Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Qatar yatangaza nafasi za ajira kwa Watanzania

Serikali ya Qatar imesema iko tayari kuajiri Watanzania katika nyanja mbalimbali za kitaalamu kwa kuwa taifa hilo lina uhaba wa wataalamu katika maeneo mengi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yatangaza fursa sawa ya ajira kwa watanzania bila kujali mipaka

 Mkuu wa kitengo cha Rasilimali watu wa benki ya Exim Tanzania  Bw. Frederick Kanga (katikati) akimfanyia usahili mmoja wa watanzania anayeishi nchini Marekani Bw. Paul Rupia mara baada ya Mkutano wa Uajiri barani  Afrika (Career Africa Recruitment Summit 2015) uliofanyika mjini New York, Marekani hivi karibuni. Anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo Bw Dinesh Arora. Benki hiyo imeahidi kutoa fursa sawa za ajira kwa Watanzania wote wakiwemo wale wanaoishi nje ya nchi ili...

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania kunufaika na ajira Qatar - Pinda

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Watanzania watanufaika na kipato na maarifa ya teknolojia ya kisasa kutokana na ajira, ambazo watapata katika nchi ya Qatar baada ya mkataba kusainiwa hivi karibuni.

 

10 years ago

Mtanzania

Watanzania kunufaika na ajira Qatar- Pinda

Mizengo-Pinda

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Na Mwandishi Maalumu, Qatar
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema Watanzania watanufaika na kipato na maarifa ya teknolojia ya kisasa kutokana na ajira ambazo watapata katika nchi ya Qatar baada ya mkataba kusainiwa hivi karibuni.
Hayo aliyasema jana jijini Doha, Qatar wakati akizumgumza na waandishi wa habari ili kuwapa taarifa fupi juu ya mambo yaliyojiri katika mazungumzo yake na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Abdulla Nasser Al Thani.
Katika mazungumzo hayo ambayo...

 

10 years ago

GPL

ORIFLAME TANZANIA YATOA AJIRA KWA VIJANA 60,000 NCHINI- YATANGAZA BIDHAA ZAKE MPYA

 Mkurugenzi Mwandamizi wa Kampuni hiyo, Japhet Naftal (kulia), akiwapigisha makofi wanachama wa Oriflame baada ya kuzungumza nao katika hafla hiyo ya kutangaza bidhaa mpya za Kampuni hiyo iliyofanyika katika ofisi zao Dar es Salaam leo jioni zilizopo Posta Mpya ghorofa la Benjamin William Mkapa Towers Mezzanine Floor..  Meneja Mkazi wa… ...

 

11 years ago

Michuzi

OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA YATANGAZA AJIRA KWA WALIMU WAPYA MWAKA 2013/14

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
 Jumla ya Walimu wapya 36,021 ambao wamehitimu mwaka 2013 kutoka vyuo mbalimbali hapa nchini wataajiriwa rasmi na Mamlaka za Serikali za Mitaa (Halmashauri) ifikapo tarehe 01 Aprili 2014. Kati ya idadi hiyo walimu wa ngazi ya Cheti (Daraja III A) ambao hufundisha katika shule za Msingi ni 17,928 na walimu wa shule za sekondari ni 18,093 (wakiwemo 5,416 wa Stashahada na 12,677 wenye...

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KATIKA JESHI LA MAGEREZA KWENYE BAADHI YA MITANDAO YA KIJAMII


Katika siku za hivi karibuni, kumekuwepo na tangazo kuhusu nafasi za ajira katika Jeshi la Magereza linalodaiwa kuwa limetolewa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza na kusambazwa kwenye baadhi ya Mitandao ya kijamii. Umma unajulishwa kuwa taarifa hizo siyo za kweli.
Jeshi la Magereza linapenda kuufahamisha umma kuwa ajira hutolewa na kutangazwa kupitia Vyombo vya Habari pamoja na tovuti ya Jeshi la Magereza ya www.magereza.go.tz 
Hivyo, Jeshi la Magereza linawatahadharisha Wananchi wote...

 

10 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA 49 CHUO CHA CBE YAFANA, SERIKALI YAYATAKA MAKAMPUNI KUACHA KUTOA NAFASI NYINGI ZA AJIRA KWA WAGENI

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdallah Kigoda (kulia) ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 49 ya Chuo cha Elimu ya Biashara kampasi ya Dar es salaam akiimba wimbo wa Taifa wakati wa ufunguzi rasmi wa mahafali hayo jijini Dar es salaam. Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Mathew Luhanga (katikati) na Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Emanuel Mjema.Baadhi ya wahitimu wa shahada ya Uhasibu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani