Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kuajiri walimu 35,000 sekondari

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema Serikali imepanga kuajiri walimu zaidi ya 35,000 kwa ajili ya shule za sekondari ili kukabiliana na tatizo la uhaba wa walimu nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SERIKALI KUAJIRI WALIMU 35,000 - WAZIRI MKUU

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali imepanga kuajiri walimu zaidi ya 35,000 kwa ajili ya shule za sekondari ili kukabiliana na tatizo la uhaba wa walimu nchini.
Ametoa kauli hiyo jana jioni (Alhamisi, Februari 19, 2015) wakati akizungumza na mamia ya wakazi wa kata ya Kiwere, mara baada ya kukagua ujenzi wa maabara na kuzindua nyumba nne za walimu kwenye shule ya sekondari ya Kiwere, tarafa ya Kalenga, wilayani Iringa.
Waziri Mkuu alisema walimu hao watagawanywa kwenye shule kulingana...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali kuajiri wapya 11,000 sekta ya afya

Katika kuboresha utoaji wa huduma za afya nchini mwaka huu, Serikali inatarajia kuajiri wafanyakazi wapya zaidi ya 11,000, imeelezwa.

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AAHIDI SERIKALI KUAJIRI WALIMU 13,526 KIPINDI CHA MWAKA HUU WA FEDHA

Rais Dk. John Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa kwenye Mkutano Mkuu wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT), uliofanyika katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, leo.

Dodoma, Tanzania
Rais Dk. John Magufuli amesema kati ya Watumishi 524,295 wa umma Watumishi 266,905 ni Walimu ambao ni sawa na asilimia 51 na kwamba pamoja na kuwaajiri walimu 22,342 katika kipindi hiki cha miaka mitano walimu wengine 13,526 wataajiriwa katika mwaka huu wa fedha.

Rais Dk. Magufuli amesema hayo leo...

 

10 years ago

GPL

SERIKALI YATANGAZA AJIRA ZA WALIMU 30,000

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Jumanne Sagini (kulia) akizungumza jambo. Dar es Salaam. Serikali imetangaza ajira mpya za walimu 31,056 wanaotakiwa kuanza kazi kuanzia Mei Mosi, mwaka huu.
Mbali na walimu, pia imetangaza ajira kwa mafundi sanifu wa maabara 10,625 ambao pia wataanza kazi sambamba na walimu hao.Akizungumza jana, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kiwanda cha nguo cha Tooku kuajiri 3,000

>Kiwanda cha Tanzania Tooku Garments Co. Ltd kinachozalisha nguo kwa ajili ya soko la Marekani kinakusudia kupanua zaidi shughuli zake na kuongeza idadi ya ajira kutoka 1,000 hadi 3,000.

 

11 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete aahidi Serikali kuajiri mahakimu 600

Rais Jakaya Kikwete amesema serikali inakusudia kuboresha utendaji wa mahakama nchini kwa kuongeza ajira na kuendelea kufanyia mabadiliko sheria ambazo zimepitwa na wakati.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zawadi Sekondari yapungukiwa walimu, vifaa

WAKATI tukitegemea mafanikio yetu katika swala la elimu, shule za kata zimezidi kuwa na hali mbaya na upungufu mkubwa wa vifaa. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili juzi, Kaimu Mkuu wa...

 

11 years ago

Habarileo

Walimu wanne Sekondari waamriwa kuhama

WALIMU wanne wa shule ya Sekondari Kindai, Manispaa ya Singida wametakiwa kuhama mara moja. Wamepewa agizo hilo baada ya kukiri kuwa walitoa adhabu ya udhalilishaji kwa wasichana wote wa shule hiyo, kwa madai kuwa mmoja wao alitupa chooni taulo ya kike iliyotumika.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sekondari ya Nainokanoka yalia uhaba walimu wa sayansi

SHULE ya Sekondari ya Nainokanoka wilayani hapa Mkoa wa Arusha inakabiliwa na ukosefu wa walimu wa masomo ya sayansi licha ya kuwa na mchepuo huo. Hayo yamebainishwa na Kaimu Mkuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani