UZINDUZI WIKI YA CHANJO YAIBUA CHANGAMOTO ZINAZOIKABILI SEKTA YA AFYA MAKETE
Ubovu wa miundombinu ya barabara wakati wa masika katika wilaya ya Makete mkoani Njombe umeelezwa kuwa miongoni mwa vitu vinavyochangia huduma ya chanjo kutofika kwa wakati katika zahanati zinazotoa chanjo wilayani hapo. Hayo yameebainishwa na Mganga mfawidhi hospitali ya wilaya ya Makete Dkt. Michael Gulaka hii leo wakati akisoma taarifa ya idaya ya afya siku ya uzinduzi wa wiki ya chanjo iliyoadhimishwa kiwilaya katika Kata ya Isapulano wilayani Makete. Dkt Gulaka ametaja changamoto...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog24 Nov
Je Waziri wa Maliasili na Utalii ataweza kukabiliana na changamoto zinazoikabili sekta?
Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Siku chache zilizopita baada ya Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa kutangazwa, Tanzania tunatarajia Dk John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atatangaza rasmi baraza lake la Mawaziri. Kila sekta itakuwa imeshikiliwa na Mawaziri ambao Rais ameridhishwa nao katika kukidhi viwango vya kuendesha sekta hizo na katika kurudisha matumaini ya watanzania.
Kati ya Wizara muhimu zinazokuza uchumi wa nchi...
5 years ago
Michuzi
TANZANIA KUSHIRIKIANA NA UJERUMANI KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZINAZOIKABILI SEKTA YA UHIFADHI WA MALIASILIA NCHINI
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla amesema kuwa Tanzania itaendelea kushirikiana na Ujerumani katika kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta ya uhifadhi wa maliasili hapa nchini kwa lengo la kuiimarisha na kuiendeleza sekta hiyo.
Dkt. Kigwangalla ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua miradi ya uhifadhi inayofadhiliwa na serikali ya Ujerumani katika Hifadhi ya Taifa Nyerere - Selous.
Akiwa ameambatana na Mwakilishi wa Kansela wa...
9 years ago
Dewji Blog10 Dec
Wadau mbali mbali wakutana kutoa suluhisho la changamoto zinazoikabili sekta ya utalii katika nchi za kusini mwa Jangwa la Sahara
Akizungumza na waandishi wa habari katika mdahalo uliandaliwa na kampuni ya Hospitality Round Table (HRT), ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam Dr. ADELHELM MERU Katibu mkuu wizara ya Maliasili na Utalii alifafanua kuwa, sekta ya utalii hapa Tanzania inafanya vizuri ambapo kumekuwa na ongezeko la wageni kutoka nje, na hoteli za kufikia wageni zimeongezeka kwa kasi mara mbili kulinganisha na idadi ya mwaka jana.
Alifafanua kuwa, pamoja na matumaini yanayoonekana katika sekta hii lakini...
10 years ago
Mwananchi15 Nov
Pinda aipa changamoto sekta ya afya
11 years ago
GPLNAIBU WAZIRI WA AFYA ATOA TAARIFA YA UZINDUZI WA CHANJO YA KUZUIA SURUA NA RUBBELA KWA WAANDISHI WA HABARI
11 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA AFYA ATOA TARIFA YA UZINDUZI WA CHANJO YA KUZUIA SURUA NA RUBELLA KWA WANDISHI WA HABARI.
11 years ago
Dewji Blog25 Apr
Watoto 4000 kupatiwa chanjo katika Wiki ya Chanjo — Parseko Kone, Singida
Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akizindua utoaji wa chanjo kimkoa katika hospitali ya St.Calorus iliyopo kijiji cha Mtinko. Jumla ya watoto 3,999 wanatarajiwa kupatiwa chanjo mbalimbali.
Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akizungumza na wakazi wa tarafa ya Mtinko wilaya ya Singida, muda mfupi baada ya kuzindua zoezi la chanjo kimkoa lililoanza jana na linatarajiwa kumalizika Aprili 30 mwaka huu.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu
JUMLA ya watoto 3,999 mkoani...
10 years ago
Michuzi
Wadau wa Sekta ya Afya kutoka Tanzania Washiriki Maonyesho ya Sekta ya Afya jijini Istanbul -Uturuki. Dec 2014.
11 years ago
Michuzi
MKUTANO WA WADAU WA UHAMASISHAJI WA UBIA BAINA YA SEKTA YA UMMA NA SEKTA BINAFSI (PPP) KATIKA SEKTA AFYA MKOANI RUKWA
