Bosi mpya NMG: Nitasimamia weledi na uhuru wa habari
Dar es Salaam. Ofisa Mtendaji Mkuu mpya wa kampuni ya habari ya Nation Media Group (NMG), Joe Muganda ameahidi kusimamia kikamilifu weledi na uhuru wa vyombo vya habari vya kampuni hiyo, ambavyo ni pamoja na magazeti ya The Citizen, Mwananchi na Mwanaspoti yanayozalishwa na Mwananchi Communication Limited.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi05 May
NMG yapata ofisa mtendaji mkuu mpya
10 years ago
Habarileo06 Feb
Nape ahimiza weledi taaluma ya habari
WAANDISHI wa habari nchini wametakiwa kuendelea kuandika habari kwa weledi zisizoegemea upande mmoja.
10 years ago
Dewji Blog11 May
Klabu ya waandishi wa habari mkoani Singida yatakiwa kuzingatia weledi katika taaluma yao
aimu mkurugenzi mtendaji halmashauri ya wilaya ya Mkalama mkoa wa Singida, Cosbert Mwinuka, akizungumza kwenye ufunguzi wa mkutano mkuu wa Singida Press Club (Singpress) uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa hotel ya Muhai iliyopo kijiji cha Nduguti.Wa pili kulia (walioketi) ni mwenyekiti wa Singpress, Seif Takaza na wa kwanza kulia ni makamu mwenyekiti wa Singpress,Damiano Mkumbo.
Baadhi ya wanachama wa Singpress,waliohudhuria mkutano mkutano mkuu wa klabu hiyo uliofanyika kwenye...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-YRbabiy2Hs0/VAwXMUMZuxI/AAAAAAAGgwM/i5tzTicSBEs/s72-c/BUNGE-MAALUMU-LA-KATIBA.jpg)
WELEDI NA KUZINGATIA MAADILI YA UANDISHI WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALU LA KATIBA KUTALETA TIJA KWA WAANDISHI WA HABARI
![](http://2.bp.blogspot.com/-YRbabiy2Hs0/VAwXMUMZuxI/AAAAAAAGgwM/i5tzTicSBEs/s1600/BUNGE-MAALUMU-LA-KATIBA.jpg)
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.
Kanuni za Bunge Maalum hususani Kanuni ya 77 inawataka waandishi wa habari kuandika habari za Bunge Maalum kwa weledi mkubwa na kuzingatia maadili ya uandishi wa habari ili kujiepusha na uandishi wenye utashi na ushabiki wa kisiasa, msukumo binafsi, chuki ama uchochezi na wakati mwingine uongo wa makusudi.
Aidha, katika Kanuni hiyo hiyo ya 77(3) inatamka bayana ya kuwa “Katibu anaweza wakati wowote kuondoa ruhusa aliyotoa kwa mwakilishi wa Chombo chochote...
10 years ago
Dewji Blog07 Sep
Weledi na kuzingatia maadili ya uandishi wa shughuli za Bunge Maalum la Katiba kutaleta tija kwa waandishi wa habari
Mkurugenzi wa Habari, Elimu kwa Umma na Itifaki wa Bunge Maalum la Katiba, Bw. Jossey Mwakasyuka (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa semina iliyoandaliwa kwa ajili ya waandishi wa habari kuhusu kuimarisha Uandishi wa Habari za shughuli za Bunge iliyofanyika tarehe 6 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa African Dreams mjini Dodoma. Kulia ni Mshauri wa mambo ya Kiufundi toka Shirika la Kimataifa la UNDP, Bi. Anna Kochannesyan.
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.
Kanuni za Bunge Maalum hususani...
10 years ago
Habarileo16 Aug
Msonde bosi mpya NECTA
RAIS Jakaya Kikwete amemteua Dk Charles Msonde kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA).
10 years ago
Habarileo19 Dec
TPDC yapata bosi mpya
RAIS Jakaya Kikwete amemteua Dk James Mataragio kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC). Kwa mujibu wa taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu kwa vyombo vya habari jana, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue alisema uteuzi huo ulianza Desemba 15, mwaka huu.
10 years ago
Habarileo07 Jul
Kikwete ateua bosi mpya MSD
RAIS Jakaya Kikwete amemteua Laurean Rugambwa Bwanakunu kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bohari ya Dawa (MSD).