Ugumu wa kupata ajira kwa wahitimu wa Kitanzania
Huenda tukio hili likawa la aina yake nchini na hata kubaki katika kumbukumbu za watu wengi kwa sasa na miaka ijayo. Hili ni tukio la wahitimu zaidi ya 10,000 kuitwa katika usaili wa kazi wakigombea nafasi 70 zilizotangazwa na Idara ya Uhamiaji.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima01 May
Wahitimu chuo cha ufundi kwa walemavu wakosa ajira
WAHITIMU wa Chuo cha Ufundi cha watu wenye ulemavu Yombo wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kukosa ajira kutokana na mtazamo potofu wa jamii. Hayo yalibainishwa juzi jijini Dar es Salaam...
11 years ago
Tanzania Daima11 Aug
KKKT yasaidia kupunguza ugumu wa ajira
KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria, limeanzisha mkakati wa kuboresha elimu ya sekondari utakaomwezesha mhitimu kujiajiri. Mkakati huo unatekelezwa katika Jimbo la Kusini Magharibi wilayani...
9 years ago
StarTV15 Dec
ILO kutoa mafunzo kazini kwa wahitimu wa elimu ya juu kukabiliana na tatizo la ajira
Wakati Tanzania ikikabiliwa na tatizo la ajira kwa vijana, vyuo vingi nchini bado vinatajwa kuwa na upungufu wa kutoa elimu kwa vitendo na kuwafanya vijana wanaomaliza elimu ya juu kushindwa kumudu ushindani katika soko la ajira.
Kutokana na upungufu huo unalisukuma Shirika la Kazi Duniani (ILO) kuanzisha mafunzo ya unagezi wakimaanisha mafunzo kazini.
Mafunzo ya unagezi ni mafunzo yanayotolewa kwa vijana katika maeneo yao ya kazi kwa lengo la kuwajengea uwezo katika kipindi hiki ambacho...
10 years ago
Habarileo29 Dec
Wahitimu wa JKT wasotea ajira
UMOJA wa Askari wa Jeshi la Kujenga Taifa Tanzania (JKT), waliomaliza mikataba yao ya miaka miwili ya mafunzo ya kujitolea na kurejea makwao tangu mwaka 2000, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete kuwasaidia wapate ajira za kudumu, ili mafunzo waliyopata wayatumie kujenga nchi.
11 years ago
Habarileo12 Dec
JWTZ kuwapatia ajira wahitimu JKT
WIZARA ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa inaandaa mchakato wa kuwafuatilia na kuwapatia ajira mbalimbali na mafunzo ya kujiendeleza vijana wote waliopata mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), ili wasijiingize katika vitendo vya uhalifu.
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-2Wubk_hhxYk/VRun4oR6uMI/AAAAAAADeEI/h-4Z52m1zTc/s72-c/un2.jpg)
RAIS KIKWETE AHUTUBIA UMOJA W MATAIFA KATIKA MKUTANO WA KUPATA MAENDELEO ENDELEVU KWA KUKUZA AJIRA NA KAZI ZA UTU
![](http://2.bp.blogspot.com/-2Wubk_hhxYk/VRun4oR6uMI/AAAAAAADeEI/h-4Z52m1zTc/s1600/un2.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-vpm5AngUtJA/VRun5NtM-TI/AAAAAAADeEQ/C1x-Aime8ws/s1600/un3.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/--qX5jO2V1KU/VRu_qkHJ3zI/AAAAAAAHOuM/3eV162Ggxoc/s72-c/un2.jpg)
RAIS KIKWETE AHUTUBIA UMOJA WA MATAIFA KATIKA MKUTANO WA KUPATA MAENDELEO ENDELEVU KWA KUKUZA AJIRA NA KAZI ZA UTU
![](http://2.bp.blogspot.com/--qX5jO2V1KU/VRu_qkHJ3zI/AAAAAAAHOuM/3eV162Ggxoc/s1600/un2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-1K684XoqEuk/VRu_q973ZaI/AAAAAAAHOuU/k18sgfeiAtE/s1600/un3.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-0Jif4iDpRqQ/VRu_q9uYJJI/AAAAAAAHOuQ/awjnrzRbm6c/s1600/un4.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-asAKYVqP5f8/VRu_rq9ldFI/AAAAAAAHOug/RgDcVsFPxNg/s1600/un6.jpg)
10 years ago
VijimamboWatanzania Waishio Nje ya Nchi sasa Kupata Filamu za Kitanzania Kupitia Mtandao
9 years ago
MichuziSerikali yawahakikishia ajira wahitimu sekta ya maji