Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATEJA WA VODACOM WAANZA KUNUFAIKA NA HUDUMA MPYA YA”ONGEA”

Wateja wa Vodacom Tanzania sasa wameanza kunufaika na huduma mpya ya Ongea iliyozinduliwa rasmi leo ambayo inatoa unafuu mkubwa wa kupata huduma za mawasiliano kwa wateja na wananchi kwa ujumla. Ambapo mteja akinunua muda wa maongezi kwa Tsh 1,000/-mteja anapata dakika 100 za maongezi kupiga simu kwa mtandao wa Vodacom kwenda Vodacom,SMS 1000 na MB 100 za data.
Akiongea wakati wa uzinduzi wa huduma hii mpya,Mkuu wa Mawasiliano na Masoko wa Vodacom Tanzania,Kelvin Twissa,amesema kuwa Vodacom...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WATEJA WA UTT KUNUFAIKA NA HUDUMA YA VODACOM M PESA‏


Afisa Mkuu Mwendeshaji wa  Dhamana ya Uwekazaji Tanzania (UTT) Simon Migangala  akifafanua  jambo  kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na wateja wa mfuko huo watakavyonufaika na utumiaji wa  huduma ya M-Pesa itakavyowawezesha wananchi  kununua Vipande vya mifuko ya Pamoja iliyo chini ya UTT   kwa njia rahisi na salama katika kufanikisha azima yao kujijengea maisha bora ya baadaye kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wateja wa Safaricom na Vodacom kunufaika

Mamilioni ya wateja wanaotumia huduma za M-Pesa katika nchi za Tanzania na Kenya sasa wanaweza kutuma na kupokea pesa mipakani

 

10 years ago

Habarileo

Wastaafu waanza kunufaika mfumo mpya

WASTAAFU nchini wameanza kunufaika na huduma ya kupokea malipo yao ya pesheni kupitia huduma ya kifedha iliyoanzishwa na Shirika la Posta.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vodacom na mapinduzi ya huduma kwa wateja

MWISHONI mwa miaka ya 1990, Tanzania iliingia katika orodha ya nchi zinazotumia mawasiliano ya simu ya mkononi. Katika miaka hiyo, huduma ya simu za mkononi ilionekana ni ya wachache sana,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wateja wa Tigo Pesa kunufaika na huduma ya “Tigo wekeza” kwa kupata faida kupitia akaunti zao

1

Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu huduma mpya ya Tigo Wekeza iliyozinduliwa leo kwa ajili ya kuwawezesha wateja wa Tigo Pesa zaidi ya milioni 3.5 kuweza kupata gawiwo moja kwa moja katika akaunti zao za Tigo Pesa. Kushoto ni Profesa Andrew Temu kutoka mfuko wa fedha Financial Services Deepening Trust (FSDT), wa pili kulia ni Mkuu wa Idara ya Tigo Pesa Andrew Hodgson na wakala wa Tigo Pesa Ramadhan Wangwa.

Tigo Tanzania leo imekuwa...

 

11 years ago

Michuzi

Vodacom yaendelea kupanua wigo wa huduma kwa wateja Dar es Salaam

Wateja wa Vodacom wameendelea kukumbushwa kupata huduma katika maduka mapya yanayoendelea kufunguliwa maeneo mbalimbai karibu na makazi ili kuepuka gharama na usumbufu usio wa lazima wa kufuata huduma kwenye maduka yalyozoeleka yaliyopo mjini na yaliyo kwenye maeneo ya kibiashara.   Vodacom kwa sasa imekuwa ikifungua maduka sehemu mbalimbali ili kuwapunguzia gharama na muda wateja wake ikiwemo lilifunguliwa jana Tabata Magengeni jijini dar es salaam duka ambalo litatoa huduma kwa wakazi wa...

 

10 years ago

GPL

WATEJA 225,000 WA VODACOM WAJIUNGA NA HUDUMA YA UJUMBE MFUPI YA UZAZI SALAMA

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dk.Seif Rashid (kushoto) akimsikiliza Ofisa Mkuu wa taasisi ya Udhibiti na Kinga ya Magonjwa ya CDC, Angela Makota (kulia) kwenye makabidhiano ya hundi ya Sh. Milioni  149 iliyotolewa na Vodacom Foundation kwa ajili ya kuunga mkono kampeni ya  kuboresha huduma ya afya na Uzazi na Mtoto inayojulikana kama Wazazi Nipendeni.Makabidhiano yalifanyika katika ofisi ya wizara hiyo jijini Dar es...

 

9 years ago

Michuzi

MAWAKALA WA VODACOM TANZANIA WAPIGWA MSASA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATEJA

 Mkuu wa Kitengo cha M-Pesa wa Vodacom Tanzania, George Kagaruki akitoa mafunzo kwa Mawakala wa M-Pesa wa kanda ya Mbagala jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wakati wa Semina iliyoandaliwa na Kampuni hiyo kwa ajili ya mawakala hao kujifunza jinsi ya kutoa na kuboresha huduma  za kifedha, kuepukana na  udanganyifu wa kifedha na jinsi ya  kupata faida zaidi kwa kuuza Vodafasta (muda wa hewani) na kuunganisha wateja wa kampuni hiyo kwa kutumia huduma ya M-Pawa.
 Wakufunzi wa Semina ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani