Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania kunufaika na ajira Qatar- Pinda

Mizengo-Pinda

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Na Mwandishi Maalumu, Qatar
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema Watanzania watanufaika na kipato na maarifa ya teknolojia ya kisasa kutokana na ajira ambazo watapata katika nchi ya Qatar baada ya mkataba kusainiwa hivi karibuni.
Hayo aliyasema jana jijini Doha, Qatar wakati akizumgumza na waandishi wa habari ili kuwapa taarifa fupi juu ya mambo yaliyojiri katika mazungumzo yake na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Abdulla Nasser Al Thani.
Katika mazungumzo hayo ambayo...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Watanzania kunufaika na ajira Qatar - Pinda

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Watanzania watanufaika na kipato na maarifa ya teknolojia ya kisasa kutokana na ajira, ambazo watapata katika nchi ya Qatar baada ya mkataba kusainiwa hivi karibuni.

 

10 years ago

Mwananchi

Qatar yatangaza nafasi za ajira kwa Watanzania

Serikali ya Qatar imesema iko tayari kuajiri Watanzania katika nyanja mbalimbali za kitaalamu kwa kuwa taifa hilo lina uhaba wa wataalamu katika maeneo mengi.

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO QATAR

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda wakizungumza na Mchezaji Mwinyi Kazimoto ambaye ni Mtanzania anayecheza soka la kulipwa katika timu ya Al Markhiaya nchini Qatar, katika mkutano kati yake na watanzania waishio nchini humo uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton mjini Doha Desemba 21, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda (kushoto kwake) wakizungumza na baadhi ya washiriki wa mkutano kati yake na watanzania waishio nchini Qatar uliofanyika kwenye hoteli ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na kiongozi wa kampuni ya gesi ya Qatar na kutembelea eneo la ujenzi wa bandari mpya ya Qatar.

PG4A5517

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bw.  Otty Msuku  ambaye ni Mtanzania ,  Mtalaamu wa upimaji ardhi katika mradi wa ujenzi wa bandari mpya ya Qatar  wakati alipotembelea eneo la ujenzi wa bandari hiyo akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 22, 2014. Katikati ni Mkurugenzi mwendeshaji wa Mradi huo, Don Morrison. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A5521

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikaribishwa na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mradi wa Mradi wa ujenzi wa bandari mpya ya Qatar, Bw. Yusuf...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasio na ajira rasmi kunufaika uchangiaji wa hiari PSPF

MABADILIKO katika sekta ya hifadhi ya jamii yameleta neema baada ya kuwepo na mabadiliko ya sheria ya mfuko. Sheria ya mfuko inaruhusu kusajili wanachama katika sekta zote za umma na...

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA NA QATAR ZASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA KAZI NA AJIRA

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) kwa pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kazi na Ajira wa Qatar wakisaini Mkataba wa Kazi ambao unalenga kuwawezesha Watanzania hususan vijana wenye ujuzi/taaluma katika fani mbalimbali kupata fursa za ajira na kazi za staha, ujira stahiki, kujiunga na hifadhi za jamii nchini Qatar.  Mkataba huo pia unazingatia sheria na viwango vya kazi kulingana na Mikataba ya Kimaataifa ikiwemo ya Shirika la...

 

10 years ago

Day Tour

Pinda in Qatar for three


IPPmedia
Pinda in Qatar for three-day tour
IPPmedia
Prime Minister Mizengo Pinda yesterday began a three-day tour of Doha, Qatar, according to a press statement from his office. It said the tour follows an invitation from the Qatar government, and while in Doha, the PM will look into ways of strengthening ...
Qatar job market open for TanzaniaDaily News

all 4

 

10 years ago

Vijimambo

PINDA ZIARANI QATAR

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri Mkuu wa Qatar , Sheikh Abdullah Nasser Al Thani kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu huyo iliyopo Doha Jumapili Desemba 21, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Abdullah Nasser Al Thani kwenda kwenye chumba cha mikutano baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu huyo iliyopo Doha kwa mazungumzo ya kiserikali akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 21, 2014.Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na wafanyabiashara wa Qatar

PG4A5697

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wafanyabiashara wa Qatar wanaokusudia kuwekeza Tanzania katika mkutano na wafanyabiashara  hao uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton mjini Doha Desemba 22, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A5699

PG4A5726

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya wafanyabiashara wa Qatar wanaokusudia kuwekeza Tanzania  katika mkutano uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton mjini Doha Desemba 22, 2014. Alikuwa katika ziara ya kaikazi nchini humo. (Picha na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani