Mafundi sanifu 10,000 kupata ajira Tamisemi
WIZARA ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imepata kibali kutoka menejimenti ya utumishi wa umma wa kuajiri mafundi sanifu zaidi ya 10,000 watakaosaidia uendeshaji wa maabara katika shule mbalimbali za sekondari nchini.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
TZtoday
AJIRA MPYA YA MAFUNDI SANIFU WA MAABARA NA WALIMU KWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2014/15
OFISI YA WAZIRI MKUU
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (OWM - TAMISEMI)
AJIRA MPYA YA MAFUNDI SANIFU WA MAABARA NA WALIMU KWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2014/15
A: Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya
Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inatangaza ajira ya wahitimu wa mafunzo ya ualimu na mafundi sanifu maabara katika mamlaka ya Serikali za Mitaa kama ifuatavyo:-
i. walimu wa cheti (Daraja IIIA)...
10 years ago
MichuziMAFUNDI SANIFU (TEMESA) WAFUNDWA KUHUSU USIMAMIZI NA UKAGUZI WA MAZINGIRA, MOROGORO
11 years ago
Mwananchi09 Sep
Ugumu wa kupata ajira kwa wahitimu wa Kitanzania
10 years ago
Dewji Blog19 Jan
Vijana waendelea kupata ajira katika Utumishi wa Umma
Katibu Msaidizi Idara ya Ajira kutoka Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Malimi Muya akiwaeleza waandishi wa Habari leo jijini Dar es salaam (hawapo pichani) sababu zinazopelekea Vijana wengi kupenda kufanya kazi katika Utumishi wa Umma ikiwemo uboreshaji wa mishahara,kuboreshwa kwa mazingira ya kazi,usalama wa kazi unaotokana na kuwepo kwa taratibu za kazi zinazotabirika ,kuwepo kwa taratibu maalum zinazomhakikishia mwajiriwa maslahi au malipo bora baada ya...
11 years ago
Tanzania Daima25 May
Ajira 700,000 kuzalishwa
SERIKALI imesema ajira 700,000 zinatarajiwa kuzalishwa nchini katika mwaka wa fedha 2014/2015. Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka, wakati akiwasilisha makadirio ya...
5 years ago
AnandTech26 Mar
Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19
10 years ago
Habarileo11 Nov
Kampuni ya simu yamwaga ajira 2,000
KAMPUNI ya simu ya Viettel ya Vietnam inayokua kwa kasi duniani ambayo sasa inahamishia nguvu zake katika soko la Tanzania, imetangaza ajira kwa wasomi wa Tanzania zaidi ya 2,000.
10 years ago
GPLSERIKALI YATANGAZA AJIRA ZA WALIMU 30,000
11 years ago
Habarileo23 Dec
Walimu kumwagiwa ajira 26,000 Januari
SERIKALI imetangaza kutoa ajira mpya 26,000 za walimu kuanzia Januari mwakani, ikiwa ni mpango endelevu wa kupunguza uhaba wa walimu katika shule za msingi na sekondari nchini.