SHERIA NGOWI : Nitaisaidia Serikali kupunguza tatizo la ajira
Ni nembo iliyojizolea umaarufu mkubwa duniani. Imewahi kuvaliwa na watu maarufu wakiwamo Rais Jakaya Kikwete pamoja na rais Edgar Lungu wa Zambia, si ajabu kusikia nembo hii ikivalisha mawaziri na hata Rais mpya wa nchi hii.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziGODTEC yasaidia kupunguza tatizo la ajira kwa Vijana
9 years ago
MichuziMAGUFULI AHIDI KUFUFUA VIWANDA MKOANI TANGA KUPUNGUZA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji wa Tanga kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya angamano,jioni ya leo ambapo aliahidi kuboresha Bandari ya...
10 years ago
MichuziSerikali yaweka Mkakati kupunguza changamoto ya ajira kwa Vijana
9 years ago
Bongo505 Oct
Sheria Ngowi afiwa na mama yake mzazi
10 years ago
Dewji Blog02 Jun
Sheria Ngowi awataka wanamitindo wanaochipukia nchini kujitambua
Sheria Ngowi pembeni yake ni Aj Mynah ambae ni Mkurugenzi wa Black Fox Model Afrika na anaefuata ni Ednda Ndebalema wa Ndibs Makeup wakizungumza na wanamitindo hao katika mafunzo yaliyoandaliwa na Black Fox katika klabu ya Paparaz iliyopo Sleep Way Masaki.
Sheria Ngowi akiwafunda somo wanamitindo.
Wakapata nafasi ya kupiga nae picha.
Wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Na Evance Ng’ingo
WANAMITINDO wanaochipukia nchini wametakiwa kujitambua pamoja na kuwa na mikakati ya kujitangaza zaidi ili...
10 years ago
MichuziWanamitindo wanaochipukia nchini wametakiwa kujitambua - Sheria Ngowi
Na Evance Ng'ingoWANAMITINDO wanaochipukia nchini wametakiwa kujitambua pamoja na kuwa na mikakati ya kujitangaza zaidi ili kupata soko la ndani na nje ya nchi.
Wito huo ulitolewa jana na Mwanamitindo mahiri wa mavazi nchini Sheria Ngowi wakati akizungumza na Wanamitindo kutoka kampuni ya Black Fox Model Africa.
Ngowi pamoja na mtaalamu wa urembaji Edna Ndibarema wa kampuni ya Ndiba Style walialikwa na Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, ya Black Fox Model Africa, Aj Mynah kuzungumzia fursa zilizopo...
10 years ago
Michuzi04 Dec
MBUNIFU WA MAVAZI SHERIA NGOWI AKUTANA NA WAZIRI MKUU PINDA
WaziriMkuu, MizengoPinda akisalimiana na Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi alipotembelewa jana nyumbani kwake Masaki jijini Dar esSalaam. (Picha Zote: AtuzaNkurlu-SheriaNgowi Brand).Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi akimuonesha Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baadhi ya vitambaa vya kisasa vya suti ambavyo vitatuka Kumtengenezea Waziri Mkuu jana jijini Dar es Salaam.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiangalia na kuchagua aina ya vitambaa vya suti amabvyo vitatumika...
11 years ago
Dewji Blog08 Jun
Sheria Ngowi Brand Proudly official designer of Diamond @MTV MAMA
Diamond Platinumz and Wema Sepetu.
Being nominated in an internationally recognized award worldwide, is a sign of hardworking and thirst to achieve more.
You are really flying or Tanzanian flag globally and yet paved the way for international attention indeed.
Congratulations Diamond Platinumz, you have set a Benchmark. Keep up the good work.
Deogracious Kessy- Head of Marketing
#Sheria Ngowi Brand#
9 years ago
Dewji Blog06 Nov
Vote Sheria Ngowi for best East African fashion designer of the year @ASFA2015
To cast your vote click this link www.abryanzstyleandfashionawards.com/vote