Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Malawi yapata Rais mpya

peter-mutharika-court-600x295

Hatimaye Malawi imepata Rais mpya baada ya kuapishwa rasmi kwa Peter Mutharika (pichani) wa chama cha DPP na makamu wake.

Mwandishi wa BBC Baruan Muhuza amesema kutoka mjini Blantyre kuwa Profesa Peter Mutharika ameshinda uchaguzi huo kwa kupata asilimia 36.4 ya kura zote akifuatiwa na Dr Lazarus Chakwera mwenye asilimia 27.8 huku Rais anayemaliza muda wake Dr Joyce Banda akishika nafasi ya tatu kwa asilimia 20.2 na Atupele Muluzi amekuwa wa nne na asilimia 13.7

Mwenyekiti wa tume ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Madagascar yapata Rais mpya

Tume ya uchaguzi inasema Hery Rajaonarimampianina alishinda 53% ya kura kwenye duru ya pili ya uchaguzi uliofanyika Disemba

 

11 years ago

BBCSwahili

Puntland yapata Rais Mpya

Wabunge katika jimbo la Puntland wamemchagua waziri mkuu wa zamani wa Somalia Abdiweli Muhammad kama Rais mpya wa jimbo hilo lililojitenga na Somalia.

 

9 years ago

BBCSwahili

Burkina Faso yapata Rais mpya

Roch Marc Christian Kabore ameshinda uchaguzi mkuu wa nchi hiyo, kwa mujibu wa tume ya uchaguzi. Amepata zaidi ya asili mia 50

 

11 years ago

Michuzi

FIBA Africa yapata Rais Mpya

Mkutano Mkuu wa Shirikisho la mpira wa kikapu Barani Africa umemalizika nchini Madagascar,ambapo katika mkutano huo alichaguliwa Rais mpya wa FIBA Africa ambaye ni Ndg. Humane Niang kutoka nchini Mali, pia Ndg. Hisham El Hariri kutoka Misri alichaguliwa kuwa Rais wa FIBA Africa zone V. Pichani Ndg. Niang akipongezwa na baadhi ya Wajumbe waliohudhulia Mkutano huo akiwepo Ndg. Phares Magesa (katikati).

 

11 years ago

BBCSwahili

Rais mpya wa Malawi achukua mamlaka

​Maelfu ya watu wamehudhuria sherehe za kukabidhiwa mamlaka kwa Rais mpya Peter Mutharika.

 

11 years ago

GPL

RAIS MPYA WA MALAWI ACHUKUA MAMLAKA

Rais Mutharika akikagua gwaride katika uwanja wa Kamuzu. Maelfu ya watu wamehudhuria sherehe za kukabidhiwa mamlaka kwa Rais mpya Peter Mutharika.
Bwana Mutharika, alishinda uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi jana. Uchaguzi huo ulikumbwa na madai ya wizi wa kura. Rais anayeondoka madalakani Joyce Banda, alishika nafasi ya tatu katika idadi ya kura za urais.
Viongozi kadhaa kutoka Afrika walihudhuria sherehe hizo katika uwanja wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mbwembwe Malawi -Rais Mpya kushika doria

Viongozi wa Mataifa mbalimbali wanatarajiwa kuhudhuria sherehe za kumkabidhi madaraka rais mpya wa Jamhuri ya Malawi hii leo.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS ABADILISHA WAKUU WA WILAYA 10, DARRY RWEGASIRA AONDOLEWA KARAGWE, KYERWA YAPATA MPYA KUTOKA MKALAMA.


Rais Kikwete amemteua Bw Antony Mavunde kuwa mkuu wa wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, kuanzia leo jumatatu 25 may 2015, huku akifanya uhamisho wa wakuu wa wilaya 10 kwa nia ya kuongeza ufanisi katika uongozi wa wilaya mbalimbali nchini.

Katika mabadiliko hayo, aliyekuwa mkuu wa wilaya Karagwe Darry Rwegasira, amepelekwa wilaya ya Biharamulo, huku Dc Misenyi Fadhil Nkulu, akipelekwa wilaya ya Mkalama.

Elias Choro John Tarimo, ametolewa Biharamulo kwenda Chunya mkoani Mbeya, huku Deodartus...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AWASILI MALAWI KUMWAKILISHA MHE. RAIS KIKWETE KWENYE MAZISHI YA ALIYEKUWA BALOZI WA MALAWI NCHIN

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Blantyre nchini Malawi kwa ajili ya kushiriki mazishi ya aliyekuwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania, Marehemu Flossie Gomile-Chidyaonga aliyefarikii dunia tarehe 09 mei, 2014 Jijini na Dar es Salaam na anatarajiwa kuzikwa tarehe 14 Mei, 2014. Mhe. Membe anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kwenye mazishi hayo. 
Balozi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani