Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TRA na JWT waanza kupitia mfumo wa kodi

Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT) na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wameanza kazi ya mapitio ya kuboresha mfumo mzima wa kodi ili uendane na matumizi ya mashine za kielektroniki (EFD).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Vigogo escrow waanza kulipa kodi ya TRA

 Baadhi ya vigogo walionufaika na mgawo wa mabilioni ya fedha kutoka katika Akaunti ya Tegeta Escrow wameanza kulipa kodi kuanzia Januari Mosi kama ilivyoagizwa na Serikali.

 

9 years ago

MillardAyo

Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…

Mipango ya Rais Magufuli kuendelea kupambana na wabadhirifu wa mapato ya Serikali yameendeela kuchukua sura mpya. Kupitia Mamlaka ya Mapato TRA Rais aliweza kufanya mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kuwaondoa watendaji ambao walihusika katika upotevu wa fedha za umma pamoja na kuwabana wakwepa kodi ambao ni wafanyabiashara wakubwa. Kingine kilichonifikia leo kutoa  kutoka kwa […]

The post Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…...

 

10 years ago

Mwananchi

TRA yalia na misamaha ya kodi

>Misamaha ya kodi imekuwa ikilikosesha taifa zaidi ya Sh100 bilioni kwa mwezi, hatua ambayo Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) inaona ni kikwazo katika kufikia malengo ya ukusanyaji kodi.

 

9 years ago

Mwananchi

TRA yaibana Bakwata msamaha wa kodi

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa masharti matano kwa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata), yanayotakiwa kutekelezwa kabla kupewa msamaha wa kodi kwa gari aina ya Iveco ulioombwa.     

 

9 years ago

Habarileo

Makusanya ya kodi TRA yafikia trilioni 1.4/

MAMLAKA ya Mapato (TRA) imeshakusanya Sh bilioni 11.9 kutoka kwa wafanyabiashara waliokuwa wamekwepa kulipa kodi. Kiasi hicho ni sehemu ya Sh bilioni 80 zinazotakiwa kukusanywa kutoka kwa wafanyabiashara hao wanaodaiwa waliondosha kontena katika bandari za nchi kavu kinyume cha taratibu za forodha.

 

10 years ago

Habarileo

TRA: Tutawatupa jela wakwepa kodi

KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA), Rished Bade amesema hakuna mtu aliye juu ya sheria ya ulipaji kodi halali, hivyo asiyetaka kulipa kodi kwa makusudi lazima atakutana na mkono wa sheria na kutupwa jela.

 

9 years ago

Mtanzania

Kodi ya TRA yazua kizaazaa Bakwata

Sheikh-Abubakar-Zuberi-bin-AllyNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

MUFTI na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakari Zuberi, ameunda timu ya uchunguzi ambayo itapitia upya mikataba yote mibovu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata).

Pamoja na hali hiyo pia ametangaza kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Utawala wa Bakwata, Makao Makuu,  Karim Majaliwa   kupisha uchunguzi juu ya kadhia ya magari 82  na tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi.

Taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na kusainiwa na Mufti Zuberi ilieleza...

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi, TRA wavutana wakwepaji wa kodi

Sakata la wafanyabiashara haramu wa viroba Mkoa wa Kagera limeingia kwenye sura mpya, baada ya polisi mkoani hapa kudai kuwa watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), wanashirikiana na wafanyabiashara wa pombe hizo kukwepa kodi.

 

11 years ago

Mwananchi

Wakosoa mfumo wa ukusanyaji kodi

Shirikisho la Wenye Viwanda Tanzania (CTI), limeibua maeneo matatu muhimu kama Serikali itaelekeza nguvu zake, itasaidia kukusanya mapato na kuongeza pato la taifa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani