SERIKALI YATANGAZA AJIRA ZA WALIMU 30,000
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Jumanne Sagini (kulia) akizungumza jambo. Dar es Salaam. Serikali imetangaza ajira mpya za walimu 31,056 wanaotakiwa kuanza kazi kuanzia Mei Mosi, mwaka huu. Mbali na walimu, pia imetangaza ajira kwa mafundi sanifu wa maabara 10,625 ambao pia wataanza kazi sambamba na walimu hao.Akizungumza jana, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi12 Mar
OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA YATANGAZA AJIRA KWA WALIMU WAPYA MWAKA 2013/14
OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
![](https://3.bp.blogspot.com/-Twf6T849VFA/Ux61eMEbO7I/AAAAAAACrNU/wKcyjApmjL4/s1600/200px-Coat_of_arms_of_Tanzania.svg.png)
11 years ago
Habarileo23 Dec
Walimu kumwagiwa ajira 26,000 Januari
SERIKALI imetangaza kutoa ajira mpya 26,000 za walimu kuanzia Januari mwakani, ikiwa ni mpango endelevu wa kupunguza uhaba wa walimu katika shule za msingi na sekondari nchini.
10 years ago
GPLORIFLAME TANZANIA YATOA AJIRA KWA VIJANA 60,000 NCHINI- YATANGAZA BIDHAA ZAKE MPYA
9 years ago
Mwananchi24 Dec
Serikali yatangaza ‘kuminya’ ajira za wageni
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Serikali yafafanua kuchelewa kwa ajira za walimu nchini
BREAKING NEWS, AJIRA ZIMETOKA!! SOMA HAPA AJIRA MPYA ZA WAALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14
<<< Bofya hapa >>>
10 years ago
Mwananchi21 Feb
Serikali kuajiri walimu 35,000 sekondari
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-V5Ov98U2v1s/VOdugM4LC8I/AAAAAAAHE2Y/0RZJ6cVPhs4/s72-c/IMG_4991.jpg)
SERIKALI KUAJIRI WALIMU 35,000 - WAZIRI MKUU
![](http://1.bp.blogspot.com/-V5Ov98U2v1s/VOdugM4LC8I/AAAAAAAHE2Y/0RZJ6cVPhs4/s1600/IMG_4991.jpg)
Ametoa kauli hiyo jana jioni (Alhamisi, Februari 19, 2015) wakati akizungumza na mamia ya wakazi wa kata ya Kiwere, mara baada ya kukagua ujenzi wa maabara na kuzindua nyumba nne za walimu kwenye shule ya sekondari ya Kiwere, tarafa ya Kalenga, wilayani Iringa.
Waziri Mkuu alisema walimu hao watagawanywa kwenye shule kulingana...
10 years ago
Mwananchi22 Dec
Qatar yatangaza nafasi za ajira kwa Watanzania
10 years ago
Habarileo28 Apr
Ajira za walimu hadharani
SERIKALI imetenga Sh bilioni tisa kwa ajili ya posho ya kujikimu na nauli kwa ajili ya walimu 31,056 na mafundi sanifu maabara 10,625, ambao ajira zao zimetangazwa jana huku wakitakiwa kuanza kazi Mei Mosi mwaka huu.