Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Namna ya kukabiliana na changamoto za biashara

Wataalamu mbalimbali wa uchumi duniani wamefanya utafiti na kubaini kuwa biashara zinazoanza zinakabiliana na changamoto mbalimbali kwani takriban asilimia 64 ya biashara hushindwa kuendelea ndani ya miaka mitano tangu zimeanzishwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAKALA SHERIA: HAITOSHI KUUNDA KAMPUNI, LAZIMA UWE NA LESENI YA BIASHARA, HII NI NAMNA YA KUPATA LESENI YA BIASHARA

Na   Bashir     Yakub
Katika  makala  iliyopita  nilisema  kuwa  vijana  wengi   wajasiriamali  wanaofungua   biashara  za  makampuni   wanao  uwezo  mkubwa   wa kufika mbali   isipokuwa  tatizo  lao  ni  taarifa za  mambo  mbalimbali   kuhusu uendeshaji  wa  kampuni   hizo. 
 Mambo  ya uendeshaji   wa  kampuni  ni  mepesi sana  na  yanawezwa   na  mtu  yeyote isiopokuwa   tatizo   ni   taarifa   na  elimu ya  namna  ya  uendeshaji  kisheria   ili   kampuni   ionekane  ni kampuni.  Nilieleza...

 

9 years ago

Ykileo

TAMBUA NAMNA YA KUKABILIANA NA UHALIFU MTANDAO

Mwezi Huu wa October, Nimekua na kazi kubwa ya kuhimiza mashirika, makampuni pamoja na Taifa kwa ujumla kuutumia vizuri kutokana na kua ni mwezi maalum uliotengwa na wanausalama mtandao kote duniani wa kukuza uelewa wa matumizi salama ya mitandao ili kuweza kupunguza wimbi kubwa la uhalifu mtandao duniani kote.


Nategemea kuandikia yaliyo jiri Nchini kwetu hapo baadae ili kuweza kujua namna mwezi huu tulifanikiwa kukuza uelewa kupitia mashirika mbali mbali na taifa kwa ujumla wake. Kitu...

 

11 years ago

Mwananchi

Namna ya kukabiliana na tatizo la moyo kushindwa kufanya kazi

>Magonjwa ya moyo yameshika kasi hapa nchini kiasi cha kutishia uhai wa watu wengi.

 

10 years ago

Vijimambo

DK. MANDAI AKIELEZEA TATIZO LA KUKOSA CHOO NA NAMNA YA KUKABILIANA NALO



Mkurugenzi Mkuu wa Mandai Herbalist Clinic, Dk. Abdallah MandaiKuna wakati huenda huwa ukawa unajikuta ukipitisha siku mbili au tatu bila kwenda msalani kupata haja kubwa, huenda ukawa haufahamu ni kwanini hali hiyo inakutokea au ilikutokea.
Lakini hapa Dk Mandai anakupa fursa ya kufahamu kuhusu tatizo hilo la kukosa choo ambalo wenzetu wazungu huliita 'consumption'. Karibu utazame kipindi hiki hapo chini ujifunze mengi pia kuhusu tiba asilia zitokanazo na mimea, matunda, nafaka na mitishamba.

 

10 years ago

Mwananchi

Changamoto kuu za wajasiriamali na namna ya kuzishinda-2

Wiki iliyopita nilielezea juu ya changamoto zinazowasibu wajasiriamali wadogo na baadhi ya wajasiriamali wa kati kwa kuangazia changamoto inayotokana na udhaifu wa mjasiriamali mwenyewe.

 

11 years ago

Michuzi

mafunzo ya siku tano (hawapo pichani) ya namna ya kukabiliana na makosa ya ukatili wa kijinsia na watoto

 Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Mery Nzuki, akitoa neno mbele ya washiriki wa semina ya mafunzo ya siku tano (hawapo pichani) ya namna ya kukabiliana na makosa ya ukatili wa kijinsia na watoto mafunzo yanayotolewa kwa maofisa na askari wa Jeshi la Polisi kutoka katika mkoa wa kipolisi wa Kinondoni jijini Dar es salaam ambapo mafunzo hayo yakiwa na lengo la kuwajengea uwezo na kuongeza ufanisi katika kazi. Baadhi ya washiriki wa semina ya mafunzo ya siku tano ya namna ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Namna ya kusajili biashara yoyote

Imekuwa ni kawaida kwa watu hapa nchini kufanya biashara bila kufuata taratibu na kanuni za kisheria.

 

5 years ago

Michuzi

HALMASHAURI YA NGORONGORO YAJIPANGA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO YA BARABARA.


Na Woinde Shizza ,Arusha

Halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro inakabiliwa na changamoto ya barabara kuu kuu ya kuingia katika hospital ya wilaya hiyo kutopitika kwa kipindi hichi cha mvua ,ukosefu Wa uzio Wa kuzunguka hospitali hiyo pamoja na kuchelewa kwa michango ya Mwananchi kotoka kwa ngazi za vijiji.

Hayo yamebainishwa na kaimu Mkurugenzi Mtendaji Wa halmashauri ya wilaya ya ngorongoro Peter Lehhet wakati akisoma taarifa ya mradi Wa ujenzi Wa hospital ya wilaya ya Ngorongoro mbele ya...

 

5 years ago

Michuzi

USHIRIKIANO UNAHITAJIKA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA HAKI ZA WATOTO

RIPOTI ZA WATOTO Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Sharmillah Sarwatt amewataka wadau mbalimbali wanaohusika mashauri na haki za watoto kushirikiana ili kuweza kutatua changamoto   zilizopo katika mahabusu   na baadhi ya magereza ili hakikisha mtoto anapatiwa haki kwa wakati na katika mazingira bora, ikiwemo kulindwa. Akizungumza leo wakati akifungua kikao kazi cha wadau wa Mahakama baada ya kufanyika ukaguzi wa mahabusu za watoto na baadhi ya magereza ulifanyika kuanzia Machi 16...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani