Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vibindo na ugumu wa kurasimisha biashara

Kila mara wenye biashara ndogo hukabiliwa na maswali kuhusu usajili wa shughuli zao. Wafanyabiashara hawa ukiwahoji wanasema wazi kwamba hujiuliza maswali kama wasajili/warasimishe biashara zao au waache.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Namna bora ya kurasimisha biashara zetu

Wajasiriamali wengi wadogo hawajarasimisha biashara zao. Kitendo cha kutorasimisha biashara zao kimewafanya kufanya biashara hizo kwa mashaka bila kujiamini. Mara nyingi wamekuwa wakifukuzwa na hata kuchukuliwa bidhaa zao na mamlaka za miji na majiji. Pia, wamekuwa wakikosa huduma muhimu kama vile mikopo kutoka katika taasisi za kifedha na misaada kutoka serikalini kwa kuwa hawana anuani maalumu ya biashara zao.

 

5 years ago

Michuzi

BRELA YAWATAKA MAMA LISHE KURASIMISHA BIASHARA ZAO

Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imewahimiza Mama lishe wa Mkoa wa Pwani kurasimisha biashara zao kwa kuzisajili ili waweze kulinda biashara zao na kupata fursa mbalimbali.

Rai hiyo imetolewa katika Tamasha la Mama Lishe festival lililofanyika siku ya jana tarehe 28 Februari 2020, kwenye Viwanja vya Shule ya Sekondari Chanzige, Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani.

Akizungumza katika Tamasha hilo Msaidizi wa Usajili Mwandamizi kutoka BRELA, Bi. Leticia Zavu amebainisha kwamba mara...

 

5 years ago

Michuzi

Njombe:Wazidi kulia na ugumu wa biashara

Na Amiri Kilagalila, Njombe
Hali ya biashara kwa wakazi wa mji wa Njombe imetajwa kuwa kwenye mkwamo kutokana na Ongezeko la kodi hasa katika ukadiriaji wa kodi hatua inayowalazimu baadhi ya wafanyabiashara kufunga milango yao.
Katika mkutano wa kwanza mwaka 2020 wa jumuiya ya wafanyabiashara mjini Njombe,baadhi ya wafanyabiashara akiwemo Agnetha Sanga na Nathaniel mgani wanakiri kuwa hali ya biashara kwa sasa imekuwa ngumu na mauzo kupungua kwa kiasi kikubwa.
Kutokana na hali hiyo serikali...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri mkuu Pinda ahudhuria mkutano wa benki ya dunia,awataka wajasiriamali walioko katika sekta isiyo rasmi kurasimisha biashara zao.

 Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Mizengo Pinda akizungumza na waandishi wa habari  nje ya Hotel ya Serena ambapo alihudhuria Mkutano wa Tano unaohusu masuala ya Uchumi,kulia kwake ni mkurugenzi wa benki ya Dunia nchini Ndugu Philippe Dongier  Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Philippe Dongier akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa kivukoni Serena Hotel jijini Dar es Salaam, akiwa pamoja na Mwandishi wa Mada Ndugu Jacques Morisset ambapo aliwaeleza...

 

10 years ago

GPL

UGUMU WA LOWASSA KUINGIA IKULU

Na Mwandishi Wetu WAKATI wafuasi wa vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi ( Ukawa) wakiwa na shangwe kutokana na kumpata Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kama mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, ugumu wa kiongozi huyo kuingia ikulu umebainishwa, Uwazi lina habari kamili.  ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1IYZQ26 ...

 

11 years ago

GPL

MAINDA NA UGUMU WA KUACHA MKOROGO

Stori: Mayasa Mariwata STAA wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amefunguka kuwa miongoni mwa vitu vilivyokuwa vimeuteka ujana wake ni pamoja na matumizi ya mkorogo ambapo ilikuwa vigumu kuacha baada ya kuokoka. Staa wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’. Akipiga stori na paparazi wetu, Mainda alisema kutokana na starehe za ujana pamoja na kutaka kuonekana mrembo, alitumia vipodozi hatari bila kujua...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kutotafakari mwanzo wa ugumu wa maisha

WIKI iliyopita niliandika makala nikilalamikia michango mikubwa ya sherehe, wamejitokeza wasomaji wengi kuniunga mkono. Karibu wote waliowasiliana na mimi baada ya kuisoma makala hiyo wameniomba niuendeleze mjadala huo kuzidi kuweka...

 

10 years ago

Mwananchi

HakiElimu yabashiri ugumu wa bajeti

Taasisi ya HakiElimu imetoa tamko kuhusu bajeti ya elimu kwa mwaka wa fedha 2015/16 na kuainisha mambo yanayotakiwa kupewa kipaumbele katika sekta hiyo, huku ikionya kuwa hatua stahiki zisipochukuliwa, kuna hatari ya mwaka ujao wa fedha kuwa mgumu zaidi kiutendaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani