KAMPUNI YA KITANZANIA YA PAN AFRICAN REFRACTORY SERVICE CO. LTD YAPATA TENDA KUBWA ZAMBIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-kM5FmHA-H_E/VYLfwhWG9yI/AAAAAAAHhFM/A6LDwJJ8id8/s72-c/unnamed%2B%252893%2529.jpg)
Kampuni ya Kitanzania inayomilikiwa na Bw. Twalib Lubangula imepata tenda kubwa nchini Zambia ya kukarabati viwanda vya Cement Ndola na sehemu nyingine nchini. Ni jambo la kujivunia kuwa Kampuni inayomilikiwa na Mtanzania kwa asilimia 100 kupata tenda kubwa nchi za nje na kampuni hiyo inafanya vizuri sana. Mhe. Grace J. E. Mujuma Balozi wa Tanzania nchini Zambia akipata maelezo kuhusu mafanikio ya Kampuni ya Pan African Refractory Services Co. Ltd ya Tanzania kutoka kwa mmiliki wa kampuni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog04 Jun
Kampuni ya matangazo ya Right Here nchini yapata mwekezaji mpya na kuingia ubia na kampuni kubwa ya kimataifa
Mshauri Mkuu wa kampuni ya RIGHT HERE TANZANIA, Gerard Govaerts akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari katika Ukumbi wa mikutano katika Hoteli ya Double Tree jijini Dar es Salaam leo, Kushoto ni Mkuu wa Hati Miliki wa kampuni ya RIGHT HERE TANZANIA, Asnath Heriel na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa RIGHT HERE TANZANIA Jenny Woodier.
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria katika mkutano wa kampuni ya RIGHT HERE TANZANIA uliofanyika katika hoteli ya Double Tree jijini Dar es...
10 years ago
Dewji Blog21 Nov
Kampuni ya Pan African Energy yatoa msaada wa mifuko 1500 ya Saruji kwa wilaya ya Kilwa
10 years ago
VijimamboKAMPUNI YA PAN AFRICAN ENERGY YAKABIDHI JENGO LA WAUGUZI KATIKA ZAHANATI YA NANGURUKURU WILAYANI KILWA
10 years ago
Vijimambo16 Oct
10 years ago
TheCitizen08 Feb
Pan-African banks now on rise
10 years ago
Michuzi16 Oct
11 years ago
TheCitizen24 Jul
Nearly 6m circumcised in pan-African push against Aids
11 years ago
Michuzi12 Jun
9 years ago
Dewji Blog04 Sep
Submitt your articles for Pan African Award on FGM
-The Efua Dorkenoo Pan African Award for Reportage on FGM
-UNFPA/Guardian Global Multimedia Campaign to End FGM
In October 2014, United Nations Secretary-General Ban Ki-moon launched a global media campaign to end female genital mutilation (FGM). He also announced a joint UNFPA-Guardian partnership on a Pan African reporting award on FGM.
The announcement, in Arabic, English and French, is available on:...