Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zambia yapata kocha mpya

Timu ya taifa ya Zambia imepata kocha mpya, Honour Janza baada ya Patrice Beaumelle kuiaga timu hiyo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Taifa Stars yapata kocha mpya

Charles Boniface Mkwasa kocha mpya wa timu ya Taifa ya Tanzania akisaidiwa na Hemed Moroco

 

10 years ago

BBCSwahili

Zambia yamteua naibu kocha mpya

Timu ya soka ya Zambia imemuajiri Nico Lobohm kama naibu kocha wa Honour Janza.

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA KITANZANIA YA PAN AFRICAN REFRACTORY SERVICE CO. LTD YAPATA TENDA KUBWA ZAMBIA

Kampuni ya Kitanzania inayomilikiwa na Bw. Twalib Lubangula imepata tenda kubwa nchini Zambia ya kukarabati viwanda vya Cement Ndola na sehemu nyingine nchini. Ni jambo la kujivunia kuwa Kampuni inayomilikiwa na Mtanzania kwa asilimia 100 kupata tenda kubwa nchi za nje na kampuni hiyo inafanya vizuri sana.  Mhe. Grace J. E. Mujuma Balozi wa Tanzania nchini Zambia  akipata maelezo kuhusu mafanikio ya Kampuni ya Pan African Refractory Services Co. Ltd ya Tanzania kutoka kwa mmiliki wa kampuni...

 

11 years ago

Michuzi

TWIGA STARS IKO VIZURI KUIVAA ZAMBIA- KOCHA

Kocha Mkuu wa Twiga Stars, Rogasian Kaijage amesema kikosi chake kiko tayari kwa ajili ya mechi ya mchujo ya Kombe la Afrika kwa Wanawake (AWC) dhidi ya Zambia itakayochezwa keshokutwa (Ijumaa) jijini Lusaka.
Akizungumza kwenye hafla ya kuiaga timu hiyo iliyofanyika leo (Februari 12 mwaka huu) kwenye ofisi za TFF jijini Dar es Salaam, Kocha Kaijage amesema wachezaji wake wako vizuri, ingawa hakuwa tayari kutoa ahadi kuhusu matokeo.
“Vijana wako vizuri, lakini sitaki kutoa ahadi....

 

11 years ago

Michuzi

kocha patrick phiri wa zambia kutua dar es salaam ijumaa tayari kuinoa simba SC

Na Bin ZubeiryMazungumzo yamekwishanyika na makubaliano yamefikiwa baina ya Patrick Phiri kutoka Zambia (pichani)  na Simba SC na sasa atakuja kufanya kazi tena Msimbazi, akisaidiwa na Nahodha wake enzi zake akifundisha timu hiyo, Suleiman Abdallah Matola ‘Osama’.

Phiri ni kocha anayekubalika zaidi mbele ya mashabiki wa Simba SC miongoni mwa makocha waliowahi kufundisha klabu hiyo- rekodi yake ya kukumbukwa zaidi ikiwa ni kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu msimu wa 2009/2010 bila kufungwa hata...

 

10 years ago

Habarileo

TPDC yapata bosi mpya

Dk James Mataragio RAIS Jakaya Kikwete amemteua Dk James Mataragio kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC). Kwa mujibu wa taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu kwa vyombo vya habari jana, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue alisema uteuzi huo ulianza Desemba 15, mwaka huu.

 

9 years ago

Mwananchi

Muhimbili yapata CT Scan mpya

Serikali imeanza kufunga mashine mpya ya vipimo ya CT Scan kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), ikiwa ni mkakati wa kukabiliana na tatizo la upungufu wa vifaa tiba.

 

11 years ago

Michuzi

APRM yapata CEO mpya


Na Mwandishi Wetu, Malabo
MPANGO wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) umempata Mtendaji wake Mkuu mpya atakayeongoza ofisi ya taasisi hiyo katika ngazi ya Bara la Afrika iliyoko mjini Midrand, Afrika Kusini.
Uamuzi huo umefikiwa katika Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Nchi za APRM uliofanyika mjini hapa, ambapo aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Mpango wa NEPAD, Dkt. Ibrahim Assane Mayaki kutoka Niger ndiye amehamishiwa APRM.
Mabadiliko hayo yamekuja wakati ambapo wakuu wa Nchi za APRM...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani