TRA yajivunia kasi katika ukusanyaji kodi
ISO 9001:2008 CERTIFIEDMamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya jumla ya shilingi trililion 3, 778,097.5 kuanzia mwezi Julai hadi Oktoba 2015 ambayo ni sawa na asilimia 97.6. ya lengo la makusanyo ya sh trilioni 3, 872,337.4 ikiwa ni jitihada za TRA kutekeleza mkakati wa serikali ambao unaitaka kukusanya Ths . Trililioni 12.3 kwa mwaka wa fedha 2015/2016.
Kwa mujibu wa Kamishna Mkuu wa TRA Rished Bade, mwezi Julai TRA ilikusanya kiasi cha shilingi bilioni 849,582.9 ambacho ni asilimia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog13 Jul
TRA yadhamiria kufikia malengo katika ukusanyaji kodi kwa mwaka mpya wa fedha
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Rished Bade akiwaeleza wajumbe wa Bodi ya Taifa ya wahasibu na wakaguzi kuhusu kuanza kutumika kwa sheria mpya ya Kodi ya ongezeko la thamani ya mwaka 2014 iliyoanza kutumika kuanzia Julai 1, 2015 na jinsi itakavyobadilisha baadhi ya mifumo ya kibiashara,wakati wa Semina ya pamoja Kati ya Mamlaka ya Mapato Tanzania na Bodi ya Taifa ya wahasibu na wakaguzi (NBAA) Jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Bodi ya Taifa ya wahasibu na wakaguzi...
10 years ago
MichuziTRA kutoa mafunzo ya ukusanyaji kodi wa washiriki 150
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Rished Bade (kulia) akikata utepe kwenye boksi lililokuwa na Mtaala utakaotumia katika mafunzo hayo wakati wa ufunguzi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam kushoto ni Mkuu wa Chuo cha uongozi wa Kodi (ITA) Prof. Isaya Jairo Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Rished Bade (kulia) akionesha mtaala utakaotumika katika mafunzo ya washiriki 150 waliodahiliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kushoto ni Mkuu wa Chuo cha...
10 years ago
MichuziTRA yawapa somo wachina kuhusu sheria za ukusanyaji kodi nchini
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…
Mipango ya Rais Magufuli kuendelea kupambana na wabadhirifu wa mapato ya Serikali yameendeela kuchukua sura mpya. Kupitia Mamlaka ya Mapato TRA Rais aliweza kufanya mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kuwaondoa watendaji ambao walihusika katika upotevu wa fedha za umma pamoja na kuwabana wakwepa kodi ambao ni wafanyabiashara wakubwa. Kingine kilichonifikia leo kutoa kutoka kwa […]
The post Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…...
11 years ago
Mwananchi19 Jun
Wakosoa mfumo wa ukusanyaji kodi
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
Mifumo ukusanyaji kodi inachangia migogoro
MFUMO mbovu wa udhibiti wa tozo mbalimbali za kodi ni moja ya sababu zinazochangia migomo na mivutano baina ya serikali na wafanyabiashara nchini. Hayo yalibainishwa mwishoni mwa wiki na Makamu...
9 years ago
Habarileo07 Jan
Waziri Mkuu aagiza kasi ukusanyaji mapato
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza halmashauri za wilaya, manispaa na majiji nchini, kuongeza kasi katika ukusanyaji wa mapato ya ndani, hatua itakayosaidia kuboresha huduma za afya na kuharakisha shughuli mbalimbali za maendeleo.
10 years ago
MichuziMadini kanda ya Kusini yashika kasi ukusanyaji maduhuli
Ofisa Madini , Kasuhu Warioba (wa pili kulia) akiwa katika banda la Wizara ya Nishati na Madini katika Maonesho ya Wakulima (NaneNane) yanayoendelea katika Viwanja vya Ngongo mkoani Lindi. Wa kwanza kulia ni Ephraim Mushi wa Kitengo cha Mazingira,...
10 years ago
Dewji Blog19 Mar
Mfumo wa Kielektroniki kutumika ukusanyaji wa kodi ya majengo jijini Mwanza
Mbunge wa Magu, Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Aggrey Mwanri.
Na. Johary KachwambaJIJI la Mwanza limeingizwa katika mfumo wa kielektroniki wa utambuzi wa majengo yote yanayopaswa kufanyiwa uthamini unaojulikana kama Local Government Revenue Collection Information System (LGRCIS) kupitia mradi wa Miji ya kimkakati (TSCP) unaohisaniwa na Benki ya Dunia. Katika kujibu swali la Mhe.Dkt. Festus Bulugu, Mbunge wa Magu, Naibu Waziri wa...