Sep
Mfumo mpya wa kusambaza dawa Dodoma
MKOA wa Dodoma katika kuondoa tatizo la dawa katika zahanati na vituo vya afya vijijini, imeanzisha mfumo maalumu ujulikanao kama ‘Prime Vendor’ (PV) utakaowezesha zahati na vituo vya afya kusambaziwa dawa na msambazaji binafsi, chini ya mpango wa ubia kati serikali na sekta binafsi (PPP).