Kirusi cha corona kinavyobadili namna tufanyavyo biashara
Na Mwanaheri Khamis, UngujaTANGU nchi za bara Afrika kuanza kutangaza visa vya wagonjwa wa kirusi cha homa ya corona, shughuli za biashara zimeathirika kwa namna mbalimbali barani hapa.
Kama ilivyo kwa nchi nyingi duniani, Tanzania nayo inapata changamoto hii. Katika miaka ya karibuni, Tanzani imeingia kwa nguvu zote kuhakikisha inabadilika kuwa nchi ya viwanda yenye uchumi wa kati kufikia mwaka 2025. Kufikia hilo kila juhudi inawekwa katika kujenga uchumi wa taifa, wenye biashara na viwanda...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziTeknolojia inavyotusaidia kupambana na kirusi cha corona
Nchi mbalimbali zimechukua hatua kusaidia taasisi za afya kama hospitali kuweza kuhudumia idadi kubwa ya wagonjwa ambayo kwa wakati mmoja inahitaji wahudumu wa afya, dawa na vifaa.
Njia mojawapo kusaidia hilo ni kupunguza uwezekano wa maambukizi na tumeona hatua kama kufunga shule, mahoteli na kukataza mikusanyiko. Serikali ya...
5 years ago
MichuziWalioambukizwa kirusi cha corona Afrika Kusini wafikia 38
Wizara ya Afya ya Afrika Kusini imetangaza kuwa, idadi ya watu walioambukizwa kirusi hatari cha corona nchini humo jana ilipanda hadi watu 38 kutoka 24 waliokuwa wameambukizwa kirusi hicho hadi juzi Ijumaa.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, watu 14 waliokumbwa na ugonjwa wa COVID-19 wameongezeka katika kipindi cha siku moja nchini Afrika Kusini.
Huku hayo yakiripotiwa, idadi ya walioambukizwa kirusi cha corona imeongezeka mara mbili pia nchini Morocco baada ya nchi hiyo kuripoti kesi nyingine 9 za...
5 years ago
MichuziSekta binafsi Tanzania inavyosaidia kupambana na homa ya kirusi cha Corona
Wiki hii serikali ya Tanzania imetangaza mpango kujenga hospitali ya kupambana na magonjwa ya mlipuko kama homa hii ya kirusi cha corona. Hospitali hiyo inayokadiriwa kuwa itagharimu shilingi bilioni 7 za Kitanzania inatarajiwa kumalizika ndani ya miezi sita.
Mbali na hilo, ni faraja kubwa kuona nchi mbalimbali zinakuja pamoja kuhakikisha maisha...
10 years ago
MichuziMAKALA SHERIA: HAITOSHI KUUNDA KAMPUNI, LAZIMA UWE NA LESENI YA BIASHARA, HII NI NAMNA YA KUPATA LESENI YA BIASHARA
Katika makala iliyopita nilisema kuwa vijana wengi wajasiriamali wanaofungua biashara za makampuni wanao uwezo mkubwa wa kufika mbali isipokuwa tatizo lao ni taarifa za mambo mbalimbali kuhusu uendeshaji wa kampuni hizo.
Mambo ya uendeshaji wa kampuni ni mepesi sana na yanawezwa na mtu yeyote isiopokuwa tatizo ni taarifa na elimu ya namna ya uendeshaji kisheria ili kampuni ionekane ni kampuni. Nilieleza...
5 years ago
BBCSwahili04 Apr
Virusi vya corona: Namna ambavyo vijana wanaweza kujizuia na hofu ya corona
5 years ago
MichuziBRIGHTERMONDAY TANZANIA YAJA NA MPANGO KUSAIDIA BIASHARA KIPINDI CHA CORONA
Reshma Bharmal-Shariff, Ofisa Mtendaji Mkuu BrighterMonday Tanzania.
KAMPUNI ya ajira ya BrighterMonday Tanzania imezindua mpango unaoitwa 'Umoja Wakati wa Shida ' ambao utatoa nafasi kwa watu binafsi au kampuni kutangaza ajira bure katika kipindi hiki ambacho nchi inapambana na maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kupitia kwa Ofisa Mtendaji Mkuu wake, Reshma Bharmal-Shariff ilieleza kuwa kampeni hiyo inalenga...
9 years ago
MichuziWANAFUNZI WA KITIVO CHA BIASHARA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM WANUFAIKA NA SEMINA MAALUM YA MASUALA YA BIASHARA ILIYOANDALIWA NA VODACOM TANZANIA
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Namna ya kukabiliana na changamoto za biashara
11 years ago
Mwananchi22 May
Namna ya kusajili biashara yoyote