FIBA Africa yapata Rais Mpya
![](http://2.bp.blogspot.com/-MpTWPUOtO_8/U94Akz5JOsI/AAAAAAAF8kc/R1mPpIBiGHE/s72-c/unnamed+(11).jpg)
Mkutano Mkuu wa Shirikisho la mpira wa kikapu Barani Africa umemalizika nchini Madagascar,ambapo katika mkutano huo alichaguliwa Rais mpya wa FIBA Africa ambaye ni Ndg. Humane Niang kutoka nchini Mali, pia Ndg. Hisham El Hariri kutoka Misri alichaguliwa kuwa Rais wa FIBA Africa zone V. Pichani Ndg. Niang akipongezwa na baadhi ya Wajumbe waliohudhulia Mkutano huo akiwepo Ndg. Phares Magesa (katikati).
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili03 Jan
Madagascar yapata Rais mpya
11 years ago
BBCSwahili08 Jan
Puntland yapata Rais Mpya
11 years ago
Dewji Blog31 May
Malawi yapata Rais mpya
Hatimaye Malawi imepata Rais mpya baada ya kuapishwa rasmi kwa Peter Mutharika (pichani) wa chama cha DPP na makamu wake.
Mwandishi wa BBC Baruan Muhuza amesema kutoka mjini Blantyre kuwa Profesa Peter Mutharika ameshinda uchaguzi huo kwa kupata asilimia 36.4 ya kura zote akifuatiwa na Dr Lazarus Chakwera mwenye asilimia 27.8 huku Rais anayemaliza muda wake Dr Joyce Banda akishika nafasi ya tatu kwa asilimia 20.2 na Atupele Muluzi amekuwa wa nne na asilimia 13.7
Mwenyekiti wa tume ya...
9 years ago
BBCSwahili01 Dec
Burkina Faso yapata Rais mpya
9 years ago
TheCitizen05 Oct
20 teams fight for supremacy in Fiba Africa Zone V tourney
10 years ago
Vijimambo26 May
RAIS ABADILISHA WAKUU WA WILAYA 10, DARRY RWEGASIRA AONDOLEWA KARAGWE, KYERWA YAPATA MPYA KUTOKA MKALAMA.
Rais Kikwete amemteua Bw Antony Mavunde kuwa mkuu wa wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, kuanzia leo jumatatu 25 may 2015, huku akifanya uhamisho wa wakuu wa wilaya 10 kwa nia ya kuongeza ufanisi katika uongozi wa wilaya mbalimbali nchini.
Katika mabadiliko hayo, aliyekuwa mkuu wa wilaya Karagwe Darry Rwegasira, amepelekwa wilaya ya Biharamulo, huku Dc Misenyi Fadhil Nkulu, akipelekwa wilaya ya Mkalama.
Elias Choro John Tarimo, ametolewa Biharamulo kwenda Chunya mkoani Mbeya, huku Deodartus...
11 years ago
Tanzania Daima08 Mar
ATCL yapata ndege mpya
SHIRIKA la Ndege la Tanzania (ATCL) limepata ndege nyingine aina ya CRJ-200 ya nchini Canada yenye uwezo wa kubeba abiria 50, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mkakati wake wa...
11 years ago
Michuzi26 Jun
APRM yapata CEO mpya
Na Mwandishi Wetu, Malabo
MPANGO wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) umempata Mtendaji wake Mkuu mpya atakayeongoza ofisi ya taasisi hiyo katika ngazi ya Bara la Afrika iliyoko mjini Midrand, Afrika Kusini.
Uamuzi huo umefikiwa katika Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Nchi za APRM uliofanyika mjini hapa, ambapo aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Mpango wa NEPAD, Dkt. Ibrahim Assane Mayaki kutoka Niger ndiye amehamishiwa APRM.
Mabadiliko hayo yamekuja wakati ambapo wakuu wa Nchi za APRM...
11 years ago
BBCSwahili06 Aug
Zambia yapata kocha mpya