Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajira za walimu hadharani

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Jumanne SaginiSERIKALI imetenga Sh bilioni tisa kwa ajili ya posho ya kujikimu na nauli kwa ajili ya walimu 31,056 na mafundi sanifu maabara 10,625, ambao ajira zao zimetangazwa jana huku wakitakiwa kuanza kazi Mei Mosi mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Ajira kwa walimu wa Kiswahili

Suala ya ajira linajadiliwa kwa masikitiko makubwa miongoni mwa wanasiasa, wananchi wa kawaida na wanataalamu wengi hapa nchini wakidai kuwa vijana wanaomaliza elimu ya msingi, sekondari na vyuo vikuu hawapati ajira. Kwa mtazamo  wa watu wengi, lawama  zinaelekezwa kwa viongozi wa Serikali kwa kukosa uzalendo. Lawama zinaweza kuwa ni kutokuwa na mitalaa inayolenga kuwaandaa wanafunzi kujitegemea baada ya masomo yao. Vilevile SerikaIi  kutochangamkia fursa za ajira zinazojitokeza...

 

10 years ago

Habarileo

Ajira mpya za walimu Mei

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Jumanne SaginiSERIKALI imesema ajira za walimu wapya zitaanza rasmi Mei Mosi, mwaka huu huku ikiweka wazi kuwa walimu hao wasitegemee kupangiwa katika maeneo ya majiji, manispaa na miji.

 

11 years ago

Habarileo

Walimu kumwagiwa ajira 26,000 Januari

Naibu Waziri wa Nchi, Tamisemi, anayeshughulikia Elimu, Kassim MajaliwaSERIKALI imetangaza kutoa ajira mpya 26,000 za walimu kuanzia Januari mwakani, ikiwa ni mpango endelevu wa kupunguza uhaba wa walimu katika shule za msingi na sekondari nchini.

 

10 years ago

GPL

SERIKALI YATANGAZA AJIRA ZA WALIMU 30,000

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Jumanne Sagini (kulia) akizungumza jambo. Dar es Salaam. Serikali imetangaza ajira mpya za walimu 31,056 wanaotakiwa kuanza kazi kuanzia Mei Mosi, mwaka huu.
Mbali na walimu, pia imetangaza ajira kwa mafundi sanifu wa maabara 10,625 ambao pia wataanza kazi sambamba na walimu hao.Akizungumza jana, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yafafanua kuchelewa kwa ajira za walimu nchini

Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu walimu waliomaliza masomo yao na kutopangiwa vituo vya kazi kuwa muda wa kufanya hivyo bado.

BREAKING NEWS, AJIRA ZIMETOKA!! SOMA HAPA AJIRA MPYA ZA WAALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14

<<< Bofya hapa >>>

 

10 years ago

Habarileo

Vita Sudan Kusini yazuia ajira kwa walimu nchini

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa.SERIKALI imesema haiwezi kupeleka walimu nchini Sudan Kusini licha ya kuwa na soko kubwa la walimu kutokana na hali tete ya usalama nchini humo.

 

11 years ago

Michuzi

AJIRA MPYA YA WALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14


 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA- TAMISEMI
  A: OFISI YA WAZIRI MKUU TAMISEMI INATANGAZA ORODHA YA WANACHUO WAHITIMU WA MAFUNZO YA UALIMU KAMA IFUATAVYO:-


i. Walimuwa Cheti (Daraja IIIA) kwa ajili ya shule za msingi 17,928
ii. Walimu wa Stashahada kwa ajili ya shule za sekondari 5,416
iii. Walimu wa Shahada kwa ajili ya shule za sekondari 12,677

Walimu hawa wamepangwa katika Halmashauri na shule za mazoezi za vyuo vya ualimu Tanzania...

 

10 years ago

TZtoday

AJIRA MPYA YA MAFUNDI SANIFU WA MAABARA NA WALIMU KWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2014/15

                           OFISI YA WAZIRI MKUU  

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (OWM - TAMISEMI)

 

AJIRA MPYA YA MAFUNDI SANIFU WA MAABARA NA WALIMU KWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2014/15

A: Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya       

Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inatangaza ajira ya wahitimu wa mafunzo ya ualimu na mafundi sanifu maabara katika mamlaka ya Serikali za Mitaa kama ifuatavyo:-

i.                 walimu wa cheti (Daraja IIIA)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani