Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madagascar yapata Rais mpya

Tume ya uchaguzi inasema Hery Rajaonarimampianina alishinda 53% ya kura kwenye duru ya pili ya uchaguzi uliofanyika Disemba

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Malawi yapata Rais mpya

peter-mutharika-court-600x295

Hatimaye Malawi imepata Rais mpya baada ya kuapishwa rasmi kwa Peter Mutharika (pichani) wa chama cha DPP na makamu wake.

Mwandishi wa BBC Baruan Muhuza amesema kutoka mjini Blantyre kuwa Profesa Peter Mutharika ameshinda uchaguzi huo kwa kupata asilimia 36.4 ya kura zote akifuatiwa na Dr Lazarus Chakwera mwenye asilimia 27.8 huku Rais anayemaliza muda wake Dr Joyce Banda akishika nafasi ya tatu kwa asilimia 20.2 na Atupele Muluzi amekuwa wa nne na asilimia 13.7

Mwenyekiti wa tume ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Puntland yapata Rais Mpya

Wabunge katika jimbo la Puntland wamemchagua waziri mkuu wa zamani wa Somalia Abdiweli Muhammad kama Rais mpya wa jimbo hilo lililojitenga na Somalia.

 

11 years ago

Michuzi

FIBA Africa yapata Rais Mpya

Mkutano Mkuu wa Shirikisho la mpira wa kikapu Barani Africa umemalizika nchini Madagascar,ambapo katika mkutano huo alichaguliwa Rais mpya wa FIBA Africa ambaye ni Ndg. Humane Niang kutoka nchini Mali, pia Ndg. Hisham El Hariri kutoka Misri alichaguliwa kuwa Rais wa FIBA Africa zone V. Pichani Ndg. Niang akipongezwa na baadhi ya Wajumbe waliohudhulia Mkutano huo akiwepo Ndg. Phares Magesa (katikati).

 

9 years ago

BBCSwahili

Burkina Faso yapata Rais mpya

Roch Marc Christian Kabore ameshinda uchaguzi mkuu wa nchi hiyo, kwa mujibu wa tume ya uchaguzi. Amepata zaidi ya asili mia 50

 

5 years ago

CCM Blog

TANZANIA HAIJALEGALEGA KATIKA KUPAMBANA NA CORONA, YAPATA MSAADA WA DAWA KUTOKA MADAGASCAR

Tanzania imesema haijalegalega wala kujitenga katika kupambana na maradhi ya Corona  badala yake imetoa uongozi madhubuti katika kuratibu na kuunda timu ya wataalamu wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC kuandaa muongozo na utaratibu wa kukabiliana na ugonjwa huo ikiwa ni pamoja na kutafuta njia za kupunguza nguvu au kuleta ya ugonjwa huo.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi ameyasema hayo wakati akipokea msaada wa dawa...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS ABADILISHA WAKUU WA WILAYA 10, DARRY RWEGASIRA AONDOLEWA KARAGWE, KYERWA YAPATA MPYA KUTOKA MKALAMA.


Rais Kikwete amemteua Bw Antony Mavunde kuwa mkuu wa wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, kuanzia leo jumatatu 25 may 2015, huku akifanya uhamisho wa wakuu wa wilaya 10 kwa nia ya kuongeza ufanisi katika uongozi wa wilaya mbalimbali nchini.

Katika mabadiliko hayo, aliyekuwa mkuu wa wilaya Karagwe Darry Rwegasira, amepelekwa wilaya ya Biharamulo, huku Dc Misenyi Fadhil Nkulu, akipelekwa wilaya ya Mkalama.

Elias Choro John Tarimo, ametolewa Biharamulo kwenda Chunya mkoani Mbeya, huku Deodartus...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais wa zamani wa Madagascar akamatwa

Aliyekuwa rais wa Madagascar Marc Ravalomanana amekamatwa muda mfupi baada ya kurejea nyumbani kutoka uhamishoni kwa miaka mitano

 

10 years ago

Habarileo

TPDC yapata bosi mpya

Dk James Mataragio RAIS Jakaya Kikwete amemteua Dk James Mataragio kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC). Kwa mujibu wa taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu kwa vyombo vya habari jana, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue alisema uteuzi huo ulianza Desemba 15, mwaka huu.

 

11 years ago

Michuzi

APRM yapata CEO mpya


Na Mwandishi Wetu, Malabo
MPANGO wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) umempata Mtendaji wake Mkuu mpya atakayeongoza ofisi ya taasisi hiyo katika ngazi ya Bara la Afrika iliyoko mjini Midrand, Afrika Kusini.
Uamuzi huo umefikiwa katika Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Nchi za APRM uliofanyika mjini hapa, ambapo aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Mpango wa NEPAD, Dkt. Ibrahim Assane Mayaki kutoka Niger ndiye amehamishiwa APRM.
Mabadiliko hayo yamekuja wakati ambapo wakuu wa Nchi za APRM...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani