Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Puntland yapata Rais Mpya

Wabunge katika jimbo la Puntland wamemchagua waziri mkuu wa zamani wa Somalia Abdiweli Muhammad kama Rais mpya wa jimbo hilo lililojitenga na Somalia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Malawi yapata Rais mpya

peter-mutharika-court-600x295

Hatimaye Malawi imepata Rais mpya baada ya kuapishwa rasmi kwa Peter Mutharika (pichani) wa chama cha DPP na makamu wake.

Mwandishi wa BBC Baruan Muhuza amesema kutoka mjini Blantyre kuwa Profesa Peter Mutharika ameshinda uchaguzi huo kwa kupata asilimia 36.4 ya kura zote akifuatiwa na Dr Lazarus Chakwera mwenye asilimia 27.8 huku Rais anayemaliza muda wake Dr Joyce Banda akishika nafasi ya tatu kwa asilimia 20.2 na Atupele Muluzi amekuwa wa nne na asilimia 13.7

Mwenyekiti wa tume ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Madagascar yapata Rais mpya

Tume ya uchaguzi inasema Hery Rajaonarimampianina alishinda 53% ya kura kwenye duru ya pili ya uchaguzi uliofanyika Disemba

 

9 years ago

BBCSwahili

Burkina Faso yapata Rais mpya

Roch Marc Christian Kabore ameshinda uchaguzi mkuu wa nchi hiyo, kwa mujibu wa tume ya uchaguzi. Amepata zaidi ya asili mia 50

 

11 years ago

Michuzi

FIBA Africa yapata Rais Mpya

Mkutano Mkuu wa Shirikisho la mpira wa kikapu Barani Africa umemalizika nchini Madagascar,ambapo katika mkutano huo alichaguliwa Rais mpya wa FIBA Africa ambaye ni Ndg. Humane Niang kutoka nchini Mali, pia Ndg. Hisham El Hariri kutoka Misri alichaguliwa kuwa Rais wa FIBA Africa zone V. Pichani Ndg. Niang akipongezwa na baadhi ya Wajumbe waliohudhulia Mkutano huo akiwepo Ndg. Phares Magesa (katikati).

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS ABADILISHA WAKUU WA WILAYA 10, DARRY RWEGASIRA AONDOLEWA KARAGWE, KYERWA YAPATA MPYA KUTOKA MKALAMA.


Rais Kikwete amemteua Bw Antony Mavunde kuwa mkuu wa wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, kuanzia leo jumatatu 25 may 2015, huku akifanya uhamisho wa wakuu wa wilaya 10 kwa nia ya kuongeza ufanisi katika uongozi wa wilaya mbalimbali nchini.

Katika mabadiliko hayo, aliyekuwa mkuu wa wilaya Karagwe Darry Rwegasira, amepelekwa wilaya ya Biharamulo, huku Dc Misenyi Fadhil Nkulu, akipelekwa wilaya ya Mkalama.

Elias Choro John Tarimo, ametolewa Biharamulo kwenda Chunya mkoani Mbeya, huku Deodartus...

 

11 years ago

BBCSwahili

Zambia yapata kocha mpya

Timu ya taifa ya Zambia imepata kocha mpya, Honour Janza baada ya Patrice Beaumelle kuiaga timu hiyo

 

11 years ago

BBCSwahili

Tunisia yapata katiba mpya

Bunge la Tunisia limeidhinisha katiba mpya,ikiwa ni ya kwanza tangu kuondolewa madarakani kwa aliyekuwa rais wa taifa hilo Ben Ali,miaka 3 iliopita.

 

10 years ago

Michuzi

DAWASCO YAPATA BODI MPYA

Na Athumani Shariff (MoW)

Waziri wa Maji Prof. Jumanne Maghembe, leo amezindua rasmi BODI mpya ya Shirika la majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASCO) inayoundwa na wajumbe 13. BODI hii  imeundwa baada ya ile ya zamani kumaliza muda wake.Bodi hiyo mpya imeteuliwa tangu tarehe 1/8/2014 inayojumuisha wataalam mbalimbali wakiwemo maprofesa wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, viongozi wa kisiasa na asasi za kiraia inaongozwa na Mwenyekiti Meja Generali Mstaafu Samweli Kitundu.Pia wamo Nehemia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

ATCL yapata ndege mpya

SHIRIKA la Ndege la Tanzania (ATCL) limepata ndege nyingine aina ya CRJ-200 ya nchini Canada yenye uwezo wa kubeba abiria 50, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mkakati wake wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani