Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Namna bora ya kurasimisha biashara zetu

Wajasiriamali wengi wadogo hawajarasimisha biashara zao. Kitendo cha kutorasimisha biashara zao kimewafanya kufanya biashara hizo kwa mashaka bila kujiamini. Mara nyingi wamekuwa wakifukuzwa na hata kuchukuliwa bidhaa zao na mamlaka za miji na majiji. Pia, wamekuwa wakikosa huduma muhimu kama vile mikopo kutoka katika taasisi za kifedha na misaada kutoka serikalini kwa kuwa hawana anuani maalumu ya biashara zao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Vibindo na ugumu wa kurasimisha biashara

Kila mara wenye biashara ndogo hukabiliwa na maswali kuhusu usajili wa shughuli zao. Wafanyabiashara hawa ukiwahoji wanasema wazi kwamba hujiuliza maswali kama wasajili/warasimishe biashara zao au waache.

 

5 years ago

Michuzi

BRELA YAWATAKA MAMA LISHE KURASIMISHA BIASHARA ZAO

Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imewahimiza Mama lishe wa Mkoa wa Pwani kurasimisha biashara zao kwa kuzisajili ili waweze kulinda biashara zao na kupata fursa mbalimbali.

Rai hiyo imetolewa katika Tamasha la Mama Lishe festival lililofanyika siku ya jana tarehe 28 Februari 2020, kwenye Viwanja vya Shule ya Sekondari Chanzige, Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani.

Akizungumza katika Tamasha hilo Msaidizi wa Usajili Mwandamizi kutoka BRELA, Bi. Leticia Zavu amebainisha kwamba mara...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri mkuu Pinda ahudhuria mkutano wa benki ya dunia,awataka wajasiriamali walioko katika sekta isiyo rasmi kurasimisha biashara zao.

 Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Mizengo Pinda akizungumza na waandishi wa habari  nje ya Hotel ya Serena ambapo alihudhuria Mkutano wa Tano unaohusu masuala ya Uchumi,kulia kwake ni mkurugenzi wa benki ya Dunia nchini Ndugu Philippe Dongier  Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Philippe Dongier akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa kivukoni Serena Hotel jijini Dar es Salaam, akiwa pamoja na Mwandishi wa Mada Ndugu Jacques Morisset ambapo aliwaeleza...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA SHERIA: HAITOSHI KUUNDA KAMPUNI, LAZIMA UWE NA LESENI YA BIASHARA, HII NI NAMNA YA KUPATA LESENI YA BIASHARA

Na   Bashir     Yakub
Katika  makala  iliyopita  nilisema  kuwa  vijana  wengi   wajasiriamali  wanaofungua   biashara  za  makampuni   wanao  uwezo  mkubwa   wa kufika mbali   isipokuwa  tatizo  lao  ni  taarifa za  mambo  mbalimbali   kuhusu uendeshaji  wa  kampuni   hizo. 
 Mambo  ya uendeshaji   wa  kampuni  ni  mepesi sana  na  yanawezwa   na  mtu  yeyote isiopokuwa   tatizo   ni   taarifa   na  elimu ya  namna  ya  uendeshaji  kisheria   ili   kampuni   ionekane  ni kampuni.  Nilieleza...

 

11 years ago

Mwananchi

Namna ya kukabiliana na changamoto za biashara

Wataalamu mbalimbali wa uchumi duniani wamefanya utafiti na kubaini kuwa biashara zinazoanza zinakabiliana na changamoto mbalimbali kwani takriban asilimia 64 ya biashara hushindwa kuendelea ndani ya miaka mitano tangu zimeanzishwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Namna ya kusajili biashara yoyote

Imekuwa ni kawaida kwa watu hapa nchini kufanya biashara bila kufuata taratibu na kanuni za kisheria.

 

10 years ago

Mwananchi

Namna ya kufanya biashara kwa faida

Tumekuwa tukisoma na hata kusikia mazungumzo ya kawaida na kwenye vyombo vya habari juu ya ndoto za wajasiriamali mbalimbali wakisema wanataka kuwa kama mfanyabiashara fulani maarufu kutokana na biashara wanazozifanya.

 

5 years ago

Michuzi

Kirusi cha corona kinavyobadili namna tufanyavyo biashara

Na Mwanaheri Khamis, UngujaTANGU nchi za bara Afrika kuanza kutangaza visa vya wagonjwa wa kirusi cha homa ya corona, shughuli za biashara zimeathirika kwa namna mbalimbali barani hapa.
Kama ilivyo kwa nchi nyingi duniani, Tanzania nayo inapata changamoto hii. Katika miaka ya karibuni, Tanzani imeingia kwa nguvu zote kuhakikisha inabadilika kuwa nchi ya viwanda yenye uchumi wa kati kufikia mwaka 2025. Kufikia hilo kila juhudi inawekwa katika kujenga uchumi wa taifa, wenye biashara na viwanda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani