KKKT yasaidia kupunguza ugumu wa ajira
KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria, limeanzisha mkakati wa kuboresha elimu ya sekondari utakaomwezesha mhitimu kujiajiri. Mkakati huo unatekelezwa katika Jimbo la Kusini Magharibi wilayani...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziGODTEC yasaidia kupunguza tatizo la ajira kwa Vijana
Meneja wa POSO Kanda ya Ziwa Bw. Emmanuel Kisamba (kushoto) akitoamaelezo kwa mwananchi aliyetembelea banda la Kampuni ya GODTEC katika viwanja vya Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora ambapo Maonyesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yanayofanyika mkoani humo kuelekea Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Kumbukumbu ya Miaka 15 ya Kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere. Afisa Mtendaji Mkuu wa PAFRI Bw. Boniphace Alex akitoa maelezo namna ya jiko lilotengenezwa na Kampuni yake...
10 years ago
Mwananchi09 Sep
Ugumu wa kupata ajira kwa wahitimu wa Kitanzania
Huenda tukio hili likawa la aina yake nchini na hata kubaki katika kumbukumbu za watu wengi kwa sasa na miaka ijayo. Hili ni tukio la wahitimu zaidi ya 10,000 kuitwa katika usaili wa kazi wakigombea nafasi 70 zilizotangazwa na Idara ya Uhamiaji.
10 years ago
Vijimambo14 Nov
BENKI YA NMB MBEYA YASAIDIA KUPUNGUZA TATIZO LA MADAWATI MASHULENI.
Meza kuu ikiwa na wageni mbali mbali waalikwa waliohudhuria hafla ya kukabidhi madawati kwa Shule tatu za Jiji la Mbeya kutoka benki ya NMB Mbeya. Wanafunzi wa Shule ya Msingi Azimio wakiwa wamekalia madawati ambayo yametolewa kwa shule hiyo na Benki ya NMB. Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Nyanda za juu kusini, Lecrisia Makiriye, akitoa taarifa ya msaada wanaokabidhi katika hafla iliyofanyika shule ya Msingi Azimio. Mstahiki wa Jiji la Mbeya, Atanus Kapunga, akipokea Msaada wa madawati...
10 years ago
MichuziBENKI YA NBC YASAIDIA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA
Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Rukia Mtingwa akikabidhi cheti kwa Eddah Francis (kulia), mmoja wa wahitimu wa mradi wa Kuendeleza Vijana Kiuchumi Dar es Salaam katika mahafali yao yalifanyika Chuo cha ufundi stadi cha Future World, Gongo la mboto, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam leo. Kulia kwa Rukia ni Mkuu wa Future World, Robert Mkolla na Meneja Huduma za Jamii wa NBC, Irene Peter. Mradi huo umefadhiliwa na NBC kwa kushirikiana na Shirika la Plan...
9 years ago
Mwananchi06 Dec
SHERIA NGOWI : Nitaisaidia Serikali kupunguza tatizo la ajira
Ni nembo iliyojizolea umaarufu mkubwa duniani. Imewahi kuvaliwa na watu maarufu wakiwamo Rais Jakaya Kikwete pamoja na rais Edgar Lungu wa Zambia, si ajabu kusikia nembo hii ikivalisha mawaziri na hata Rais mpya wa nchi hii.
10 years ago
MichuziSerikali yaweka Mkakati kupunguza changamoto ya ajira kwa Vijana
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Fatma Mwassa akizungumza na wananchi jana wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya Vijana yanayofanyika katika viwanja vya Ali Hassan Mwinyi Mkoani Tabora. Katibu Mkuu wa Wizaraya Habari.Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga akisalimia wananchi jana wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya Vijana yanayofanyika katika viwanja vya Ali Hassan Mwinyi Mkoani Tabora. Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora Kudra Mwinyimvua akisalimia wananchi jana wakati wa...
9 years ago
MichuziMAGUFULI AHIDI KUFUFUA VIWANDA MKOANI TANGA KUPUNGUZA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akifafanua jambo mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Tanga waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni,uliofanyika katika viwanja vya Tangamano jioni ya leo mjini Tanga.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji wa Tanga kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya angamano,jioni ya leo ambapo aliahidi kuboresha Bandari ya...
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji wa Tanga kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya angamano,jioni ya leo ambapo aliahidi kuboresha Bandari ya...
11 years ago
Tanzania Daima29 Jun
Kupunguza uchumi wa taslimu uwe mkakati wa kupunguza ujambazi
MATUKIO ya majambazi kuwavamia watu na kuwakuta na fedha nyingi ni mengi. Juzi sista wa Kanisa Katoliki Parokia ya Makoka – Dar es Salaam, alivamiwa na kupigwa risasi na majambazi,...
9 years ago
Mwananchi26 Nov
Vibindo na ugumu wa kurasimisha biashara
Kila mara wenye biashara ndogo hukabiliwa na maswali kuhusu usajili wa shughuli zao. Wafanyabiashara hawa ukiwahoji wanasema wazi kwamba hujiuliza maswali kama wasajili/warasimishe biashara zao au waache.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania