Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


APRM yapata CEO mpya


Na Mwandishi Wetu, Malabo
MPANGO wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) umempata Mtendaji wake Mkuu mpya atakayeongoza ofisi ya taasisi hiyo katika ngazi ya Bara la Afrika iliyoko mjini Midrand, Afrika Kusini.
Uamuzi huo umefikiwa katika Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Nchi za APRM uliofanyika mjini hapa, ambapo aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Mpango wa NEPAD, Dkt. Ibrahim Assane Mayaki kutoka Niger ndiye amehamishiwa APRM.
Mabadiliko hayo yamekuja wakati ambapo wakuu wa Nchi za APRM...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NMB Wapata Mkurugenzi na CEO Mpya Bi. Ineke Bussemaker, Wamkaribisha Rasmi na kumuaga aliyemaliza muda wake

Benki ya NMB imemkaribisha Mkurugenzi Mtendaji mpya – Ineke Bussemaker anayechukua nafasi ya Mark Wiessing aliyemaliza muda wake. Mark Wiessing amepangiwa kituo kingine cha Kazi ndani ya Benki Mama ya NMB – ‘Rabobank’ na sasa ataenda kuwa Meneja Mkuu nchini Brazil.Bwana Wiessing ataanza rasmi wadhifa mpya mwezi wa tano mwaka huu. Ineke Bussemaker anakuja NMB akitokea ndani ya shirika mama la NMB – ‘Rabobank’ la nchini Uholanzi ambako alikuwa Mtendaji Mkuu katika Kitengo cha Malipo.Ineke ana...

 

9 years ago

Mwananchi

Muhimbili yapata CT Scan mpya

Serikali imeanza kufunga mashine mpya ya vipimo ya CT Scan kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), ikiwa ni mkakati wa kukabiliana na tatizo la upungufu wa vifaa tiba.

 

11 years ago

Dewji Blog

Malawi yapata Rais mpya

peter-mutharika-court-600x295

Hatimaye Malawi imepata Rais mpya baada ya kuapishwa rasmi kwa Peter Mutharika (pichani) wa chama cha DPP na makamu wake.

Mwandishi wa BBC Baruan Muhuza amesema kutoka mjini Blantyre kuwa Profesa Peter Mutharika ameshinda uchaguzi huo kwa kupata asilimia 36.4 ya kura zote akifuatiwa na Dr Lazarus Chakwera mwenye asilimia 27.8 huku Rais anayemaliza muda wake Dr Joyce Banda akishika nafasi ya tatu kwa asilimia 20.2 na Atupele Muluzi amekuwa wa nne na asilimia 13.7

Mwenyekiti wa tume ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Madagascar yapata Rais mpya

Tume ya uchaguzi inasema Hery Rajaonarimampianina alishinda 53% ya kura kwenye duru ya pili ya uchaguzi uliofanyika Disemba

 

10 years ago

Michuzi

DAWASCO YAPATA BODI MPYA

Na Athumani Shariff (MoW)

Waziri wa Maji Prof. Jumanne Maghembe, leo amezindua rasmi BODI mpya ya Shirika la majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASCO) inayoundwa na wajumbe 13. BODI hii  imeundwa baada ya ile ya zamani kumaliza muda wake.Bodi hiyo mpya imeteuliwa tangu tarehe 1/8/2014 inayojumuisha wataalam mbalimbali wakiwemo maprofesa wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, viongozi wa kisiasa na asasi za kiraia inaongozwa na Mwenyekiti Meja Generali Mstaafu Samweli Kitundu.Pia wamo Nehemia...

 

11 years ago

BBCSwahili

Tunisia yapata katiba mpya

Bunge la Tunisia limeidhinisha katiba mpya,ikiwa ni ya kwanza tangu kuondolewa madarakani kwa aliyekuwa rais wa taifa hilo Ben Ali,miaka 3 iliopita.

 

10 years ago

Habarileo

TPDC yapata bosi mpya

Dk James Mataragio RAIS Jakaya Kikwete amemteua Dk James Mataragio kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC). Kwa mujibu wa taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu kwa vyombo vya habari jana, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue alisema uteuzi huo ulianza Desemba 15, mwaka huu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

ATCL yapata ndege mpya

SHIRIKA la Ndege la Tanzania (ATCL) limepata ndege nyingine aina ya CRJ-200 ya nchini Canada yenye uwezo wa kubeba abiria 50, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mkakati wake wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani