Watanzania kunufaika na ajira Qatar - Pinda
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Watanzania watanufaika na kipato na maarifa ya teknolojia ya kisasa kutokana na ajira, ambazo watapata katika nchi ya Qatar baada ya mkataba kusainiwa hivi karibuni.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania22 Dec
Watanzania kunufaika na ajira Qatar- Pinda
Na Mwandishi Maalumu, Qatar
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema Watanzania watanufaika na kipato na maarifa ya teknolojia ya kisasa kutokana na ajira ambazo watapata katika nchi ya Qatar baada ya mkataba kusainiwa hivi karibuni.
Hayo aliyasema jana jijini Doha, Qatar wakati akizumgumza na waandishi wa habari ili kuwapa taarifa fupi juu ya mambo yaliyojiri katika mazungumzo yake na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Abdulla Nasser Al Thani.
Katika mazungumzo hayo ambayo...
10 years ago
Mwananchi22 Dec
Qatar yatangaza nafasi za ajira kwa Watanzania
10 years ago
MichuziMH. PINDA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO QATAR
10 years ago
Dewji Blog23 Dec
Pinda akutana na kiongozi wa kampuni ya gesi ya Qatar na kutembelea eneo la ujenzi wa bandari mpya ya Qatar.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bw. Otty Msuku ambaye ni Mtanzania , Mtalaamu wa upimaji ardhi katika mradi wa ujenzi wa bandari mpya ya Qatar wakati alipotembelea eneo la ujenzi wa bandari hiyo akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 22, 2014. Katikati ni Mkurugenzi mwendeshaji wa Mradi huo, Don Morrison. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikaribishwa na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mradi wa Mradi wa ujenzi wa bandari mpya ya Qatar, Bw. Yusuf...
11 years ago
Tanzania Daima04 Mar
Wasio na ajira rasmi kunufaika uchangiaji wa hiari PSPF
MABADILIKO katika sekta ya hifadhi ya jamii yameleta neema baada ya kuwepo na mabadiliko ya sheria ya mfuko. Sheria ya mfuko inaruhusu kusajili wanachama katika sekta zote za umma na...
11 years ago
Michuzi02 Jun
TANZANIA NA QATAR ZASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA KAZI NA AJIRA
![](https://4.bp.blogspot.com/-VlUQ04yeLL0/U4xkUzK5LQI/AAAAAAAAUJY/Uvk-1UUqh_I/s1600/IMG_4560.jpg)
10 years ago
Day Tour22 Dec
Pinda in Qatar for three
IPPmedia
IPPmedia
Prime Minister Mizengo Pinda yesterday began a three-day tour of Doha, Qatar, according to a press statement from his office. It said the tour follows an invitation from the Qatar government, and while in Doha, the PM will look into ways of strengthening ...
Qatar job market open for TanzaniaDaily News
all 4
10 years ago
VijimamboPINDA ZIARANI QATAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-5plb-j8FdVs/VJavJm7jQkI/AAAAAAAAOiQ/i7qFFZ1wfiU/s640/mmm.jpg)
10 years ago
Dewji Blog23 Dec
Pinda akutana na wafanyabiashara wa Qatar
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wafanyabiashara wa Qatar wanaokusudia kuwekeza Tanzania katika mkutano na wafanyabiashara hao uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton mjini Doha Desemba 22, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya wafanyabiashara wa Qatar wanaokusudia kuwekeza Tanzania katika mkutano uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton mjini Doha Desemba 22, 2014. Alikuwa katika ziara ya kaikazi nchini humo. (Picha na...