NEC yatangaza idadi mpya ya vituo
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza idadi mpya ya wapigakura ambayo ni milioni 22.75 baada ya uhakiki wa Daftari la Kudumu sambamba na kupungua kwa vituo kutoka 72,000 vilivyotangazwa awali mpaka 65, 105 baada ya kubainika kuwapo kwa zaidi ya majina milioni moja yaliyoandikwa kimakosa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog17 Nov
NEC yatangaza idadi ya madiwani wa viti maalumu!
Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhani Kailima
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza idadi ya madiwani wa viti maalumu pamoja na vyama wanavyotokea.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhani Kailima ametaja idadi ya madiwani hao kuwa 1402 na kuwataja madiwani 1392 huku 15 wakisubiri chaguzi zimalizike katika kata zilizosalia.
Amesema katika madiwani hao CCM ni 1122, Chadema 220, CUF 49, NCCR 6 na ACT 6.
Kailima ameongeza kuwa kata...
9 years ago
StarTV07 Nov
NEC yatangaza idadi ya uteuzi wa viti maalumuCCM, CHADEMA, CUF
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imetangaza idadi ya jumla ya uteuzi wa wabunge wa viti maalumu kutoka vyama vya siasa vya CCM, CHADEMA na CUF. Taarifa hiyo imetolewa na Kaimu mkurugenzi wa uchaguzi Emmanuel Kawishe alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa Ibara ya 66 kifungu cha kwanza b na ibara ya 78 ya katiba ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ikisomwa kwa pamoja na kifungu cha 86 A cha sheria ya uchaguzi sura ya 343, Tume imepewa...
10 years ago
Vijimambo
UFAFANUZI WA IDADI YA VITUO VYA KUPIGIA KURA OKTOBA 25

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ndugu Kailima Ramadhani amefafanua jinsi mabavyo Tume ya taifa ya uchaguzi ilivyo gawanya vituo vya wapiga kura kote nchini. Katika ufafanuzi huo amefafanua mambo makuu Mawili.
1. Namna ambayo siyo sahihi ya kuhesabu vituo vya wapiga KURA kama walivyo fafamua baadhi ya watu, Ambayo ni namna ya KUPOTOSHA NA NI UWONGO, na
2. Namna SAHIHI ya kuhesabu vituo kama tume ye taifa ya uchaguzi ilivyo hesabu. Nia hii inazingatia mambo yafuatayo.i). KUTUO...
5 years ago
BBCSwahili27 May
Virusi vya corona: Kenya yatangaza idadi kubwa zaidi ya wagonjwa kwa siku
11 years ago
Michuzi
MSAMA PROMOTIONS YATANGAZA VITUO VYA KUUZIA TIKETI ZA TAMASHA LA PASAKA

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama tiketi hizo zitauzwa katika vituo vitano kwa lengo la kupunguza usumbufu kwa mashabiki wenye nia ya kushiriki tamasha hilo.
Msama alitaja vituo vitakavyouzwa tiketi hizo ni pamoja na Puma Mwenge na Uwanja wa Ndege, Best Bite Namanga, BM Kinondoni na ofisi za Msama Promotions...
10 years ago
Mwananchi14 Jul
NEC yatangaza majimbo mapya 26
11 years ago
GPL
NEC YATANGAZA UCHAGUZI KATA 27
10 years ago
Michuzi
UFAFANUZI WA IDADI HALISI YA VITUO VYA KUPIGIA KURA KWA MUJIBU WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
1. Namna ambayo siyo sahihi ya kuhesabu vituo vya wapiga KURA kama walivyo fafamua baadhi ya watu, Ambayo ni namna ya KUPOTOSHA NA NI UWONGO, na
2. Namna SAHIHI ya kuhesabu vituo kama tume ye taifa ya uchaguzi ilivyo hesabu. Nia hii inazingatia mambo yafuatayo.i). KUTUO...
9 years ago
Habarileo12 Nov
NEC yatangaza tarehe za uchaguzi ‘viporo’
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza tarehe za uchaguzi wa ubunge na baadhi ya kata nchini ambazo hazikufanya uchaguzi Oktoba 25, mwaka huu, huku Jimbo la Lulindi wilayani Masasi mkoani Mtwara, likitarajiwa kumchagua mbunge wake, Jumapili wiki hii.