Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AJIRA MPYA YA MAFUNDI SANIFU WA MAABARA NA WALIMU KWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2014/15

                           OFISI YA WAZIRI MKUU  

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (OWM - TAMISEMI)

 

AJIRA MPYA YA MAFUNDI SANIFU WA MAABARA NA WALIMU KWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2014/15

A: Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya       

Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inatangaza ajira ya wahitimu wa mafunzo ya ualimu na mafundi sanifu maabara katika mamlaka ya Serikali za Mitaa kama ifuatavyo:-

i.                 walimu wa cheti (Daraja IIIA)...

TZtoday

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

AJIRA MPYA YA WALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14


 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA- TAMISEMI
  A: OFISI YA WAZIRI MKUU TAMISEMI INATANGAZA ORODHA YA WANACHUO WAHITIMU WA MAFUNZO YA UALIMU KAMA IFUATAVYO:-


i. Walimuwa Cheti (Daraja IIIA) kwa ajili ya shule za msingi 17,928
ii. Walimu wa Stashahada kwa ajili ya shule za sekondari 5,416
iii. Walimu wa Shahada kwa ajili ya shule za sekondari 12,677

Walimu hawa wamepangwa katika Halmashauri na shule za mazoezi za vyuo vya ualimu Tanzania...

 

10 years ago

Habarileo

Mafundi sanifu 10,000 kupata ajira Tamisemi

WIZARA ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imepata kibali kutoka menejimenti ya utumishi wa umma wa kuajiri mafundi sanifu zaidi ya 10,000 watakaosaidia uendeshaji wa maabara katika shule mbalimbali za sekondari nchini.

 

10 years ago

Michuzi

MILIONI 40 ZACHANGISHWA KWA UJENZI WA MAABARA YA SHULE YA SEKONDARI

Mwenyekiti wa klabu ya Gymkhana Dioniz Malinzi akipiga mpira wakati wa ufunguzi wa mchezo wa gofu kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa maktaba na vifaa vya kompyuta vya Shule ya Sekondari ya Mtakuja.
Na Beatrice Lyimo- Maelezo
Bahari Rotary Klabu ikishirikiana na HANSA GROUP wamefanya harambee ya tano kwa ajili ya kuchangia Shule ya Sekondari Mtakuja iliyopo Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Harambee hiyo iliyofanyika katika Viwanja vya Gymkhana kwa kuwa shindanisha washiriki kucheza...

 

10 years ago

Michuzi

TPDC YACHANGIA UJENZI WA MAABARA KWA SHULE ZA SEKONDARI ZA MTWARA VIJIJINI

Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Ndg, Wilman Ndile akipokea mfano wa hundi ya shilingi milioni kumi kutoka kwa Kaimu Meneja Mawasiliano wa TPDC, Bi. Venosa Ngowi wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika katika ofisi za Mkuu wa Wilaya. TPDC imechangia ujenzi wa maabara kwa shule za sekondari za Mtwara vijijini. 

 

10 years ago

Michuzi

DCB yatoa msaada wa vifaa vya maabara kwa ajili ya Shule ya Sekondari Kinyerezi

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymund Mushi (wa pili kulia), akipokea sehemu ya msaada wa vifaa vya maabara kwa ajili ya Shule ya Sekondari Kinyerezi, kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya DCB Plc, Edmund Mkwawa, wakati wa makabidhiano yaliyofanyika Dar es Salaam juzio. Kushoto ni Mkuu wa shule hiyo, Judith Charamila na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa benki hiyo, Balozi Paul Rupia.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo kusaidia mpango wa kujenga na kutoa vifaa kwa maabara ya shule za sekondari wilayani Mtwara

A

Meneja wa Tigo kanda ya kusini, Bw.Daniel Mainoya (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu harambee inayojulikana kama Tigo Mtwara Benefit Gala kwa ajili ya ujenzi wa maabara katika wilaya ya Mtwara, kushoto kwake ni mkuu wa wilaya hiyo,Bw. Wilman Ndile na kulia ni Meneja maendeleo ya bishara kampuni ya 361 Degrees,Hamis Omary.

Tigo Tanzania leo imetangaza kwamba itasaidia kujenga na kuchangia vifaa katika maabara ya shule za sekondari ambazo zimekwisha jengwa wilayani Mtwara....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani