Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dkt. Charles Msonde ndiye Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. Charles Msonde kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA).


Taarifa iliyotolewa Ikulu, Dar es Salaam jioni ya jana, Alhamisi, Agosti 14, 2014, na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue inasema kuwa uteuzi huo ulianza juzi, Jumatano, Agosti 13, 2014.


Kabla ya uteuzi wake, Dkt. Msonde alikuwa Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza hilo hilo la mitihani.


Dkt. Msonde anachukua nafasi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Dk Msonde: Naahidi mambo matatu Baraza la Mitihani

Baada ya kukaimu kwa karibu mwaka mmoja nafasi ya Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta), hatimaye mwezi Agosti, Rais Jakaya Kikwete alimteua Dk Charles Msonde kuongoza taasisi hiyo nyeti nchini.

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Kawambwa azindua jengo jipya la Mitihani la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE)

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa (katikati)akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo jipya la Mitihani la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi(NACTE) kutoka kushoto ni Katibu Mtendaji wa (NACTE) Dkt. Primus Nkwela,Kamishina wa Elimu Profesa Uestella Bhalalusesa,Naibu Katibu Mkuu wa Wizara wa wizara hiyo Consolata Mgimba na Mwenyekiti wa barabaza la Taifa la Elimu ya Ufundi Mhandisi Steven Mlote.Hafla hiyo ya Uzinduzi ilifanyika katika makao makuu ya ofisi hizo...

 

10 years ago

Dewji Blog

NECTA yafanikiwa kudhibiti udanganyifu na wizi wa mitihani ya taifa nchini

1

Mkuu wa Idara ya Fedha na Utawala wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Bw. Daniel Mafie akiwaeleza waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu mafanikio yaliyofikiwa na Baraza hilo ikiwemo matumizi ya TEHAMA katika usajili wa watahimiwa na uchakataji wa matokeo ya Mitihani ya Taifa. Kulia ni Afisa Habari wa NECTA John Nchimbi.

2

Mkuu wa Idara ya Fedha na Utawala wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Bw. Daniel Mafie akiwaeleza waandishi wa habari leo jijini Dar s salaam...

 

11 years ago

Michuzi

KAIMU KATIBU MTENDAJI WA BARAZA LA SANAA TANZANIA AZINDUA CD YA WASANII KUHUSU KATIBA MPYA

 Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari pamoja na wasanii Februari 28,2014 katika ukumbi vijana kinondoni jijini Dar es Salaam, kuhusu viongozi mbalimbali wa Sanaa hapa nchini kwenda mkoani Dodoma Bungeni kupeleka ujumbe wa matakwa ya wasanii kuingizwa katiba Katiba mpya. Kutoka kulia ni Rais wa Shirikisho la Muziki wa Injili, Addo November, Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (Basata), Godfrey...

 

10 years ago

Habarileo

Msonde bosi mpya NECTA

RAIS Jakaya Kikwete amemteua Dk Charles Msonde kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA).

 

10 years ago

GPL

CHARLES MKWASSA NDIYE MRITHI WA NOOIJ TAIFA STARS

Charles Boniface Mkwasa wakati akikinoa kikosi cha Yanga.  Kocha Msaidizi wa Taifa Stars, Hemed Moroco. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limemtangaza Charles Boniface Mkwasa kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Mkwasa anachukua mikoba iliyoachwa na Mart Nooij aliyetimuliwa kazi majuzi. Kabla ya uteuzi huo, Mkwasa alikuwa Kocha Msaidizi ya Klabu ya Yanga. Aidha TFF imemteua Kocha wa Zanzibar...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MTENDAJI BARAZA LA BIASHARA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA WANAHABARI KUHUSU MKUTANO WA NANE WA BARAZA HILO UTAKAOFANYIKA DESEMBA 16 ZANZIBAR

 Katibu Mtendaji Baraza la Biashara Zanzibar Bw. Ali Haji Vuai wa kwanza (kulia) akizungumza na wandishi wa Habari kuhusu Mkutano wa nane wa Baraza hilo, utakaofanyika Disemba 16 Hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar. Wandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali wakimsikiliza Katibu Mtendaji Baraza la Biashara Zanzibar Bw. Ali Haji Vuai ofisini kwake Kinazini Mjini Zanzibar.Mwandishi wa Habari wa Radio Coconat Fm Tabia Makame akiuliza swali kuhusu Mkutano wa...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA KATIBU MTENDAJI WA SADC,DKT.TAX IKULU,ZANZIBAR





RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Katibu Mtendaji wa SADC  Dkt. Stergomena Lawrence Tax, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar alipofika kuonana na kufanya mazungumzo leo 21-2-2020.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani