Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU PINDA AHUDHURIA JUBILEI YA ASKOFU MKUU NGALALEKUMTWA WA IRINGA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Mhashamu Baba Askofu, Tarcisius Ngalalekumtwa (katikati) na Makamu wake, Mhashamu Baba Askofu Severini Niwemugizi katika misa ya Jubilei ya miaka 25 ya uaskofu wa Askofu Mkuu Ngalalekumtwa iliyofanyika kwenye Viwanja vya Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Iringa Julai 1, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MH. PINDA MGENI RASMI JUBILEI YA ASKOFU MKUU NGALALEKUMTWA WA IRINGA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Mhashamu Baba Askofu, Tarcisius Ngalalekumtwa (katikati) na Makamu wake, Mhashamu Baba Askofu Severini Niwemugizi katika misa ya Jubilei ya miaka 25 ya uaskofu wa Askofu Mkuu Ngalalekumtwa iliyofanyika kwenye viwanja vya Kanisa Katoliki jimbo Kuu la Iringa Julai 1, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda mgeni rasmi Jubilei ya Askofu Mkuu wa Iringa Ngalalekumtwa

PG4A4556

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta   na  Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Mhashamu  Baba Askofu, Tarcisius Ngalalekumtwa (katikati) na  Makamu wake, Mhashamu Baba Askofu  Severini  Niwemugizi katika misa ya Jubilei ya miaka 25 ya uaskofu wa Askofu Mkuu Ngalalekumtwa iliyofanyika kwenye viwanja vya Kanisa  Katoliki  jimbo Kuu la Iringa Julai 1, 2014.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A4554

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Lowassa ashiriki sherehe za Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Askofu Mkuu wa Jimbo la Iringa,Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Askofu Mkuu wa Jimbo la Iringa,Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa wakati wa Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wake,iliyofanyika Julai 01,2014 kwenye Kanisa Kuu la Katolini Mjini Iringa.Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania,Mhashamu Severini Niwemugizi  wakati wa Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Askofu Mkuu wa Jimbo la...

 

11 years ago

GPL

LOWASSA ASHIRIKI SHEREHE ZA JUBILEI YA MIAKA 25 YA UASKOFU WA ASKOFU MKUU WA JIMBO LA IRINGA, MHASHAMU TARCISIUS NGALALEKUMTWA‏

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Askofu Mkuu wa Jimbo la Iringa,Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa wakati wa Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wake,iliyofanyika Julai 01,2014 kwenye Kanisa Kuu la Katolini Mjini Iringa. Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania,Mhashamu Severini… ...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI MKUU PINDA AHUDHURIA JUBILEI YA KANISA KATOLIKI ARUSHA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akisalimiana na Maaskofu wa Kanisa Katoliki baada ya ibada ya Jubilei ya miaka 50 ya Kanisa Kuu  la Jimbo la Arusha iliyofanyika mjini Arusha leo Desemba 30,2013. Baadhi ya viongozi waliohudhuria katika Jubilei hiyo. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)…

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AHUDHURIA IBADA MJINI DODOMA.

01Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakishiriki  katika ibada ya kwanza  ya Jumapili kwenye kanisa Katoliki la Paulo wa Msalaba  mjini Dodoma Juni 14, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)03Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakisalimiana na Askofu Mstaafu wa Jimbo la Dodoma, Mhashamu Mathias Isuja baada ya ibada ya kwanza katika kanisa la Paulo wa Msalaba mjini Dodoma Juni 14, 2015.04Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiwa katika picha ya pamoja na wanakwaya baada ya kuhudhuria ibada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani