Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wastaafu waanza kunufaika mfumo mpya

WASTAAFU nchini wameanza kunufaika na huduma ya kupokea malipo yao ya pesheni kupitia huduma ya kifedha iliyoanzishwa na Shirika la Posta.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WATEJA WA VODACOM WAANZA KUNUFAIKA NA HUDUMA MPYA YA”ONGEA”

Wateja wa Vodacom Tanzania sasa wameanza kunufaika na huduma mpya ya Ongea iliyozinduliwa rasmi leo ambayo inatoa unafuu mkubwa wa kupata huduma za mawasiliano kwa wateja na wananchi kwa ujumla. Ambapo mteja akinunua muda wa maongezi kwa Tsh 1,000/-mteja anapata dakika 100 za maongezi kupiga simu kwa mtandao wa Vodacom kwenda Vodacom,SMS 1000 na MB 100 za data.
Akiongea wakati wa uzinduzi wa huduma hii mpya,Mkuu wa Mawasiliano na Masoko wa Vodacom Tanzania,Kelvin Twissa,amesema kuwa Vodacom...

 

5 years ago

Michuzi

Tabora Waanza Kunufaika na Mradi wa Maji Ziwa Victoria


Na. Immaculate Makilika- MAELEZO

Mradi wa maji kutoka ziwa Victoria umeanza kufanya kazi na kuwanufaisha wananchi ambao wamepitiwa na mradi huo katika mkoa wa Tabora, na unatarajiwa kunufaisha wakazi wakazi Milioni 1.8 utakapokamilika.

Akizungumza na Waandishi wa habari leo jijini Dodoma, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amesema mradi huo unaogharimu shilingi bilioni 600 utawanufaisha wakazi wa vijiji zaidi...

 

11 years ago

Mwananchi

TRA na JWT waanza kupitia mfumo wa kodi

Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT) na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wameanza kazi ya mapitio ya kuboresha mfumo mzima wa kodi ili uendane na matumizi ya mashine za kielektroniki (EFD).

 

10 years ago

BBCSwahili

Watoto kunufaika na dawa mpya za ARV

Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani imeidhinisha matumizi ya Dawa mpya zitakazochanganywa kwenye chakula cha Watoto

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI SIMANJIRO KUNUFAIKA NA HOSPITALI MPYA YA WILAYA

MKUU wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Mhandisi Zephania Chaula amezindua hospitali ya Wilaya hiyo hivyo waliokuwa wakisafiri umbali wa zaidi ya kilomita 180 hadi 200 kufuata huduma hiyo jijini Arusha au Mkoani Kilimanjaro wataondokana na adha hiyo. 
Mhandisi Chaula akizungumza jana wakati akizindua hospitali hiyo alimshukuru Rais John Magufuli kwa kuwapatia fedha za ujenzi huo uliogharimu shilingi bilioni 1.8 zilizotumika hadi sasa. 
Alisema tangu wilaya hiyo ianzishwe mwaka 1994...

 

10 years ago

Habarileo

Usahihishaji mpya sekondari waanza

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania, Dk Charles Msonde akizungumza wakati wa semina kwa wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari kuhusu upangaji ufaulu kwa kutumia mfumo wa wastani wa pointi (Grade Point Average-GPA) Dar es Salaam jana. (Na Mpigapicha Wetu).USAHIHISHAJI mpya wa mitihani ya Taifa kwa kidato cha nne na sita, unaoendana na utaratibu mpya wa upangaji wa ufaulu na madaraja, unatarajiwa kuanza kutumika katika mtihani wa majaribio wa kidato cha nne mwaka huu nchini kote, na kufuatiwa na mitihani yote ya kidato cha nne na sita.

 

10 years ago

Mtanzania

Basata yaanzisha mfumo mpya

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata) limeanzisha kanzidata ‘database’ ya kuhifadhi kumbukumbu na taarifa mbalimbali za kumbi za starehe na burudani nchini ili kurahisisha upatikanaji wa takwimu sahihi katika sekta ya sanaa.
Akizungumza jijini hivi karibuni wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku mbili ya watendaji wa Basata kuhusu matumizi sahihi ya kanzidata, Katibu Mtendaji wa baraza hilo, Godfrey Mngereza alisema wanaimani malengo ya kuhifadhi taarifa na...

 

10 years ago

Habarileo

OUT waja na mfumo mpya wa mitihani

Profesa Tolly MbweteCHUO Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kimeanza utaratibu wa kuondoa msimu wa mitihani kwa kuweka mfumo wa kufanya mtihani kila mtahiniwa anapohitaji ambapo wanafunzi wanaweza kuomba mitihani kupitia tovuti.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani