Vijana waendelea kupata ajira katika Utumishi wa Umma
Katibu Msaidizi Idara ya Ajira kutoka Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Malimi Muya akiwaeleza waandishi wa Habari leo jijini Dar es salaam (hawapo pichani) sababu zinazopelekea Vijana wengi kupenda kufanya kazi katika Utumishi wa Umma ikiwemo uboreshaji wa mishahara,kuboreshwa kwa mazingira ya kazi,usalama wa kazi unaotokana na kuwepo kwa taratibu za kazi zinazotabirika ,kuwepo kwa taratibu maalum zinazomhakikishia mwajiriwa maslahi au malipo bora baada ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziAJIRA ZA VIJANA WANAOAJIRIWA KATIKA UTUMISHI WA UMMA ZAONGEZEKA
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Na Dotto...
10 years ago
MichuziWADAU WAENDELEA KUTEMBELEA BANDA LA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA YANAYOENDELEA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR
10 years ago
MichuziUTUMISHI YAKABIDHIWA ZAWADI YA USHIRIKI WA TANZANIA KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA BARANI AFRIKA YALIYOFANYIKA CONGO BRAZAVILLE
11 years ago
MichuziWananchi wahimizwa kutembelea Banda la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
Wananchi wamehimizwa kutembelea banda la Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Wito huo umetolewa na Afisa wa Maadili Mwandamizi Bw. Bazilio Mwanakatwe wakati akizungumza na Waandishi wa Habari waliotembelea banda la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika maonesho hayo.
Bw. Mwanakatwe aliendelea kubainisha kuwa...
10 years ago
MichuziMkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika waendelea jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu...
10 years ago
Michuzi05 May
11 years ago
MichuziOFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA YAKUTANISHA WADAU KUTOA MAONI KUHUSU MIKATABA YA UTENDAJI KAZI KATIKA TAASISI ZA UMMA
10 years ago
Dewji Blog01 Sep
Tume ya Utumishi wa Umma yaendelea kuimarisha uzingatiaji wa sheria, kanuni na taratibu za masuala ya ajira
Naibu Katibu wa Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Umma Bi. Neema Tawale akieleza kwa waandishi wa Habari (Hawapo pichani) kuhusu tathmini ya Tume juu ya uzingatiaji wa sheria,kanuni na taratibu za masuala ya ajira katika utumishi wa uuma, wakati wa mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Kaimu Katibu Msaidizi wa Tume hiyo Bw. John Mbisso.
Kaimu Katibu Msaidizi wa Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Umma Bw. John Mbisso akiongea na waandishi wa (Hawapo pichani) kuhusu...