Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Necta yatangaza mfumo mpya

Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), limeanza mfumo mpya wa kupanga matokeo ya kidato cha nne mwaka huu na ya kidato cha sita mwakani, ambapo sasa madaraja yatapangwa kwa wastani wa pointi (GPA) badala ya jumla ya pointi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NECTA YATANGAZA MATOKEO,WANAFUNZI WAPASI KIBAO.

Pichani niKatibu Mkuu wa Baraza la Mitiani nchini NECTA Dkt Charles E Msonde Akizungumza leo na Waandishi wa Habari jijini Dar Es Salaam NA KAROLI VINSENTBARAZA la Mitihani nchini NECTA limetangaza matokea ya kidato cha pili yaliyofanyika mwaka jana 2014 huku idadi kubwa ya wanafunzi wakiwa wamefaulu na kujiunga kidato cha tatu, ikiongeza kwa asilimia 92.66 ikilinganisha na mwaka 2013 ambapo idadi ya wanafunzi waliofaulu ilikuwa asilimia 89.34.Matokeo hayo yametangazwa leo Jijini Dar es...

 

10 years ago

Tanzania Daima

NECTA laboresha mfumo wa usahihishaji

BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA), limesema katika kutekeleza majukumu yake limeweza kuboresha mfumo wa usahihishaji wa mtihani wa kumaliza elimu ya msingi (PSLE). Akizungumza na waandishi wa habari jijini...

 

10 years ago

GPL

NECTA YATANGAZA MATOKEO YA KIDATO CHA 6 NA UALIMU 2015

Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), leo limetangaza matokeo ya kidato cha sita na ualimu kwa mwaka 2015 kupitia tovuti yao. Kuyaona ingia:==>>…

 

10 years ago

Tanzania Daima

NECTA kutoa matokeo kwa mfumo wa GPA

BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA), limetangaza mfumo mpya wa upangaji wa madaraja ya ufaulu kwa kutumia wastani wa pointi (GPA) ambao utaanza kutumika katika mtihani wa kidato cha nne...

 

10 years ago

Habarileo

Msonde bosi mpya NECTA

RAIS Jakaya Kikwete amemteua Dk Charles Msonde kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA).

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yatangaza kuacha kugharamia vikao kazi kwa watendaji wake, kuanza kutumia mfumo wa Video Conference

DSC05670

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Florence Temba (wa pili kutoka kulia) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mawasiliano kwa njia ya video serikalini (video conferencing) katika mkutano uliofanyika Idara ya Habari (Maelezo). Wengine ni viongozi wa Ofisi ya Rais-Utumishi. Wengine ni Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) Bw. Charles Senkondo (wa pili kutoka kushoto),Mkurugenzi wa TEHAMA Bw.Priscus Kiwango (kushoto) na kulia ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga yatangaza kamati mpya

 Uongozi wa Yanga umeteua kwa mara nyingine tena kamati mpya za kisheria kwa ajili ya kushughulikia masuala mbalimbali ndani ya klabu hiyo.

 

9 years ago

Mwananchi

NEC yatangaza idadi mpya ya vituo

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza idadi mpya ya wapigakura ambayo ni milioni 22.75 baada ya uhakiki wa Daftari la Kudumu sambamba na kupungua kwa vituo kutoka 72,000 vilivyotangazwa awali mpaka 65, 105 baada ya kubainika kuwapo kwa zaidi ya majina milioni moja yaliyoandikwa kimakosa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kilimanjaro Marathon yatangaza njia mpya

WAANDAAJI wa Kilimanjaro Marathon wametangaza njia mpya zitakazotumika mwaka huu, ikiwa ni hatua nyingine muhimu katika mafanikio ya mbio hizo ambazo zinaingia mwaka wa 12 tangu kuanzishwa. Njia hizo mpya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani