Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda akutana na kiongozi wa kampuni ya gesi ya Qatar na kutembelea eneo la ujenzi wa bandari mpya ya Qatar.

PG4A5517

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bw.  Otty Msuku  ambaye ni Mtanzania ,  Mtalaamu wa upimaji ardhi katika mradi wa ujenzi wa bandari mpya ya Qatar  wakati alipotembelea eneo la ujenzi wa bandari hiyo akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 22, 2014. Katikati ni Mkurugenzi mwendeshaji wa Mradi huo, Don Morrison. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A5521

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikaribishwa na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mradi wa Mradi wa ujenzi wa bandari mpya ya Qatar, Bw. Yusuf...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mtanzania asimamia mradi ujenzi wa Bandari ya Qatar

>Serikali ya Qatar inajenga bandari mpya katika eneo la jangwa, mradi unaogharimu Dola za Marekani 80 bilioni na ikimteua raia wa Tanzania asimamie kazi hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda ‘kuinadi’ gesi ya Mtwara, mafuta Qatar

Waziri Mkuu Mizengo Pinda anaendelea na ziara yake ya siku tatu nchini Qatar na kazi kubwa ni kutafuta wawekezaji katika sekta ya mafuta na gesi pamoja na maeneo mengine ya kiuchumi ikiwemo utalii na fursa za biashara.

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na wafanyabiashara wa Qatar

PG4A5697

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wafanyabiashara wa Qatar wanaokusudia kuwekeza Tanzania katika mkutano na wafanyabiashara  hao uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton mjini Doha Desemba 22, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A5699

PG4A5726

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya wafanyabiashara wa Qatar wanaokusudia kuwekeza Tanzania  katika mkutano uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton mjini Doha Desemba 22, 2014. Alikuwa katika ziara ya kaikazi nchini humo. (Picha na...

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO QATAR

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda wakizungumza na Mchezaji Mwinyi Kazimoto ambaye ni Mtanzania anayecheza soka la kulipwa katika timu ya Al Markhiaya nchini Qatar, katika mkutano kati yake na watanzania waishio nchini humo uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton mjini Doha Desemba 21, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda (kushoto kwake) wakizungumza na baadhi ya washiriki wa mkutano kati yake na watanzania waishio nchini Qatar uliofanyika kwenye hoteli ya...

 

9 years ago

Vijimambo

AZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA BALOZI WA BURUNDI NA QATAR

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Burundi hapa Nchini Bwana Issa Ntambuka ambaye alifika ofisini kwa Waziri Mkuu leo jijini Dar es salaam kwa mazungumzo ya kikazi.Waziri mkuu Mizengo Pinda akimsikiliza kwa makini Balozi wa Burundi hapa nchini Bwana Issa Ntambuka ambaye alifaka ofisini kwa Waziri Mkuu leo Jijini Dar es salaam kwamazungumzo ya kikazi. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akutana na Balozi wa Qatar hapa Nchini Bwana Abdullah Jassim Al Maadadi ambaye alifika ofisini kwa...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA BALOZI WA BURUNDI NA QATAR

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Burundi hapa Nchini  Bwana Issa Ntambuka ambaye alifika ofisini kwa Waziri Mkuu leo jijini Dar es salaam kwa mazungumzo ya kikazi. Waziri mkuu Mizengo Pinda akimsikiliza kwa makini Balozi wa Burundi hapa nchini Bwana Issa Ntambuka ambaye alifaka ofisini kwa Waziri Mkuu leo Jijini Dar es salaam kwamazungumzo ya kikazi. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akutana na Balozi wa Qatar hapa Nchini Bwana Abdullah Jassim Al Maadadi ambaye alifika ofisini...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA BANDARI MPYA YA MPIGADURI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Mkuu wa Shirika la Bandari Mbarouk Hamadi Mbarouk (wa pili kushoto) wakati alipotembelea Eneo la Ujenzi wa Bandari Mpya ya kisasa Mpigaduri Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi itakayojengwa Kampuni ya CHINA HARBOUR ENGINEERING COMPANY LTD (CHEC) kutoka Nchini China,(kushoto) Naibu Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi. Rais wa Zanzibar na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Qatar 2022: Qatar yapinga madai ya Amnesty

Qatar imepinga madai ya Amnesty International kuwa inawadhulumu wafanyikazi wanaojenga viwanja

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani