Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakosoa mfumo wa ukusanyaji kodi

Shirikisho la Wenye Viwanda Tanzania (CTI), limeibua maeneo matatu muhimu kama Serikali itaelekeza nguvu zake, itasaidia kukusanya mapato na kuongeza pato la taifa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mfumo wa Kielektroniki kutumika ukusanyaji wa kodi ya majengo jijini Mwanza

4-aggrey Mwanri akijibu hoja

Mbunge wa Magu, Naibu Waziri wa  Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Aggrey Mwanri.

Na.  Johary Kachwamba
  JIJI la Mwanza limeingizwa katika mfumo wa kielektroniki wa utambuzi wa majengo yote  yanayopaswa kufanyiwa uthamini unaojulikana kama Local Government Revenue Collection Information System (LGRCIS) kupitia mradi wa Miji ya kimkakati (TSCP) unaohisaniwa na Benki ya Dunia. Katika kujibu swali la Mhe.Dkt. Festus Bulugu, Mbunge wa Magu, Naibu Waziri wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mifumo ukusanyaji kodi inachangia migogoro

MFUMO mbovu wa udhibiti wa tozo mbalimbali za kodi ni moja ya sababu zinazochangia  migomo na mivutano baina ya serikali na wafanyabiashara nchini. Hayo yalibainishwa mwishoni mwa wiki na Makamu...

 

9 years ago

Michuzi

TRA yajivunia kasi katika ukusanyaji kodi

ISO 9001:2008 CERTIFIEDMamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya jumla ya shilingi  trililion 3, 778,097.5 kuanzia mwezi Julai hadi Oktoba 2015 ambayo ni sawa na asilimia  97.6. ya lengo la makusanyo ya sh trilioni 3, 872,337.4 ikiwa ni jitihada za TRA kutekeleza mkakati wa serikali ambao unaitaka kukusanya Ths . Trililioni 12.3 kwa mwaka wa fedha 2015/2016.
Kwa mujibu wa Kamishna  Mkuu wa TRA Rished Bade, mwezi Julai TRA ilikusanya kiasi cha shilingi bilioni 849,582.9 ambacho ni asilimia...

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YABORESHA MFUMO WA UKUSANYAJI WA MAPATO

Na Georgina Misama.SERIKALI imeboresha matumizi ya mfumo wa ukusanyaji wa mapato kwa njia ya kielekitroniki katika mamlaka za serikali za mitaa.
Hayo yamesemwa na msemaji wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI) Bi. Rebecca Kwandu leo jijini Dar es salaam.
Bi Rebecca amesema kuwa TAMISEMI imekuwa ikiendelea kwa nyakati tofauti kufanya maboresho mbalimbali ili kurahisisha utoaji wa huduma kwa jamii na kuzisaidia mamlaka hizo katika kuongeza mapato ya ndani na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yaboresha mfumo wa ukusanyaji mapato

1

Mkurugenzi wa Huduma za Kibenki  kutoka Benki Kuu ya Tanzania Bw. Martian Kobelo (wa pili kulia) akiwaeleza waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam kuhusu utunzaji sahihi wa fedha za noti na sarafu. Kulia ni Mkurugenzi wa Mifumo ya Malipo ya Taifa Bw. Bernard Dadi na kushoto ni Mshauri wa Huduma za Kibenki Bw. Hassan Jarufu. 

2

Mkurugenzi wa Mifumo ya Malipo ya Taifa kutoka Benki Kuu ya Tanzania  Bw. Bernard Dadi (kulia) akiwaeleza waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu mfumo...

 

10 years ago

Michuzi

TRA kutoa mafunzo ya ukusanyaji kodi wa washiriki 150


 Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Rished Bade (kulia) akikata utepe kwenye boksi lililokuwa na Mtaala utakaotumia katika mafunzo hayo wakati wa ufunguzi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam kushoto ni Mkuu wa Chuo cha uongozi wa Kodi (ITA) Prof. Isaya Jairo Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Rished Bade (kulia) akionesha mtaala utakaotumika katika mafunzo ya washiriki 150 waliodahiliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kushoto ni Mkuu wa Chuo cha...

 

9 years ago

Habarileo

Ashauri uwepo mfumo wa pamoja wa ukusanyaji sadaka

TAASISI za Kiislamu nchini zimeshauriwa kushawishi kuwepo kwa mfumo wa pamoja wa ukusanyaji wa zaka na sadaka zilete tija katika kundi kubwa la jamii ya Kiislamu.

 

10 years ago

Vijimambo

SELCOM WAZINDUA UKUSANYAJI WA KODI KWA NJIA ZA KIELEKTRONIC MANSIPAA YA MOROGORO

Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro Mohamed Lukwele kushoto akiwa na Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Mgori na Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta wakati wa uzinduzi wa mashine ya ukusanyaji wa kodi kwa njia za kielektronic mkoa wa MorogoroMeneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta kushoto akimwelekezaKaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro Bakari Sagini jinsi ya kutumia mashine ya ukusanyaji wa kodi kwa njia za kielektronic wakati wa uzinduzi rasmi wautumiaji wa...

 

10 years ago

Michuzi

TRA yawapa somo wachina kuhusu sheria za ukusanyaji kodi nchini

Mkurugenzi wa JITENG Consultant Company Bw. Andrew Huwang akiongea jumuiya ya wafanyabiashara kutoka China waishio Tanzania kuhusu ushiriki wao katika masuala ya ukusanyaji kodi na kuendelea kuongeza ushirikiano kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati wa Semina iliyoandaliwa na Jumuiya ya wachina waishio Tanzania na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) iliyolenga kuwaeleimisha kuhusu ukusanyaji na sheria mbalimbali za Kodi Nchini leo Jijini Dar es Salaam, kushoto ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani