TPDC yapata bosi mpya
RAIS Jakaya Kikwete amemteua Dk James Mataragio kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC). Kwa mujibu wa taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu kwa vyombo vya habari jana, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue alisema uteuzi huo ulianza Desemba 15, mwaka huu.
habarileo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania