Dk Msonde: Naahidi mambo matatu Baraza la Mitihani
Baada ya kukaimu kwa karibu mwaka mmoja nafasi ya Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta), hatimaye mwezi Agosti, Rais Jakaya Kikwete alimteua Dk Charles Msonde kuongoza taasisi hiyo nyeti nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-U12yevR1dFo/U-58y2ASygI/AAAAAAAF_88/vasQMNZMZVQ/s72-c/baraza%2Bla%2Bmitihani.jpg)
Dkt. Charles Msonde ndiye Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA).
![](http://4.bp.blogspot.com/-U12yevR1dFo/U-58y2ASygI/AAAAAAAF_88/vasQMNZMZVQ/s1600/baraza%2Bla%2Bmitihani.jpg)
Taarifa iliyotolewa Ikulu, Dar es Salaam jioni ya jana, Alhamisi, Agosti 14, 2014, na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue inasema kuwa uteuzi huo ulianza juzi, Jumatano, Agosti 13, 2014.
Kabla ya uteuzi wake, Dkt. Msonde alikuwa Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza hilo hilo la mitihani.
Dkt. Msonde anachukua nafasi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LB6l9Yyl8LAluwC8paLU55rLl4x*X-*PfO9wJj4uL79mnikPIo1nKUzeh-EnOsPbtCCtO20dou787JLyLrjqr5rMLTjk6d4S/1.jpg?width=650)
BARAZA LA MITIHANI LATOA TAARIFA YA KAZI ZAKE
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
Mambo matatu yaitesa CCM
MBIO za kusaka urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), na uteuzi wa nafasi nne za mawaziri, vinaelezwa kukibomoa chama hicho, Tanzania Daima limedokezwa. Mbali na mambo hayo, mchakato...
9 years ago
Bongo530 Nov
Video: Mambo Matatu usiyoyajua kuhusu Naj
![Naj](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Naj2-300x194.jpg)
Haya ni mambo matatu usiyoyajua kuhusu Naj.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Michuzi15 Dec
MAMBO MATATU YATAKAYOKUONDOLEA KOSA LA JINAI MAHAKAMANI.
Na Bashir YakubMakosa ya jinai ni makosa yote yaliyoorodheshwa katika sura ya 16 ya kanuni za adhabu pamoja na yale yaliyo katika sheria nyingine kama ile ya uhujumu uchumi. Pamoja na kuwapo sheria nyingine ambazo huorodhesha makosa ya jinai bado Kanuni za adhabu inabaki kuwa sheria kuu inayoorodhesha makosa ya jinai. Kwa ujumla katika sheria tunayo makosa makuu ya aina mbili. Kwanza ni hayo ya jinai na pili ni ya madai. Kwa ...
9 years ago
Bongo523 Nov
Video: Mambo Matatu Usiyoyajua kuhusu Malaika
![10617116_420678268131842_1583409129_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/10617116_420678268131842_1583409129_n-300x194.jpg)
Tazama video hii kujua mambo matatu usiyoyajua kuhusu Malaika.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-GnXdgKJegMc/XowN8HJ8gQI/AAAAAAALmUM/pdYB_hT97RE_IPbAImHlrtbmE18fH_XAgCLcBGAsYHQ/s72-c/JtVH5Khvihib7dBDFY9ZDR.jpg)
Majanga na mitihani inatoa fursa ya kujifunza mambo mapya.
![](https://1.bp.blogspot.com/-GnXdgKJegMc/XowN8HJ8gQI/AAAAAAALmUM/pdYB_hT97RE_IPbAImHlrtbmE18fH_XAgCLcBGAsYHQ/s640/JtVH5Khvihib7dBDFY9ZDR.jpg)
Nimetumia janga la Ugonjwa wa Virusi vya Korona [COVID19] kujifunza masuala kadhaa (hasa ya virusi na maambukizi) kutoka kwenye maandiko ya kitaaluma na mazungumzo na wataalam. Napenda kuchangia niliyojifunza.
1. Kwanza neno Corona. Corona ni neno la Kilatini. Tafsiri yake kwa Kiswahili ni taji. Corona hutumika zaidi kuelezea “taji la mwanga” linalovika au linalotokana na nyota, jua au mwezi. Jua linapozama, unaona jua na duara la mwanga linalozunguka jua. Hilo duara ndio Corona.
2. Kwanini...
10 years ago
Mwananchi25 Mar
Mambo matatu yanayoipa CCM nguvu dhidi ya UKAWA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qHkXSNTTQ9d1ti9UyDSjuTC228D2jqCoMqsemV-tjZQDiV5w-byN4b7LiR-fK2T4SKMnRjcZXfu82sTOm2HEv-GTmRRHPjPa/okwi.jpg?width=650)
Okwi awapa Yanga mambo matatu Waarabu wafe