Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri mkuu Pinda ahudhuria mkutano wa benki ya dunia,awataka wajasiriamali walioko katika sekta isiyo rasmi kurasimisha biashara zao.

 Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Mizengo Pinda akizungumza na waandishi wa habari  nje ya Hotel ya Serena ambapo alihudhuria Mkutano wa Tano unaohusu masuala ya Uchumi,kulia kwake ni mkurugenzi wa benki ya Dunia nchini Ndugu Philippe Dongier  Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Philippe Dongier akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa kivukoni Serena Hotel jijini Dar es Salaam, akiwa pamoja na Mwandishi wa Mada Ndugu Jacques Morisset ambapo aliwaeleza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Pinda ahudhuria mkutano wa Benki ya Dunia

13

Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Mizengo Pinda akizungumza na waandishi wa habari  nje ya Hotel ya Serena ambapo alihudhuria Mkutano wa Tano unaohusu masuala ya Uchumi,kulia kwake ni mkurugenzi wa benki ya Dunia nchini Ndugu Philippe Dongier.

14

Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Philippe Dongier akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa kivukoni Serena Hotel jijini Dar es Salaam, akiwa pamoja na Mwandishi wa Mada Ndugu Jacques Morisset ambapo aliwaeleza waandishi hao...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu Pinda mgeni rasmi mkutano wa mashauriano ya awamu ya kwanza uwekezaji DART leo

Waziri Mkuu Mizengo Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa mashauriano ya  uwekezaji wa awamu ya kwanza ya Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) unaoanza leo.
Mkutano huo wa siku mbili unawakutanisha wawekezaji mbalimbali wa ndani na nje kwenye kituo cha mikutano Mlimani City, jijini Dar es Salaam.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi yaendayo haraka Dar es salaam (DART), Bi. Asteria Mlambo, amewaambia waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam kuwa mkutano huo wa...

 

5 years ago

Michuzi

Matukio Katika Picha: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefunga Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2020 JNICC, DSM


 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, akionesha zawadi ya fremu ya nembo ya Taifa iliyotengenezwa kwa madini alipotembelea mabanda katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2020, uliofanyika JNICC Jijini Dar es Salaam, kulia ni Waziri wa Madini, Mhe. Doto Biteko na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Simon Msanjira.  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, akiangalia madini ya Tanzanite katika moja ya...

 

5 years ago

Michuzi

BRELA YAWATAKA MAMA LISHE KURASIMISHA BIASHARA ZAO

Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imewahimiza Mama lishe wa Mkoa wa Pwani kurasimisha biashara zao kwa kuzisajili ili waweze kulinda biashara zao na kupata fursa mbalimbali.

Rai hiyo imetolewa katika Tamasha la Mama Lishe festival lililofanyika siku ya jana tarehe 28 Februari 2020, kwenye Viwanja vya Shule ya Sekondari Chanzige, Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani.

Akizungumza katika Tamasha hilo Msaidizi wa Usajili Mwandamizi kutoka BRELA, Bi. Leticia Zavu amebainisha kwamba mara...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI MKUU PINDA AHUDHURIA JUBILEI YA ASKOFU MKUU NGALALEKUMTWA WA IRINGA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Mhashamu Baba Askofu, Tarcisius Ngalalekumtwa (katikati) na Makamu wake, Mhashamu Baba Askofu Severini Niwemugizi katika misa ya Jubilei ya miaka 25 ya uaskofu wa Askofu Mkuu Ngalalekumtwa iliyofanyika kwenye Viwanja vya Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Iringa Julai 1, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mama Tunu Pinda ahudhuria mkutano wa dunia kuhusu Amani na Usalama jijini Seoul, Korea Kusini

20140810_091140

Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akitambulishwa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama ulioanza leo (Agosti 10, 2014) jijini Seoul, Korea Kusini. Wengine kutoka kushoto ni Mke wa Rais wa visiwa vya Marshall, Bibi Lieom Anono Loeak, Rais wa WFWP (International), Prof. Yeon Choi Moon, Waziri Mkuu wa Timor Mashariki, Xanana Gusmao na mke wa Rais wa visiwa vya Samoa, Bibi Filifilia Tamasese (PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM).

20140810_091211

Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akiwa na...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF YAENDELEA KUTOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI WASIO KATIKA SEKTA RASMI

1Meneja wa Bima ya Afya NHIF Wilaya ya Temeke, Bi Ellentruder Mbogoro (kushoto), akifafanua machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasimi Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Bw. Rehani Athumani kufungua mafunzo ya siku moja ya viongozi wa SACCOS Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam Februari 17,2015 lengo la mafunzo hayo ni kuwapa elimu kuhusiana na mpango wa NHIF wa KIKOA unaotolewa Bima ya Afya waweze kujiunga na Mfuko huo ili wapate uhakika wa matibabu kupitia mfuko wa ...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Fedha Mh.Saada Mkuya Salum ahudhuria Mkutano wa mwaka wa Benki ya maendeleo ya Afrika Rwanda

 Waziri wa Fedha Mh.Saada Mkuya Salum akizungumza  na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Kusini Bw.Patrick Diamini (wa kwanza kushoto) Mjini Kigali, Rwanda. Mh.Waziri yupo Nchini Rwanda kuhudhuria Mkutano wa mwaka wa Benki ya maendeleo ya Afrika.

Mh.Saada M.Salum akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ya Kusini (DBSA) Bw.Patrick Diamini (wa pili kushoto) baada ya kikao kilichofanyika Mount Muhambara mjini Kigali, Rwanda. Waziri wa Fedha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani