Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msonde bosi mpya NECTA

RAIS Jakaya Kikwete amemteua Dk Charles Msonde kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Dkt. Charles Msonde ndiye Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. Charles Msonde kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA).


Taarifa iliyotolewa Ikulu, Dar es Salaam jioni ya jana, Alhamisi, Agosti 14, 2014, na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue inasema kuwa uteuzi huo ulianza juzi, Jumatano, Agosti 13, 2014.


Kabla ya uteuzi wake, Dkt. Msonde alikuwa Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza hilo hilo la mitihani.


Dkt. Msonde anachukua nafasi...

 

10 years ago

Mwananchi

Necta yatangaza mfumo mpya

Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), limeanza mfumo mpya wa kupanga matokeo ya kidato cha nne mwaka huu na ya kidato cha sita mwakani, ambapo sasa madaraja yatapangwa kwa wastani wa pointi (GPA) badala ya jumla ya pointi.

 

10 years ago

Habarileo

TPDC yapata bosi mpya

Dk James Mataragio RAIS Jakaya Kikwete amemteua Dk James Mataragio kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC). Kwa mujibu wa taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu kwa vyombo vya habari jana, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue alisema uteuzi huo ulianza Desemba 15, mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete ateua bosi mpya MSD

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete amemteua Laurean Rugambwa Bwanakunu kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bohari ya Dawa (MSD).

 

10 years ago

Habarileo

Apwanga bosi mpya wenyeviti CCM Masasi

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kata ya Jida Masasi Mjini, Juma Issa Apwanga amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Kata wa CCM wilayani Masasi.

 

10 years ago

Mwananchi

Bosi mpya NMG: Nitasimamia weledi na uhuru wa habari

Dar es Salaam. Ofisa Mtendaji Mkuu mpya wa kampuni ya habari ya Nation Media Group (NMG), Joe Muganda ameahidi kusimamia kikamilifu weledi na uhuru wa vyombo vya habari vya kampuni hiyo, ambavyo ni pamoja na magazeti ya The Citizen, Mwananchi na Mwanaspoti yanayozalishwa na Mwananchi Communication Limited.

 

10 years ago

Mwananchi

Kikwete amteua Masikitiko kuwa bosi mpya TBS

Rais Jakaya Kikwete amemteua Joseph  Masikitiko kuwa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS).

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Msonde aahidi kushirikiana na wananchi

Katibu mtendaji mpya wa Baraza la Mitihani nchini (Necta), Dk Charles Msonde amesema wajibu wake kwa sasa ni kuifanya taasisi hiyo kuwa ya wananchi kwa kuhakikisha wanatambua vyema mitihani inavyosimamiwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani