Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Usahihishaji mpya sekondari waanza

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania, Dk Charles Msonde akizungumza wakati wa semina kwa wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari kuhusu upangaji ufaulu kwa kutumia mfumo wa wastani wa pointi (Grade Point Average-GPA) Dar es Salaam jana. (Na Mpigapicha Wetu).USAHIHISHAJI mpya wa mitihani ya Taifa kwa kidato cha nne na sita, unaoendana na utaratibu mpya wa upangaji wa ufaulu na madaraja, unatarajiwa kuanza kutumika katika mtihani wa majaribio wa kidato cha nne mwaka huu nchini kote, na kufuatiwa na mitihani yote ya kidato cha nne na sita.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

NECTA laboresha mfumo wa usahihishaji

BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA), limesema katika kutekeleza majukumu yake limeweza kuboresha mfumo wa usahihishaji wa mtihani wa kumaliza elimu ya msingi (PSLE). Akizungumza na waandishi wa habari jijini...

 

10 years ago

Habarileo

Wastaafu waanza kunufaika mfumo mpya

WASTAAFU nchini wameanza kunufaika na huduma ya kupokea malipo yao ya pesheni kupitia huduma ya kifedha iliyoanzishwa na Shirika la Posta.

 

10 years ago

Michuzi

WATEJA WA VODACOM WAANZA KUNUFAIKA NA HUDUMA MPYA YA”ONGEA”

Wateja wa Vodacom Tanzania sasa wameanza kunufaika na huduma mpya ya Ongea iliyozinduliwa rasmi leo ambayo inatoa unafuu mkubwa wa kupata huduma za mawasiliano kwa wateja na wananchi kwa ujumla. Ambapo mteja akinunua muda wa maongezi kwa Tsh 1,000/-mteja anapata dakika 100 za maongezi kupiga simu kwa mtandao wa Vodacom kwenda Vodacom,SMS 1000 na MB 100 za data.
Akiongea wakati wa uzinduzi wa huduma hii mpya,Mkuu wa Mawasiliano na Masoko wa Vodacom Tanzania,Kelvin Twissa,amesema kuwa Vodacom...

 

5 years ago

BBCSwahili

Watu waanza kujitolea kushiriki majaribio ya chanjo mpya corona

Watu waliojitolea kutumiwa kwa ajili ya majaribio ya chanjo mpya wameanza kupewa kinga ya chanjo mpya ya virusi vya corona nchini Uingereza.

 

11 years ago

Michuzi

USAHIHISHAJI WA MITIHANI SHULE ZA MSINGI KWA KUTUMIA KOMPYUTA WAPATA MAFANIKIO JIJINI DAR

Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es salaam Bi. Theresia Mmbado akifunga mafunzo ya siku 3 ya matumizi ya Fomu za OMR kwa walimu wakuu 254 wa shule za Msingi za mkoa wa Dar es salaam yaliyofanyika katika shule ya Sekondari Shaaban Robert. Afisa Elimu wa mkoa wa Dar es salaam Bw. Raymond Mapunda akitoa ufafanuzi kwa walimu wakuu wa shule za Msingi za mkoa wa Dar es Salaam kuhusu namna mkoa ulivyojipanga kutatua changamoto za elimu.  Baadhi ya Walimu wakuu wa shule za Msingi jijini Dar es...

 

11 years ago

Mwananchi

Mfumo mpya wa uandikishaji sekondari utazisaidia shule binafsi?

Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa hivi karibuni na Tamongsco, kupitia utaratibu huo waliouita shirikishi, kamati maalumu imeundwa kusimamia uandikishaji wa wanafunzi katika shule za umma na zile binafsi.

 

11 years ago

Michuzi

AJIRA MPYA YA WALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14


 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA- TAMISEMI
  A: OFISI YA WAZIRI MKUU TAMISEMI INATANGAZA ORODHA YA WANACHUO WAHITIMU WA MAFUNZO YA UALIMU KAMA IFUATAVYO:-


i. Walimuwa Cheti (Daraja IIIA) kwa ajili ya shule za msingi 17,928
ii. Walimu wa Stashahada kwa ajili ya shule za sekondari 5,416
iii. Walimu wa Shahada kwa ajili ya shule za sekondari 12,677

Walimu hawa wamepangwa katika Halmashauri na shule za mazoezi za vyuo vya ualimu Tanzania...

 

10 years ago

TZtoday

AJIRA MPYA YA MAFUNDI SANIFU WA MAABARA NA WALIMU KWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2014/15

                           OFISI YA WAZIRI MKUU  

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (OWM - TAMISEMI)

 

AJIRA MPYA YA MAFUNDI SANIFU WA MAABARA NA WALIMU KWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2014/15

A: Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya       

Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inatangaza ajira ya wahitimu wa mafunzo ya ualimu na mafundi sanifu maabara katika mamlaka ya Serikali za Mitaa kama ifuatavyo:-

i.                 walimu wa cheti (Daraja IIIA)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani