NECTA YATANGAZA MATOKEO,WANAFUNZI WAPASI KIBAO.
Pichani niKatibu Mkuu wa Baraza la Mitiani nchini NECTA Dkt Charles E Msonde Akizungumza leo na Waandishi wa Habari jijini Dar Es Salaam NA KAROLI VINSENTBARAZA la Mitihani nchini NECTA limetangaza matokea ya kidato cha pili yaliyofanyika mwaka jana 2014 huku idadi kubwa ya wanafunzi wakiwa wamefaulu na kujiunga kidato cha tatu, ikiongeza kwa asilimia 92.66 ikilinganisha na mwaka 2013 ambapo idadi ya wanafunzi waliofaulu ilikuwa asilimia 89.34.Matokeo hayo yametangazwa leo Jijini Dar es...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLNECTA YATANGAZA MATOKEO YA KIDATO CHA 6 NA UALIMU 2015
10 years ago
Mwananchi13 Dec
Necta yatangaza mfumo mpya
11 years ago
Tanzania Daima26 Feb
NECTA yafafanua utata wa matokeo
BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limetoa ufafanuzi kuhusu matokeo ya kidato cha nne yaliyotolewa wiki iliyopita, likisema kuwa ufaulu wa daraja la kwanza hadi la tatu unapangwa kwa kuzingatia alama...
10 years ago
Tanzania Daima31 Aug
NECTA kutoa matokeo kwa mfumo wa GPA
BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA), limetangaza mfumo mpya wa upangaji wa madaraja ya ufaulu kwa kutumia wastani wa pointi (GPA) ambao utaanza kutumika katika mtihani wa kidato cha nne...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-2jkinPjC750/Uw0RWUJiBNI/AAAAAAAFPlk/I0VWtMRTiAI/s72-c/download.jpg)
NECTA yatoa ufafanuzi wa maswali mbalimbali ya wadau wa elimu kuhusu matokeo ya mtihani wa kidato cha nne
![](http://4.bp.blogspot.com/-2jkinPjC750/Uw0RWUJiBNI/AAAAAAAFPlk/I0VWtMRTiAI/s1600/download.jpg)
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetoa ufafanuzi wa maswali mbalimbali ya wadau wa elimu kuhusu matokeo ya mtihani wa kidato cha nne yaliyotangazwa Februari 21 mwaka huu ambayo ni viwango vya ufaulu, alama ya chini ya ufaulu na ufaulu wa jumla wa mtahiniwa.
Akitoa ufafanuzi huo kwa waandishi wa habari jijini Dar es salaam Kaimu Katibu mtendaji wa Baraza hilo Dakta CHARLES MSONDE amesema viwango vya ufaulu ni makundi ya alama yanayopangwa ili kuweka pamoja...
9 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YATANGAZA MATOKEO YA UUZAJI WA HISA STAHILI
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/lulindi.jpg)
NEC YATANGAZA MATOKEO YA AWALI YA URAIS KWA MAJIMBO 3
10 years ago
Mtanzania16 Feb
Matokeo kidato cha nne Wanafunzi wamefaulu, wamefaulishwa?
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
WAKATI maelfu ya wanafunzi waliohitimu Mtihani wa Kidato cha Nne mwaka 2014 wakiwa wanasherehekea matokeo yao, baadhi ya wadau wa elimu wameonyesha wasiwasi wao juu ya kuongezeka kwa ufaulu huo wakati hali ya shule na changamoto zake zikiwa zinaongezeka.
Kwa mujibu matokeo yaliyotangazwa juzi na Katibu Mkuu wa Baraza la Mitihani (Necta), Dk Charles Msonde, ufaulu umeongezeka kutoka asilimia 58.25 mwaka 2013 mpaka 68.33 mwaka 2014.
Wadau hao walisema baada ya...
10 years ago
Dewji Blog08 Oct
Matokeo makubwa sasa ni kwa wanafunzi sio Waalimu
Na Mwandishi wetu
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) wilayani Njombe mkoani Njombe kimeitaka serikali kufanya tafiti za kutosha katika miradi yake ukiwemo wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), wakidai unawazidishia mzigo wa kuwajibika bila kuongezwa ujira.
Chama hicho pia kimeitaka Serikali kusitisha biashara holela ya vitabu vya kiada kutokana na kupingana kwa baadhi ya vipengele hivyo; kusababisha ugumu katika ufundishaji.
Katibu wa CWT wilaya ya Njombe, Salama Lupenza, aliyasema hayo mwishoni...